Wacha roho mbaya kiongozi. Kwanza alikuwa rafiki yako na alikuwa anakusaidia kumweka sawa my wife wako! Pili katoto kenyewe ka kike hata hakana katakachorithi kwa huyo bro! Bora akalee tu huwezi kujua labda ndiko katakuja kumlea uzeeni!Yani uleee bao la mwanaume mwingine na unajua!!!
Huo ni ukichaa
Piga chini mtoto peleka Kwa baba yake
Haya toa comment yako sasa wewe shombeshombe, labda ni kweli hujarithi unafiki kutoka kwenye ngozi nyeusi.Nimesoma comments zote, nihitimishe kusema Wabongo ni WANAFIKI na WABINAFSI. yaani iko kwenye damu kabisaa.
Ushauri mzuri, utamfikia.Wanaume Huwa hatukatai watoto!!hata kama ujauzito alikabidhiwa mwingine halafu wewe ukalea!!
Kwanini!!?coz maisha yetu yamejaa kuhitajika na sio kupendwa kwenye jamii sasa SI vizuri kuongeza idadi ya maadui coz fainali uzeeni!!
Huyo mwanamke na jamaa yake waliofariki wamelipia karma yao hivyo yeye amlee tu vyema mtoto hana hatia!!
Huwa tunachukua hatua Fulani kama mwanamke Bado yupo hai japo sio kwa kulipa kisasi bali kuweka mambo sawa!!
Ila hapa umemaanisha nini?Unaweza ukaoa na maisha yakaendelea!
Tuko tofauti sana ila nawaelewa.Pesa unaweza pata nyengine na watoto unaweza pata wengine ila kuhusu swala kugongewa halifutiki yaani ukigongewa hamna namna unaweza Fanya ili ufute kule kugongewa hata uioshe, hata ukimuacha, ata ukitafuta mwanamke mwengine Bado haufuti kuwa mwanamke wako alitumiwa na mwanaume mwengine.inshort ndy jambo linaloumiza sana Kwa mwanaume.
Huyu anachukulia kufilisika ni kutema mate sioDaaah, kufilisika kabisa 😂
Mimi kama mwanamke hakuna kitu kitaniuma kama kukosa watoto wangu au hela aiseeh!
Cc: Seran
Mimi kufilisika sitaki, shida huwa inakuja mwanaume akinogewa papuchi anachukua mali za familia anapeleka nje, huo ndiyo ugomvi wangu pekee.Huyu anachukulia kufilisika ni kutema mate sio
Umejuaje ni ***** aliwah kukushindilia muhogo wa jang'ombeSipigi miti machoko kama wewe.
Mnikome.
Sijui hasa tradition za ndugu zangu wachaga na wamasai lakini, kwa ujumla jamii zenye hulka hii huthamini sana mke uliyemtolea mahari. Wewe uliyemzalisha mke wa mtu siku ukienda kumdai mtoto kusema ni wa kwako tegemea balaa zito na hakuna kupima DNA. Yote kwa yote, MKE ANAUMA AISEE, HASA UNAPOSIKIA KUWA KUNA MWAMBA AMEMZALISHA.Wamasai huwa wanawezaje ku handle hizi situation?
Hata wachaga nafikiri huwa hawakatai mtoto ambaye amepatikana katika namna hiyo.
Kufilisika so mchezo unaweza poteza mpk mke 😅Mimi kufilisika sitaki, shida huwa inakuja mwanaume akinogewa papuchi anachukua mali za familia anapeleka nje, huo ndiyo ugomvi wangu pekee.
Nitaufikisha
Ni kweli, I hope ata heal with timeDuhh pole sana atakuwa sawa tu muda ni dawa.
Mbona unampa pole Binti wa zamani 😂. Kwamba yeye ndy amekutwa na hili sakata
Baba wa kweli kibaiolojia alishakufa.Maamuzi ya marehemu yaheshimiwe, kitendo cha kuamua kumuambia ukweli baada ya miaka 7 wakati akiwa karibu kufariki maana yake ni kwamba angetaka mtoto aendelee kulelewa na huyo mwanaume basi angekufa na siri yake kama alivyoishi nayo kwa miaka 7.
Mwanamke ndiye alijua wakati sahihi wakumtambulisha mtoto huyo kwa biological father wake, ila kwa kuwa aliona yeye hana muda mrefu akaamua kulikabidhi jukumu hilo kwa mume wake, ila dhamira ya mwanamk ni kwamba mtoto wa watu lazima akatbulisjwe kwa baba yake halisii.
Upande wa mume asijifanye ana nyota ya ustawi wa jamii kutaka mung’ang’ania watoto wa watu, amtafute baba halisi wa mtoto amkabidhi mtoto wake, baba wa mtoto ndiye atoe ruhusa ya jamaa kuendelea kulea huyo mtoto.
Haya mambo ya kung’ang’ania watoto wa watu kwa misemo ya kipumbavu eti kitanda hakizai haramu au kosa siyo la mtoto ndiyo matokeo yake watoto wakikua wanatiana mimba au kuoana.
So jamaa aridhike na watoto alio nao, asimdhurumu huyo mtoto haki ya kumjua baba yake wa kweli
Kugongewa sijawahi thibitisha mzee,Umewahi kufirisika mkuu au umewahi kugongewa manzi yako na mwanao wa karibu?
Vinginevyo, wewe unaweza kuiangalia ukapata kitu cha kumwambia.Nitaufikisha
Nitaiangalia pia.Vinginevyo, wewe unaweza kuiangalia ukapata kitu cha kumwambia.
Ila kwa uchache kabisa, alee binti, aendelee na maisha.
Siku akijua kwamba mfungwa alikuwa ni yeye na gereza lake angesamehe. Hakuna kitu kizuri kama kusamehe coz unakuwa huru plus amani ya moyo.kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.