aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Tembo hauwezi kumuua kwa rungu, itahitajika siraha. Huko benki pia huwezi kwenda na rungu! Kubeba sembe inahitajika koneksheni!Wewe hujui deals haramu? Kauze/kabebe unga utatajirika haraka sana, kaibe benki kuna mabilioni kule pigo moja tu ushatoka,nenda mbugani Kaue tembo utatoka haraka sana.
Hebu mtu anipe dili hata la sembe PM