Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.

Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu sana na mumewe kama kaka mkubwa na ndiye alitumika kuwapatanisha baada ya mumewe kukiri kuwa na mchepuko na kuuzalisha watoto mapacha miaka michache tu baada ya wao kuoana. Mke aliwapokea hao watoto, wakakubaliana kutowaambia watu kwamba si wanae na akawalea kama watoto wake wa kwanza. Baadaye na wao wakajaliwa watoto watatu (ikijumuisha huyo wa mwisho ambaye kibaiolojia si wake)

Siku mbili baada ya kutoa hiyo siri, mke alifariki. Imepita miezi 3 sasa ila ndugu yetu anashindwa kuachilia na kusamehe, amejawa na hasira na uchungu na amekua mtu wa pombe na ulevi kupitiliza.

Mtoto wao wa mwisho ambaye ana miaka 7, ndiye mtoto aliyekua karibu naye sana kama baba, ni mtoto wao pekee wa kike na mtoto ambaye wamekua wanaishi naye nyumbani kwa sababu watoto wengine ni wakubwa na wako mashuleni.

Tatizo jingine ni kwamba; sasa kila akimuangalia mtoto anajisikia chuki na hasira ya kusalitiwa na ameanza kupoteza upendo kwa mtoto. Ni kama mwezi hivi umepita tangu ajihakikishie kwa DNA kwamba yule si mtoto wake wa kumzaa ila hana cha kufanya wala pa kumpeleka kwa sababu mkewe na rafiki yake ambao ndiyo wazazi wa mtoto wote wameshafariki na hawana ndugu wa kueleweka ambao anaweza kwenda kumuacha mtoto kwao.

Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.

Shukrani!
Hakuna Cha kufanya zaidi ya kulea huyo mtoto.

Nae huyo kwani angekufa bila kutaja kulikuwa na shida gani?
 
Wenye ndugu wamchukue huyo mtoto kabla hajauwawa.

Pili huyo Jamaa yenu hana Cha kufanya anatakiwa akubari matokeo vinginevyo atapata tabu sana ,kwani Mke kusaliti kitu gani na amefariki?
 
Mungu niepushe mbali na majaribu ya hivi.
Ampeleke Kwa ndugu wa rafiki yake aliefariki na awaeleze Kila kitu.
Ila ndy hvy atakuwa amekili hadharani kuwa mkewe alipigwa fimbo.
Dunia simama nishuke
Kwani Cha ajabu nini? Shida ni kuishi na wanawake kama Malaika
 
binti kiziwi huyu anahitaji kwanza kutenganisha makosa ya wazazi na mtoto. Mtoto hana kosa lolote, wala hakuchagua kuzaliwa hivyo. Miaka 7 amemjua huyo mtu kama baba yake, hivyo kumkataa ghafla kunaweza kumuacha na jeraha kubwa la maisha.

Kwa sasa asifanye uamuzi wa hasira wala kutumia pombe kama njia ya kukabiliana na maumivu. Aongee na mshauri wa familia/saikolojia na ndugu anayemuamini, hasa kabla hajamwambia mtoto kuhusu DNA.

Kumsamehe marehemu si lazima iwe leo; uponyaji unachukua muda. Lakini mtoto huyu anahitaji baba yake sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Hapa unarahisisha maisha,Ili Jamaa asahau anatakiwa akae mbali na huyo mtoto na njia ni kumleleka kw ndugu zake ingawa huyo mtoto hiyo ndio itakuwa mwanzo wa maisha yake kuvurugika au kupona itategemea na ndugu watakaompokea.
 
Kwani Cha ajabu nini? Shida ni kuishi na wanawake kama Malaika
Cha ajabu Nini mkuu?. Yaani kugongewa ni jambo la kawaida?, kwahiyo ikitokea unefanyiwa hvy unaweza ukiendelea kuwepo na huyo mwanamke na kama jibu ni hapana kwanini umuache na usiendelee kukaa nae.
 
Hii ndio maana halisi ya mkuki kwa nguruwe,kwa binadamu mchungu.
Ukilipwa kisasi huwa unjihisi kama umeonewa.
Imagine mke alikubali kulea watoto ambao siyo wake (tena wawili) wewe kulea mtoto mmoja tu unaona kizunguzungu unaanza kulewa.
Mwambie atulize mshono na akubali matokeo Kama mkewe marehemu alivyokubali kulea watoto wake wa nje ya ndoa.

#KISASI SIYO DHAMBI.
 
Huyo jamaa ache Ujinga, Ajikaze kama mwenzak alivyojikaza kwa watt wawili, kingine Afahamu pia katk ndoa nyingi wagu wanalea watt ambao sio wao🚶‍♂️🚶‍♂️🚶🚶
 
Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.

Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu sana na mumewe kama kaka mkubwa na ndiye alitumika kuwapatanisha baada ya mumewe kukiri kuwa na mchepuko na kuuzalisha watoto mapacha miaka michache tu baada ya wao kuoana. Mke aliwapokea hao watoto, wakakubaliana kutowaambia watu kwamba si wanae na akawalea kama watoto wake wa kwanza. Baadaye na wao wakajaliwa watoto watatu (ikijumuisha huyo wa mwisho ambaye kibaiolojia si wake)

Siku mbili baada ya kutoa hiyo siri, mke alifariki. Imepita miezi 3 sasa ila ndugu yetu anashindwa kuachilia na kusamehe, amejawa na hasira na uchungu na amekua mtu wa pombe na ulevi kupitiliza.

