Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Screenshot_20250121-080416_X.jpg
 
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Kawarutumusha wafaransa wanyonyaji wakubwa wa west afrika.
Ile mfaransa ni mnyonyaji bora hata wa waingereza. Kale kanchi nchi kalizozitawala hakazipi pumzi
 
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
View attachment 3208451
Kipofu ndio anauliza swali ambalo jibu lake ni wenye macho pekee ndio wanaweza kulithibitisha
 
Kuna waxeng€ humu kila mtu wanamuita dictotor. hivi unajua hlo neno ni nan wanapaswa kulitumia na ni kwa manufaa gani? aya Gadafi aliitwa dictotor unajua kwanini? aya JPM aliitwa dictotor unajua kwann? aya uyu dogo wa burkina anaitwa dictotor unajua kwanini. nyambafu sasa ni bora hii mitaala mipya ya elimu ingeletwa mapema watu wakasomee hata kulima viazi mana hamna walichokipata kwenye elimu iliyokuwepo..
 
"Dictotor" kazi ipo

Dictotor ZINJANTHROPAZ

Kweli wewe ni Zinja
 
Maajabu yake ni kama maajabu ya mwendazake, nao huko duniani walikua wanajiuliza maswali kama wewe unavyo jiuliza
 
Back
Top Bottom