Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Hakuna cha makombe ya UEFA hivyo ni vya Europa league huko wanakocheza kina man u ndo unajitapa? 😀😀😀😀

Makombe ya UEFA anayo mangapi hayo ya UEFA? hahahaha
Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league

Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!

Shitty team
 
Aah umebadili tena hahah
Kutoka kufananisha team nimekubana sasa umekimbilia kwa makocha career zao binafsi dah hahaha.

Sasa klop si ana misimu michache tofauti na simeone? Au unakuta akili? Haha.
Kama unajivunia final basi klop alishaingia toka wakati yupo bvb kule Germany. tena kwa kikosi kile kidogo cha visenti..

Kama vikombe vyenyewe ndo hivyo unavyosema vya Europa. Basi huyo simeone akashindane na kina unai emery ndo saiz yake maana emery ana Europa tatu.. Tena na sevila..

Huna fact braza acha kupanic twende slow
Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!

Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool

Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
 
Hivi wewe jamaa unajua unachokiandika? Haya futa goli la Salah tuone kombe atapewa nani au unazani tulishinda moja bila? Kwa taarifa yako bila madrid kucheza mieleka tungechukua kombe, halafu nyie na mifainali yote mliyocheza mbona hamjawahi kuwa mabingwa wa ulaya?
Madrid huwezi linganisha na spurs be serious, Atletico alimbana Madrid ambaye nyie aliwafunga kwa open play. Ila ingekua spurs obvious tungebeba ndoo kwa goli nyingi tu. But all in all UEFA trophies zipo 6 alizoshinda Atletico unless kama hamzitambui Europa league ambazo nyie liver mmeshiriki mara zaidi ya 5 last decade!!
 
Umekula maharage ya wapi wewe? DS is better than JK? Hivi ni kocha gani kwa sasa anazungumziwa duniani?
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.

Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!

Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
 
Huko UCL kila siku tunafungwa na fainali tunatimba, msimu wa juzi tulifungwa kwenye makundi, nusu fainali na fainali pia msimu jana tulifungwa nusu fainali na fainali tukaingia sasa unashangaa nini kufungwa msimu huu?
Acha utani UCL kila siku?? Mkuu mmeingia Europa mara 6 last decade hiyo kila siku UCL unaitoa wapi wakati mmeanza tena kushiriki 2017/18 !! Kabla ya hapo mlikua ni Europa pekee so usijilinganishe na atletico ambayo imeingia UCL kila msimu toka simeone atue!!
 
Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!

Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool

Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
Hebu nicheke kwanza hahahahaha
Mbona unakuwa msahaulifu hivyo braza
Hizo history Wewe si ndo umezileta? Kila ninapokubana unakimbia kwingne..
Haya tuachane na past decade unayosema.

Haya liver ndo bingwa mtetezi wa UEFA. na atletico ni bingwa wa UEFA ipi hiyo unayosema? eti Europa league hahaha.

Pia ni mwendawazimu pekee atafananisha UEFA Champions league na Europa league..
Nakushangaa Sana unafananisha. That's why wote wanaotoka group stage UEFA wanatupwa huko chochoroni wakakutane na vibonde. Sijawahi kuona mtu atoke Europa league then aende UEFA... hii inaonesha hiyo ni michuano midogo,. Compared na UEFA.

Kuhusu emery kwanza hauwezi kukwepa kihivo. Eti ulianza kufananisha kwa makombe nikakwambiya kashindane na emery kwanza..

Saivi umerukia eti hajashiriki misimu nane..!
Hahahahaha mbona unakwepa kwepa bro..

Shindaneni na emery kwanza mwenye Europa tatu mfululizo..! ndo mje muongee meza moja na klop.

Halafu atletico ana trophy ya UEFA ipi hiyo naona unaona aibu kutaja Europa.. Haha

Atletico hana UEFA bro ana kombe la futuhi.

Haya msimu uliopita UEFA ambayo liver alichukua bado ina team 16 kama unavyodai? Hahahaha
 
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.

Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!

Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
mbona umekazania atletico ana makombe sita ya UEFA ipi hiyooo?

Wewe tukupuuzie utakuwa mwendawazimu sio bure hahaha
 
Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league

Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!

Shitty team
Nadhani hilo Europa team ambayo unayodai ni kubwa haipaswi kujivunia hicho kindoo..

Team kama kina Lyon, Ajax, Atalanta ndo wajivunie sio sisi..

Sasa ulitaka liver akatae kushiriki?.

Halafu unajua Liverpool hawajachukua kombe la ligi kuu kwa miaka 30?

Mpka leo klop Kaja kutupa kombe msimu huu?

Unajua aliikuta liver katika Hali gani mpaka kairudisha kwenye makali yake?

Tena ana misimu michache tu katengeneza team kwa bei rahisi tu..

England top 5 ya team zilizotumia pesa nyingi yeye yupo chini wa mwisho kabisa.

Tofauti na simeone mwenye misimu mingi ila team inaambulia kwenda final then kipigo hahaha.. Halafu msimu huu katumia pesa kibao..
 
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.

Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!

Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo

Bro heshima yako.

Unaweza kuleta statistics za makombe for that particular decade?

1. Atletico vs Liverpool
2. Klopp vs Simeone.
 
Shida huna takwimu mie nmekwambia Atletico ana makombe ya UEFA competitions 6 last decade, katika kipindi hicho hao Liver wana mawili 2 so simeone amemzidi Klopp kwa mbali na ndio maana imekua #2 best team of the decade kwa uefa rankings.

Ambacho huelewi kipi?
UEFA competition kivpi?
Tunahesabu makombe tu.. wala sio final.

Sema Europa ligi aka futuhi. Sio UEFA maana unataja UEFA ili kuepusha aibu ya hiyo team yako kutochukua UEFA wanazidiwa hata na schalke 04 hahah.

That's why imeitwa Europa league sasa Wewe hiyo UEFA umeitoa wapi?

Halafu umeshadadia takwimu za kitambo eti atletico kwa rank ni wa pili hahahahaha
 
Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!

Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool

Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
Basi mzee

Atlético mtatutoa tumekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani UCL kila siku?? Mkuu mmeingia Europa mara 6 last decade hiyo kila siku UCL unaitoa wapi wakati mmeanza tena kushiriki 2017/18 !! Kabla ya hapo mlikua ni Europa pekee so usijilinganishe na atletico ambayo imeingia UCL kila msimu toka simeone atue!!
Duuuu! Sasa nimeaza kuingia juzi tu na ndoo nimebeba sasa wewe wa unaeenda kila siku mbona huna ndoo ya ucl? Kubali ukatae liverpool hii ni bora kuliko atletico na jk ni bora kuliko ds
 
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.

Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!

Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
Hujui jk kaikuta liver wapi? Eti makombe sita ya uefa, sema vikombe sita vya eufa ndogo aka futuhi wenzie wakina Wolverhampton, kama ds mwanaume kweli mwambie abebe ucl basi, au unazani hataki kubeba?
 
Madrid huwezi linganisha na spurs be serious, Atletico alimbana Madrid ambaye nyie aliwafunga kwa open play. Ila ingekua spurs obvious tungebeba ndoo kwa goli nyingi tu. But all in all UEFA trophies zipo 6 alizoshinda Atletico unless kama hamzitambui Europa league ambazo nyie liver mmeshiriki mara zaidi ya 5 last decade!!
Hivi unazani makombe sita ya ucl fainali zote tulicheza na spurs? Ramos asingecheza mieleka wangemtambua Mo Salah ni nani
 
Back
Top Bottom