TANZIA Diego Maradona afariki dunia

TANZIA Diego Maradona afariki dunia

Hapo akiwa lamba vyemga akina tery butcher terry Fenwick na glen hoddle alikuwa miongoni mwa magoli mazuri waqt huo mnatizama recorded baada ya siku mbili kupitia mikanda ya vhs ilikuwa khatari sana.
Dah!

Maradona 1986 alitisha bana!

Sina hakika kama TVZ walionyesha kombe la dunia mwaka huo.

Ila la 1990 walionyesha.

Nakumbuka pale Empire kulikuwa na video store...walikuwa wanakodisha kanda za gemu hahahahaa.

Tumetoka mbali aisee.
 
Dooh apumzike kwa amani
Sema jamaa alikuwa analeta sana figisu kwa Messi sijui Messi alimfanyaga nini
 
Fly high, Diego A once in a generation phenomenon.
 
Live sana sana mwaka wa 1994 kwa almarhum sheikh yahya wengine kwa bakhresa kariakoo hizo sehemu zilikuwa maarufu sana but 1990 wengi tukitizama mikanda ni kumbukizi nzuri za zama hizo.
 
He was released from the clinic in Buenos Aires two weeks ago.

The Argentine FA confirmed the news on social media, releasing a statement on Maradona's death.

"The Argentine Football Association, through its President Claudio Tapia, expresses its deepest sorrow for the death of our legend, Diego Armando Maradona.

"You will always be in our hearts.

Kwa wataalam, tafadhali: Ni nini kisababishi cha uraibu wa pombe? Please? Kwa sababu huyu alikuwa tajiri!!
 
Diego Armando Maradona afaliki Leo tr 25-11-2020
Akiwa na umri wa Miaka 60
 
Back
Top Bottom