Dili la Nabi Kwenda Kaizer Chief Labuma

Kwan aliwahi sema wap anaemda kaizer?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui lolote, walichoshindwana na Kaizer Chiefs Nabi alitaka aende na technical team yake akiwemo yule manywele ni muhimu sana kwa Nabi.

Kaizer Chiefs nao wana watu wao ambao wanawakubali hawapo tayari kuwafukuza kazi kisa matakwa ya Nabi.

Kwa lugha nyingine Nabi hakuwa mtu mzuri kwa riziki za watu wengine pale Kaizer Chiefs na hata Mungu hapendi hivyo.
 
Hapa Nabi kazingua mwenyewe kwanini asingefange malizana nao kabla haja acha kazi?
Hakua na muda. Huku CAFCC, huku NBCL, huku FA cup, huku Uto wanamtaka a extend mkataba akajikuta hana muda wa kutafakari vipi likitokea/lisitokee, litatokea/halitatokea nini. Alikua more optimistic.
 
Arudi aje awe kocha msaidizi Haina shida maana hakuondoka kwa ugonvi . Ile lone pair alioiacha Sasa hivi imeshapata electrone nyingine imesha pair na kutengeneza strong covalent bond. Hivyo nafasi ya Kaze inamtosha kwa sababu hata viwango vya ubora wa timu vimeongezeka
 
Ila wewe huwa unamsema Mshana Jr lakini na wewe ni kashitikina!!!!
Ukinionyesha mahali nimewahi kumsema viibaya nakurushia buku 10 sasa hivi. Unisichonganishe na watu tafadhali.
 
Hakua na muda. Huku CAFCC, huku NBCL, huku FA cup, huku Uto wanamtaka a extend mkataba akajikuta hana muda wa kutafakari vipi likitokea/lisitokee, litatokea/halitatokea nini. Alikua more optimistic.
Ndio kazi ya wakala hio au anafanya kazi kama duka la mangi?
 
Hakua na muda. Huku CAFCC, huku NBCL, huku FA cup, huku Uto wanamtaka a extend mkataba akajikuta hana muda wa kutafakari vipi likitokea/lisitokee, litatokea/halitatokea nini. Alikua more optimistic.
Hiyo ilikua kazi ya wakala wake
 
Yanga wamekataliwa kusajili mwaka huu 2023-2024
 
Alitaka kuleta mambo ya ulaya, kocha anakuja na watu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…