Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuAfanye kama analea mtoto yatima
😂 😂 umeshindikanaNdo niko kanisani hapa, nasubir sala ya toba watu wakiwa wamefunga macho ili nirushe kimoja cha leo
Sawa mkuuAfanye kama analea mtoto yatima
😂 😂 umeshindikanaNdo niko kanisani hapa, nasubir sala ya toba watu wakiwa wamefunga macho ili nirushe kimoja cha leo
Si umeona hapo huyo baba mtoto kafariki mkuuMaamuzi ya marehemu yaheshimiwe, kitendo cha kuamua kumuambia ukweli baada ya miaka 7 wakati akiwa karibu kufariki maana yake ni kwamba angetaka mtoto aendelee kulelewa na huyo mwanaume basi angekufa na siri yake kama alivyoishi nayo kwa miaka 7.
Mwanamke ndiye alijua wakati sahihi wakumtambulisha mtoto huyo kwa biological father wake, ila kwa kuwa aliona yeye hana muda mrefu akaamua kulikabidhi jukumu hilo kwa mume wake, ila dhamira ya mwanamk ni kwamba mtoto wa watu lazima akatbulisjwe kwa baba yake halisii.
Upande wa mume asijifanye ana nyota ya ustawi wa jamii kutaka mung’ang’ania watoto wa watu, amtafute baba halisi wa mtoto amkabidhi mtoto wake, baba wa mtoto ndiye atoe ruhusa ya jamaa kuendelea kulea huyo mtoto.
Haya mambo ya kung’ang’ania watoto wa watu kwa misemo ya kipumbavu eti kitanda hakizai haramu au kosa siyo la mtoto ndiyo matokeo yake watoto wakikua wanatiana mimba au kuoana.
So jamaa aridhike na watoto alio nao, asimdhurumu huyo mtoto haki ya kumjua baba yake wa kweli
Sawa sawaMambo ni 2 tu hapo Apige kavu au atumie condom.
Either ampeleke Kwa ndugu zake hata kama Wana hali duni ya kimaisha au abaki nae ili aje ashikwe Kwa kosa la jinai.
Ushauri mzuri, utamfikiaKuhusu upendo Huwa unaisha kama yeye upendo wake ulivyoisha Kwa huyo mtoto.
Lakini kama anaweza kujizuia kufanya makosa au kumfanyia vitendo vichafu huyo mtoto basi amlee tu kama Binti yake.
Umewahi kufirisika mkuu au umewahi kugongewa manzi yako na mwanao wa karibu?
Ndiyo maana tunatangulia kufa kabla ya wake zetu 🙌Ila wanaume, kuwaelewa ni ngumu sana 😎
🙏🙏Amina 🙏
Mkuu,ukiusoma uzi vizuri,mleta mada amesema kua Baba mzazi wa huyo mtoto alisha fariki miaka 5 iliyopita kwa ajali.Maamuzi ya marehemu yaheshimiwe, kitendo cha kuamua kumuambia ukweli baada ya miaka 7 wakati akiwa karibu kufariki maana yake ni kwamba angetaka mtoto aendelee kulelewa na huyo mwanaume basi angekufa na siri yake kama alivyoishi nayo kwa miaka 7.
Mwanamke ndiye alijua wakati sahihi wakumtambulisha mtoto huyo kwa biological father wake, ila kwa kuwa aliona yeye hana muda mrefu akaamua kulikabidhi jukumu hilo kwa mume wake, ila dhamira ya mwanamk ni kwamba mtoto wa watu lazima akatbulisjwe kwa baba yake halisii.
Upande wa mume asijifanye ana nyota ya ustawi wa jamii kutaka mung’ang’ania watoto wa watu, amtafute baba halisi wa mtoto amkabidhi mtoto wake, baba wa mtoto ndiye atoe ruhusa ya jamaa kuendelea kulea huyo mtoto.
Haya mambo ya kung’ang’ania watoto wa watu kwa misemo ya kipumbavu eti kitanda hakizai haramu au kosa siyo la mtoto ndiyo matokeo yake watoto wakikua wanatiana mimba au kuoana.
So jamaa aridhike na watoto alio nao, asimdhurumu huyo mtoto haki ya kumjua baba yake wa kweli
Duuuh, basi sawaWe acha ujinga.. Gambe anywe mpaka adondoke kwenye mtaro ndio uchungu utaisha
Inabidi anywe mpaka ajute kuwa malaya
Kila kitu kina gharama yeye aliwezaje kuzalisha mapacha kwa mfano.! Bao lake lilikuwa sio la kawaida. 🤭
Hapaswi kujuta kila ntu apambane na vita yake🤗
Naungana na wewe kwenye hili, mtoto hana hatiaAjitahidi mtoto asijue kuwa ni mja laana(mtoto haramu). Always love win over envil
HakikaAhsante, naamini ushauri utamfikia na atautafakari.
