Kwani hili la bangi lina ugumu gani wakuuu? Maana naendeshaga gari Dsm hadi Mza, Arusha hadi Dom, naweza njia nzima nisimamishwe na trafik, ikitokea ni mara moja moja pia tena ukiwatangulizia elf 5 mkononi hawahitaj hata kuendelea kuongea na ww.
Je huo muda ukiwa umejaza bangi kwenye boot si unatamba tu au?
Ukikamtwa ni miaka 30 na hakuna dhamana, risk ni kubwa.Hii Tanzania kusafirisha bangi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni rahisi sana. Mimi ningepata connection ya wapi natoa na wapi nauza hii kitu ningeifanya.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Una moyo ?
Hii Tanzania kusafirisha bangi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni rahisi sana. Mimi ningepata connection ya wapi natoa na wapi nauza hii kitu ningeifanya.
Bila shaka chief,kwenye kutafuta pesa changamoto haziishii. Mwaka jana nimekimbia sana Malawi tz mpaka mtaji ukakua,nikaja pande hizi na maharage nikauza. Baada ya hapo nikapakia mzigo kuja Tanzania,dereva akakimbia na tani 30 za gazeti Mozambique. Imagine being from zero to hero to zero again ndani ya mwaka mmoja😓😓.Kama utarudi itabidi niwe mwanafunzi wako kwa vitendo kabisa.
Kama zipi bossWewe ni tajiri boss,watu wanakomaa na mitaji midogo mpaka inakua . Kuna nafaka z mitaji midogo sio mchele .
Karanga haihitaji pesa nyingi sana ile upate faida ya wastani kama hupeleki masoko ya mbali .Kama zipi boss
YES!!!Mambo makubwa haya, yanahutaj hustling madame, sio kutafuta wazee wastaaf na madanga.
Moral if the story wengi wa wanawake wanafanikiwa kwa kubebwa kupitia hivyo nilivyotaja hapo juu, wachache mnooo wana real historia ya kufanikiwa
Ukikamtwa ni miaka 30 na hakuna dhamana, risk ni kubwa.
Lazima ujue mkaa huo huo kauza ule wa kulangua gunia moja na kuuza kwenye makopo ya buku buku au alikuwa Ana sambaza kwa wanuzui wa jumla na kuwauzia ili wao watuuzie sisiSiri ya mafanikio imejificha kwenye mkaa
Bila shaka chief,kwenye kutafuta pesa changamoto haziishii. Mwaka jana nimekimbia sana Malawi tz mpaka mtaji ukakua,nikaja pande hizi na maharage nikauza. Baada ya hapo nikapakia mzigo kuja Tanzania,dereva akakimbia na tani 30 za gazeti Mozambique. Imagine being from zero to hero to zero again ndani ya mwaka mmoja[emoji29][emoji29].
Mwezi November nimeanza kujitafuta tena hoping for a happy ending this time .Mali iliyopotea ni zaidi ya m40,ukiona unapitia magumu sana kumbuka mtaji namba 1 ni afya .
HapanaBroh utajiri ni mgumu sana unaweza ukapewa dili limenyooka na ukalikataa....
Matajiri wengi hawasemi wamefanikiwa vipi lakini nachojua wamefanikiwa kibahati yaaani bila zali la mentali wasingetoboa.
Inaitwa kutakatisha fesha. Yaani biashara inaonekana ni halali kwa fedha zisizo halaliSwali la msingi sana hili[emoji28] Mabro wengi wanaovuma mjini walianza na Haram kisha wakahamia kwenye Halal na Capital walio-generate kwenye Haram. Hakuna atakaekwambia ukweli wa hustle zake.
Halafu hapo 2m ni kwa wiki. Maana yake 8m kwa mwezi.Tunatofautiana, kuna mwengine hiyo ni ya umeme tu anaotumia nyumbani kwake au mboga ya siku mbili tatu
Kwa mwengine ni mtaji ambao unaweza kumtoa kimaisha na akaishi kwa amani mkono ukienda kinywani katika maisha yake yote yaliyobakia duniani yeye na uzao wake
Tuombe uzima chief .Mkuu niko kwenye hali kama yako nami nimechoma mtaji nilio kuwa nao ndio nipo najitafuta upya. Sema mkuu kuchoma mtaji ni kawaida tu wala usife moyo, kama vipi hiyo April njoo tukimbize kwenye hizo nafaka. Nafaka iko poa na una tengeneza mtaji mzuri tu.
Uchawa,mtu hadi kajenga jijumba la 1.3b
kuna risk za uchawa hasa kuliwa
Salute mkuu SEMA mtaji ukikata linakua Kama funzo uwezi kuludia makosa yale Yale. Au sioMkuu niko kwenye hali kama yako nami nimechoma mtaji nilio kuwa nao ndio nipo najitafuta upya. Sema mkuu kuchoma mtaji ni kawaida tu wala usife moyo, kama vipi hiyo April njoo tukimbize kwenye hizo nafaka. Nafaka iko poa na una tengeneza mtaji mzuri tu.
Salute mkuu SEMA mtaji ukikata linakua Kama funzo uwezi kuludia makosa yale Yale. Au sio
Tuombe uzima chief .