Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatuwezi wote kuwa machawa,japo unalipaUchawa,mtu hadi kajenga jijumba la 1.3b
Hii ni ajira mpya kabisa imetengezwa hapa bongo,changamkia fursa utusue bloangu,🤣🤣🤣hatuwezi wote kuwa machawa,japo unalipa
Tunatofautiana, kuna mwengine hiyo ni ya umeme tu anaotumia nyumbani kwake au mboga ya siku mbili tatuSasa milioni mbili itakusaidia nini?
niwe na uwezo wa earn 5million as a profit per month chief!Mkuu umesema umeendesha boda ya mkataba ukala za uso,nn kilikushida,? Na unaposema kutoboa unamaansha dl ya milion ngap, labda 5,10 au
sahihi mkuuTunatofautiana, kuna mwengine hiyo ni ya umeme tu anaotumia nyumbani kwake au mboga ya siku mbili tatu
Kwa mwengine ni mtaji ambao unaweza kumtoa kimaisha na akaishi kwa amani mkono ukienda kinywani katika maisha yake yote yaliyobakia duniani yeye na uzao wake
sio poah chiefbongo bila koneksheni pagumu sana
mmamae dili la kikubwa hili!Tulia nikupe Dili la jamaa mmoja askari mkoa Fulani hapa Tanzania.
Dili likuwa hivi, kuna Kijiji Fulani katika huo mkoa kuna wafugaji wa Ngo'mbe sasa siku moja kukawa kuna Ngo'mbe wengi sana wameibiwa nadhani mnafahamu jamii za wafugaji.
Zile Ngo'mbe ziliibiwa maana jamii za wafugaji Huwa wana hizi tabia za kuibiana, basi ikapigwa simu kituo cha polisi Kijiji Fulani kuna wizi ya mifugo mingi , basi mapoti wakatoka kama sita na difenda mpaka uhuuuuu mpaka hapo kwenye Icho kijiji.
Basi polisi wale ikabidi waanze msako maana jamaa aliyebiwa mifugo ni msukuma na ana Ngo'mbe mpaka anasahau, basi wale mapoti waliendelea kutafuta mpaka Giza linaingia kwenye wengi lazima wapo wanaopata tamaa ndio kilitokea.
Wengine wakasema turudini hapa hakuna dalili halafu ni porini vbaya, wakasema nyinyi nendeni basi katika watu sita wakabaki watatu wale wenzao walikuja kuchukuliwa na bodaboda wao wakabaki na difenda.
Tafuta sana usiku kabsa wakawaona hao wajamaa walikuwa wamanga'ti wakawakamata.
Baada ya kuwakamata kuwabana wakasema sisi tunatumwa na boss wetu wakasema twendeni mmoja akasema unaweza ukaongea na boss ukavutwa waya boss akapokea, jamaa akasema boss tumekamatwa.
Boss akajibu shida nn hapo maliza kesi hiyo, akasema hawataki akasema nipe simu boss akapokea akasema mnataka shngap mapoti wakaanza kupanic ww unataka kutuonga boss hakuongea sana akasema kuna milioni200 hapa nataka tumalize jambo hilo daah kusikia vile wakaangaliana wakasema hata tufanye mpaka tuzeeke hatuipati.
Basi deal done likafanyika pale, makubaliano Jinsi ya pesa zao kuzipata.baada ya kutoka kule wakapanga wakisema tukifika tutasema tumewakosa.
Walivyorudi wakasema hivyo.
Huyo jamaa hapo katika mkoa wake amejenga hostel za watoto wa chuo, ana mabiashara ya Huduma za fedha mjini hapo kila sehemu. kutoka katika ile milion200
Alifanya miaka 3 mbele baadae akasema sababu za afya akaacha kazi huku usimamizi akiwapa watu ili wasimtilie shaka,
Ajabu zaidi katika hao watatu peke yake ndio katoboa wengine zile pesa ziliisha kwenye vikojoleo vya wanawake na pombe
Hahah daa mzee huo ni utajiri mbona, mshahara wa mkuu wa mkoa huo, mkuu kutoa kuendesha boda had ku earn 5M per month hyo lazma itakuwa ni black market, huko ni kupaa sio kupanda.niwe na uwezo wa earn 5million as a profit per month chief!
Wewe hujui deals haramu? Kauze/kabebe unga utatajirika haraka sana, kaibe benki kuna mabilioni kule pigo moja tu ushatoka,nenda mbugani Kaue tembo utatoka haraka sana.hata hizo deal haram weka hapa tuone inakuwaje kuwaje
😅😅😅 sema kwa uchawa wa jamaa wala sishangai unaeza kuta hata kaongwa na mwanamke iyo pesa.Uchawa,mtu hadi kajenga jijumba la 1.3b
chief hakuna sehemu nimesema naendesha boda,nimesema nilikua natoa boda za mkataba !!Hahah daa mzee huo ni utajiri mbona, mshahara wa mkuu wa mkoa huo, mkuu kutoa kuendesha boda had ku earn 5M per month hyo lazma itakuwa ni black market, huko ni kupaa sio kupanda.
kuna risk za uchawa hasa kuliwa😅😅😅 sema kwa uchawa wa jamaa wala sishangai unaeza kuta hata kaongwa na mwanamke iyo pesa.
Siku zote ukishakuwa maarufu kupata pesa ni rahisi sana, tena rahisi mnoooo.