Ni kweli kabisa, wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia usaliti hata kama wao wenyewe tayari ni wasaliti.Kama ni wewe umeamua kuuliza kwa njia ya mtu mwingine, naomba ujue kuwa si jambo jema hasa kwa mwanamke kutoka nje ya ndoa. Inahitaji mwanaume mwenye kifua kipana na mwenye hofu ya M/Mungu kuweza kumlea huyo mtoto la sivyo, huyo baba anaweza kumfanyia vitendo vya ukatili ili kulipiza yale aliyofanyiwa
Mkuu,mleta mada sio binti kiziwi ni Binti wa zamani naona umechanganya ila wote ni Mabinti,mmoja ni wa zamani na mwingine ni kiziwi.binti kiziwi huyu anahitaji kwanza kutenganisha makosa ya wazazi na mtoto. Mtoto hana kosa lolote, wala hakuchagua kuzaliwa hivyo. Miaka 7 amemjua huyo mtu kama baba yake, hivyo kumkataa ghafla kunaweza kumuacha na jeraha kubwa la maisha.
Kwa sasa asifanye uamuzi wa hasira wala kutumia pombe kama njia ya kukabiliana na maumivu. Aongee na mshauri wa familia/saikolojia na ndugu anayemuamini, hasa kabla hajamwambia mtoto kuhusu DNA.
Kumsamehe marehemu si lazima iwe leo; uponyaji unachukua muda. Lakini mtoto huyu anahitaji baba yake sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Mnawaacha wale pensheni zenu na vijana wenye nguvu 😆Ndiyo maana tunatangulia kufa kabla ya wake zetu 🙌
Usifanye niache wosia Nikifa MkeWangu Asiolewe 🤪Mnawaacha wale pensheni zenu na vijana wenye nguvu 😆
💯 🔥Kitanda hakizai haramu Yule mtoto NI wake akitaka mambo yawe mengi awatangazie walimwengu ili ashuhudie udaku Ila akitaka aishi kwa amani ibaki sili yake kwishaaa
Wewe kwanza umemshauri nini?Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.
Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu sana na mumewe kama kaka mkubwa na ndiye alitumika kuwapatanisha baada ya mumewe kukiri kuwa na mchepuko na kuuzalisha watoto mapacha miaka michache tu baada ya wao kuoana. Mke aliwapokea hao watoto, wakakubaliana kutowaambia watu kwamba si wanae na akawalea kama watoto wake wa kwanza. Baadaye na wao wakajaliwa watoto watatu (ikijumuisha huyo wa mwisho ambaye kibaiolojia si wake)
Siku mbili baada ya kutoa hiyo siri, mke alifariki. Imepita miezi 3 sasa ila ndugu yetu anashindwa kuachilia na kusamehe, amejawa na hasira na uchungu na amekua mtu wa pombe na ulevi kupitiliza.
Mtoto wao wa mwisho ambaye ana miaka 7, ndiye mtoto aliyekua karibu naye sana kama baba, ni mtoto wao pekee wa kike na mtoto ambaye wamekua wanaishi naye nyumbani kwa sababu watoto wengine ni wakubwa na wako mashuleni.
Tatizo jingine ni kwamba; sasa kila akimuangalia mtoto anajisikia chuki na hasira ya kusalitiwa na ameanza kupoteza upendo kwa mtoto. Ni kama mwezi hivi umepita tangu ajihakikishie kwa DNA kwamba yule si mtoto wake wa kumzaa ila hana cha kufanya wala pa kumpeleka kwa sababu mkewe na rafiki yake ambao ndiyo wazazi wa mtoto wote wameshafariki na hawana ndugu wa kueleweka ambao anaweza kwenda kumuacha mtoto kwao.
Mshaurini, atapitaje pitaje hapa? kama kuna ushauri mzuri nitascreenshot nimfikishie.
Shukrani!
Yuko busy na AI tu kumtambua mleta mada aanh!Mkuu,mleta mada sio binti kiziwi ni Binti wa zamani naona umechanganya ila wote ni Mabinti,mmoja ni wa zamani na mwingine ni kiziwi.
Yani uleee bao la mwanaume mwingine na unajua!!!Wanaume tunapenda kusaliti, lakini sio wake zetu wasaliti
Mimi huwa nachukia hata mchepuko wangu akinisaliti (imagine), tunaweza tukaachana kabisa yaani
Mwambie atumie busara zetu Wazee wa mwaka 47 "Kitanda hakizai haramu"
Yeye alileta mapacha, mke kaleta mmoja
Watoto ni baraka, ampokee na kumlea kama mwanaye wa damu
1. Amlee mtotoWewe kwanza umemshauri nini?