HahahaNimetulia kama cucomber!!
Teh teh teh!
Emmyta woyooooooo!! Mikia, Mezani fc yamenunaaaa!Yanga 2 - Kagera 0
Hahahaa. Wacha kabisa rafiki.Emmyta woyooooooo!! Mikia, Mezani fc yamenunaaaa!
Si nimesema utuliiieeeeYanga wamehonga nini?? Nasikia jamaa wanajifunga makusudi.
Hahahaaa. Pole Mtani.Yanga wamehonga nini?? Nasikia jamaa wanajifunga makusudi.
Kumbe upoGoli nyingi zitatusaidia baadae
Umeshindwa kutuapdetia kule juu?La 2 ety
NipoooKumbe upo
Oooh. Hapo sawa.Nipooo
Oyoooo kila LA kheri timu ya wananchiYanga 3