Dillemma!

nakubaliana 100%

 
Precisely, what is considered good sex?

I may not know exactly what is it..but what i know kazi yake kitandani inanipoteza ufahamu kabisaaa na nampa % percent.... but when it comes to life in general ana zirooo..
 

mahondaw hiyo siyo dalili nzuri, kwa uzoefu nilionao, achana nae haraka sana hiki kitakusumbua maishani mwako. Ikiwa kinachowaunganisha ni ngono tu, tambua kwenye ndoa maelewano na interest ndio kinachukua nafasi kubwa zaidi ya ngono.

Ikiwa hakuna maelewano mazuri hata ngono haitakuwepo kwani kila mmoja hatakuwa na hamu na mwenzake na ndipo hapo michepuko inapoanzia.

Take from me. ACHANA NA HUYO MTU, NI HAKIKA NDOA YENU HAITADUMU AMA ITAKUWA NI KUGOMBANA KILA MARA.
 
Last edited by a moderator:
mahusiano yenu yalianzaje bila kuwa na baadhi ya interest zinazofanana?

Interest zipi ambazo hazikufanana? Kila mmoja alikuwa na hamu ya ngono na mwenzake, na hiyo ndo kufanana kwa interest zao, ndio maana akasema, jamaa anamsasambua kweli kweli.
 
okey bill ninaufanyia kazi ushauri wako nashukuru sana.
 
Interest zipi ambazo hazikufanana? Kila mmoja alikuwa na hamu ya ngono na mwenzake, na hiyo ndo kufanana kwa interest zao, ndio maana akasema, jamaa anamsasambua kweli kweli.

you are right bill and i also think so.. nashukuru kwa kumuelewesha huyo kiumbe!
 
try to understand wewee salt salt.. at first we had a distant relationship but we kept correspondance from morning till night and it was very hot na tulikua tunaonana mara moja moja tu na kukaa kwa masaa kadhaa then kila mtu anaondoka ningemjuajee???? sasa nimeomba likizo nikaenda kwake mmhhh kila siku malumbano na naona hapana kwakweli sidhani if together we can.... upo hapo????
 
no he is close-minded hata nisema kwa kipaza sauti haelewi na he is aged kidogo japo kwakua ni me bado si mbaya kwake na amekimbiwa na wasichana wengi so alipoona mim nimemkubali may be kwa kutojua tabia zake za ndani anataka aharakishe kunitambulisha fasta fasta sasa nimeshtuka nikamwambia anipe muza zaidi weee malumbano yamekua mara mbili ya yale ya kila siku.. usiropoke ropoke tu.


cc. chumvichumvi
 
As far as comparative and absolute advantage are concerned, huyu dame anataka mumshauri namna ya kuadopt na kuadapt hali halisi aliyoko. Kwa hiyo mwambieni hivi, jamaa atabadilika siku moja, so asiteme bigijii
 
hapo chacha ndo panaponiumiza zaidi sex ina raha yake especially ukimpata mkunaji haswaa on the other side amani nayo ndo kila kitu thats why i'm in dillemma!

Kama hujui cha kuamua so far bora uwe single kwa muda.

Then uanze upya.

Trust your instincts.
 
As far as comparative and absolute advantage are concerned, huyu dame anataka mumshauri namna ya kuadopt na kuadapt hali halisi aliyoko. Kwa hiyo mwambieni hivi, jamaa atabadilika siku moja, so asiteme bigijii

its ur opinions not bad..
 

life is not about kitandani tu
 
nahitaji amani but at the same time ile nayo duh anyway i think its because kati ya niliokutana nao yeye ndio namuona the most katika sex na may be nahisi kumpata anaejua ni shidaaa.
Nothing in love comes easier and direct like in a movie, if it does then lucky was on your side...and at the end,all must be paid the huge price(wivu,rudeness,mistreatment n.k vinatofautiana kipimo tu,kwa huyu mwingi kwa yule kidogo...lakini kwa yeyote vipo).Jamaa atakuwa na wivu tu,m-shape.

The bottom line is, vyote vyarekebishika only if you two truly love each other.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…