Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mungu niepushe mbali na majaribu ya hivi.Mke wa
Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.
Shukrani!
binti kiziwi huyu anahitaji kwanza kutenganisha makosa ya wazazi na mtoto. Mtoto hana kosa lolote, wala hakuchagua kuzaliwa hivyo. Miaka 7 amemjua huyo mtu kama baba yake, hivyo kumkataa ghafla kunaweza kumuacha na jeraha kubwa la maisha.Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.
Hebu nielezee mzee mwenzangu, huwa sielewi, kwanini mnakua hivi?Wanaume tunapenda kusaliti, lakini sio wake zetu wasaliti
Mimi huwa nachukia hata mchepuko wangu akinisaliti (imagine), tunaweza tukaachana kabisa yaani
Nimeupokea ushauri.Mwambie atumie busara zetu Wazee wa mwaka 47 "Kitanda hakizai haramu"
Yeye alileta mapacha, mke kaleta mmoja
Watoto ni baraka, ampokee na kumlea kama mwanaye wa damu
Amlee tu, kuna ushahidi upi watakaoutumia wale wa upande wa shemeji kumdai mtoto? Kitamaduni watoto atakaozaa mwanamke ni wangu kama nitakuwa nimemtolea mahari ikiwa nitaridhia. Pia mtoto mwenye changamoto ni wa kike, atakuwa na kuolewa ataenda kwake. Tatizo lingekuwa kubwa endapo angekuwa wa kiumeMke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao eleweka ambao anaweza kwenda kumuacha mtoto kwao.
Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.
Shukrani!
Kugongewa mwanamke wako ndy jambo linalo muuma mwaume kuliko hata kufirisika.Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwam
Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.
Shukrani!
Alisema ndugu wa rafiki yake na familia ya mkewe wote ni maisha duni, akimpeleka mtoto huko vijijii atateseka sana, na anapata ugumu maana huyo mtoto anampenda sana baba yake na baada ya mama yake kufariki amebaki naye kama mzazi pekee.Mungu niepushe mbali na majaribu ya hivi.
Ampeleke Kwa ndugu wa rafiki yake aliefariki na awaeleze Kila kitu.
Ila ndy hvy atakuwa amekili hadharani kuwa mkewe alipigwa fimbo.
Dunia simama nishuke
Ni hulka zetu, yaani tumeumbwa kumiliki.Hebu nielezee mzee mwenzangu, huwa sielewi, kwanini mnakua hivi?
Barikiwa ππNimeupokea ushauri.
Kaka hii isikie tu kwa mwenzio inaumaaa sana bora angekuwepo wa kumpa lawama sasa yote yamekufaaaAkapige miti mdogo mdogo ...DevilKazini
ππ Hapo mkuu umempeleka mbali sana. Mtoto hana kosa na si lazima kumsubiri afike Form One ndiyo aanze maisha yake. Mlee kwa upendo kwanza, mambo mengine yatafuata kwa hekima.