Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

V
Mkuu kama kweli unamaanisha tujipange kufikia huo mwezi tuingie huko, hatuwezi kosa pa kuanzia tukiisha fika huko.
Nadhani boda ya Kasumulu ni the best, ukiwa na mtaji mdogo unachukua mzigo karonga (km50 toka border) unakuja kuuza border . Muhimu ujue exchange rate,fanya ku-download XE currency converter kwenye simu yako kwa ajili ya mazoezi. Tunduma pia sio kubaya.
 
Wewe hujui deals haramu? Kauze/kabebe unga utatajirika haraka sana, kaibe benki kuna mabilioni kule pigo moja tu ushatoka,nenda mbugani Kaue tembo utatoka haraka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mkuu huo mwezi wa nne huwa uko busy sana hapo boda kwa biashara ya nafaka? Na hapo boda ni wanunuzi wapi hasa, vipi kuhusu aina ya ununuzi ni kwa jumla ama reja reja?
 

[emoji122][emoji122]
 

Ila kweli mkuu. Kamavipi tujalibu hii njoo DM
 
Kwahiyo mkuu huo mwezi wa nne huwa uko busy sana hapo boda kwa biashara ya nafaka? Na hapo boda ni wanunuzi wapi hasa, vipi kuhusu aina ya ununuzi ni kwa jumla ama reja reja?
Nimefanya biashara mwaka jana kisha nikasogea South Africa,naongelea fursa nilizo ziona. Upepo ukiwa mgumu huku nitarudi tena,border towns ndiyo mpango mzima kama una mtaji mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…