Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Ww mwnyw hujawaelewa hao wanawake.

Ushasema akitaka kitu ndo hakitaki

Sasa iweje aseme ongeza na ww uongeze mara mbili wakati ushasema akitaka kitu anamaanisha hakitaki?
 
Acha uzoba wewe muandikishe haraka sana na hayo ndio mapenzi ya kweli.

Ukichelewa wenzio watamchukua na utabaki kulia tu.

Fanya nlivyokuelekeza sawa dogo?
Mkuu hata mimi nina mawazo kama yako lakini shida ni ndugu,jamaa na marafiki wanaweka kikwazo
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kuwa kamaanisha kinyume kwamba nisiandikishe jina lake?
 
Tukiacha kupoteza muda hapa kufarijiana,in short wewe hujui siyo bei ya tofali tu ila hata bei ya chumba cha kupanga huijui.

Mtu anayemiliki mali ulizoorodhesha hapo hawezi kuandika ulichoandika hapa.
Kwa nini unahisi hivyo mkuu
 
Kassim Kahimiza VETA Turudi Tukasome
Tupate Upeo Wa Kufanya Hizi Hesabu
MAGAZIJUTO


Kwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema Kengeza
Kusikia Kwa Kenge, Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Umeandika mafumbo sijakuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…