Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!
Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool
Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
Hebu nicheke kwanza hahahahaha
Mbona unakuwa msahaulifu hivyo braza
Hizo history Wewe si ndo umezileta? Kila ninapokubana unakimbia kwingne..
Haya tuachane na past decade unayosema.
Haya liver ndo bingwa mtetezi wa UEFA. na atletico ni bingwa wa UEFA ipi hiyo unayosema? eti Europa league hahaha.
Pia ni mwendawazimu pekee atafananisha UEFA Champions league na Europa league..
Nakushangaa Sana unafananisha. That's why wote wanaotoka group stage UEFA wanatupwa huko chochoroni wakakutane na vibonde. Sijawahi kuona mtu atoke Europa league then aende UEFA... hii inaonesha hiyo ni michuano midogo,. Compared na UEFA.
Kuhusu emery kwanza hauwezi kukwepa kihivo. Eti ulianza kufananisha kwa makombe nikakwambiya kashindane na emery kwanza..
Saivi umerukia eti hajashiriki misimu nane..!
Hahahahaha mbona unakwepa kwepa bro..
Shindaneni na emery kwanza mwenye Europa tatu mfululizo..! ndo mje muongee meza moja na klop.
Halafu atletico ana trophy ya UEFA ipi hiyo naona unaona aibu kutaja Europa.. Haha
Atletico hana UEFA bro ana kombe la futuhi.
Haya msimu uliopita UEFA ambayo liver alichukua bado ina team 16 kama unavyodai? Hahahaha