Mtoto wao wa mwisho ambaye ana miaka 7, ndiye mtoto aliyekua karibu naye sana kama baba, ni mtoto wao pekee wa kike na mtoto ambaye wamekua wanaishi naye nyumbani kwa sababu watoto wengine ni wakubwa na wako mashuleni.

Tatizo jingine ni kwamba; sasa kila akimuangalia mtoto anajisikia chuki na hasira ya kusalitiwa na ameanza kupoteza upendo kwa mtoto. Ni kama mwezi hivi umepita tangu ajihakikishie kwa DNA kwamba yule si mtoto wake wa kumzaa ila hana cha kufanya wala pa kumpeleka kwa sababu mkewe na rafiki yake ambao ndiyo wazazi wa mtoto wote wameshafariki na hawana ndugu wa kueleweka ambao anaweza kwenda kumuacha mtoto kwao.

Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.

Shukrani!
Sasa kama mkewe aliweza kustahimili mumewe alipo chepuka na zaidi aka kubali kuwalea watoto wake wa mchepuko sasa kwanini yeye ashindwe kustahimili kumlea huyo mtoto yeye amlee tu huyo mtoto
 
Kwa vile msaliti (Marehemu mkewe) amesha fariki,basi amlee tu huyo mtoto ambaye hana makosa,
Kama yeye alisamehewa na mkewe kwa kuzaa nje ya ndoa huku akiwa ndani ya ndoa,halafu mkewe akakubali kuwalea hao watoto,basi na yeye amlee huyo mtoto wa marehemu mkewe coz hata Baba wa huyo mtoto alisha fariki pia,

Huyo jamaa nae ni msaliti pia,kupunguza hasira zake akumbuke kua hata yeye alimsaliti mkewe,

Nina wasiwasi na hiyo issue ya DNA,aliipimia wapi? Mahakama gani ilimpa ruhusa ya kufanya hiyo DNA? coz DNA ina taratibu zake,sio kama kwenda kupima Malaria tu.,

Labda swali langu niwaulize tu wana jamii,Je marehemu alikua sahihi kutoa hiyo siri kua huyo mtoto hakua mtoto wa mumewe?
Kwa maoni yangu naona hakuwa sahihi kutoa Siri hiyo maana ameleta tatizo halafu yeye ameondoka
 
Hasira huwa zina mtarget mtu au kitu zikimkosa mhusika halisi zitaangukia anayefanana na mhusika au wenye ukaribu.

Angalieni chuki za mtu dhidi ya kitu fulani...chochote cha sample hiyo haitaji kujiuliza kuchukia.

Muondoeni mtoto.
Maongezi ya mwanaume aliepigiwa mke na kusakiziwa mtoto ukizingatia ni watu wa karibu kabisa ndio walimzunguka ...Muondoeni mtoto kila anapomuona ni kama ndio wanamzunguka mda huo huo.
Asante, ushauri utamfikia
 
Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.

Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu sana na mumewe kama kaka mkubwa na ndiye alitumika kuwapatanisha baada ya mumewe kukiri kuwa na mchepuko na kuuzalisha watoto mapacha miaka michache tu baada ya wao kuoana. Mke aliwapokea hao watoto, wakakubaliana kutowaambia watu kwamba si wanae na akawalea kama watoto wake wa kwanza. Baadaye na wao wakajaliwa watoto watatu (ikijumuisha huyo wa mwisho ambaye kibaiolojia si wake)

Siku mbili baada ya kutoa hiyo siri, mke alifariki. Imepita miezi 3 sasa ila ndugu yetu anashindwa kuachilia na kusamehe, amejawa na hasira na uchungu na amekua mtu wa pombe na ulevi kupitiliza.

Mtoto wao wa mwisho ambaye ana miaka 7, ndiye mtoto aliyekua karibu naye sana kama baba, ni mtoto wao pekee wa kike na mtoto ambaye wamekua wanaishi naye nyumbani kwa sababu watoto wengine ni wakubwa na wako mashuleni.

Tatizo jingine ni kwamba; sasa kila akimuangalia mtoto anajisikia chuki na hasira ya kusalitiwa na ameanza kupoteza upendo kwa mtoto. Ni kama mwezi hivi umepita tangu ajihakikishie kwa DNA kwamba yule si mtoto wake wa kumzaa ila hana cha kufanya wala pa kumpeleka kwa sababu mkewe na rafiki yake ambao ndiyo wazazi wa mtoto wote wameshafariki na hawana ndugu wa kueleweka ambao anaweza kwenda kumuacha mtoto kwao.

Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.

Shukrani!

Yaan issue ndongo ivi inakupa shida. Je ukiambiwa na mama yako kwamba huyu unayemuita baba siyo baba yako, Di ungejiua tukuzike makaburi ya Bwiru
 
Back
Top Bottom