zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leoHakuna cha makombe ya UEFA hivyo ni vya Europa league huko wanakocheza kina man u ndo unajitapa? ππππ
Makombe ya UEFA anayo mangapi hayo ya UEFA? hahahaha
Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!Aah umebadili tena hahah
Kutoka kufananisha team nimekubana sasa umekimbilia kwa makocha career zao binafsi dah hahaha.
Sasa klop si ana misimu michache tofauti na simeone? Au unakuta akili? Haha.
Kama unajivunia final basi klop alishaingia toka wakati yupo bvb kule Germany. tena kwa kikosi kile kidogo cha visenti..
Kama vikombe vyenyewe ndo hivyo unavyosema vya Europa. Basi huyo simeone akashindane na kina unai emery ndo saiz yake maana emery ana Europa tatu.. Tena na sevila..
Huna fact braza acha kupanic twende slow
Madrid huwezi linganisha na spurs be serious, Atletico alimbana Madrid ambaye nyie aliwafunga kwa open play. Ila ingekua spurs obvious tungebeba ndoo kwa goli nyingi tu. But all in all UEFA trophies zipo 6 alizoshinda Atletico unless kama hamzitambui Europa league ambazo nyie liver mmeshiriki mara zaidi ya 5 last decade!!Hivi wewe jamaa unajua unachokiandika? Haya futa goli la Salah tuone kombe atapewa nani au unazani tulishinda moja bila? Kwa taarifa yako bila madrid kucheza mieleka tungechukua kombe, halafu nyie na mifainali yote mliyocheza mbona hamjawahi kuwa mabingwa wa ulaya?
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.Umekula maharage ya wapi wewe? DS is better than JK? Hivi ni kocha gani kwa sasa anazungumziwa duniani?
Acha utani UCL kila siku?? Mkuu mmeingia Europa mara 6 last decade hiyo kila siku UCL unaitoa wapi wakati mmeanza tena kushiriki 2017/18 !! Kabla ya hapo mlikua ni Europa pekee so usijilinganishe na atletico ambayo imeingia UCL kila msimu toka simeone atue!!Huko UCL kila siku tunafungwa na fainali tunatimba, msimu wa juzi tulifungwa kwenye makundi, nusu fainali na fainali pia msimu jana tulifungwa nusu fainali na fainali tukaingia sasa unashangaa nini kufungwa msimu huu?
Unachopaswa kufahamu liver anaenda kupita
Hebu nicheke kwanza hahahahahaHakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!
Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool
Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
mbona umekazania atletico ana makombe sita ya UEFA ipi hiyooo?Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.
Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!
Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
Nadhani hilo Europa team ambayo unayodai ni kubwa haipaswi kujivunia hicho kindoo..Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league
Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!
Shitty team
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.
Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!
Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
UEFA competition kivpi?Shida huna takwimu mie nmekwambia Atletico ana makombe ya UEFA competitions 6 last decade, katika kipindi hicho hao Liver wana mawili 2 so simeone amemzidi Klopp kwa mbali na ndio maana imekua #2 best team of the decade kwa uefa rankings.
Ambacho huelewi kipi?
afadhali mkuu utusaidie.Bro heshima yako.
Unaweza kuleta statistics za makombe for that particular decade?
1. Atletico vs Liverpool
2. Klopp vs Simeone.
afadhali mkuu utusaidie.
Huyu tumemuelewesha tumechoka., analeta takwimu sijui za wapi..!
Nenda Wewe sasa
Sawa kabisa acha tuoneAtaleta takwimu kwa miaka hiyo 10, tutalinganisha na takwimu zetu.
Basi mzeeHakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!
Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool
Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
Duuuu! Sasa nimeaza kuingia juzi tu na ndoo nimebeba sasa wewe wa unaeenda kila siku mbona huna ndoo ya ucl? Kubali ukatae liverpool hii ni bora kuliko atletico na jk ni bora kuliko dsAcha utani UCL kila siku?? Mkuu mmeingia Europa mara 6 last decade hiyo kila siku UCL unaitoa wapi wakati mmeanza tena kushiriki 2017/18 !! Kabla ya hapo mlikua ni Europa pekee so usijilinganishe na atletico ambayo imeingia UCL kila msimu toka simeone atue!!
Hujui jk kaikuta liver wapi? Eti makombe sita ya uefa, sema vikombe sita vya eufa ndogo aka futuhi wenzie wakina Wolverhampton, kama ds mwanaume kweli mwambie abebe ucl basi, au unazani hataki kubeba?Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.
Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!
Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
Hivi unazani makombe sita ya ucl fainali zote tulicheza na spurs? Ramos asingecheza mieleka wangemtambua Mo Salah ni naniMadrid huwezi linganisha na spurs be serious, Atletico alimbana Madrid ambaye nyie aliwafunga kwa open play. Ila ingekua spurs obvious tungebeba ndoo kwa goli nyingi tu. But all in all UEFA trophies zipo 6 alizoshinda Atletico unless kama hamzitambui Europa league ambazo nyie liver mmeshiriki mara zaidi ya 5 last decade!!
Ok, ukweli kwenye soka anything can happen ila liverpool hii ni bora kuliko atletico hii, jk ni bora kuliko dsKwani nimebisha mkuu?
Ok, ukweli kwenye soka anything can happen ila liverpool hii ni bora kuliko atletico hii, jk ni bora kuliko ds