Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

Mtajifariji sana ila hii yanga ni timu ya Kawaida kwa aliyeanglia mpira anaelewa hili na wakichukua ndoo itakuwa safi kwan kuna nguvu ya mungu inaiongoza yanga
Ni kweli msimu huu yanga ni timu ya kawaida na tuna ukata lakini tutachukua ubingwa! Zilikuwa pointi 8 sasa bado 3! Tukutane mwezi wa 5
 
Haipo ligi kuu kwa.timu zote zinazotambuliwa na shirikisho la soka la hapa nchini.
Bila shaka we mgeni kwenye ligi yetu?yaani huijui mbumbumbu fc? mezani fc je?hata mikia fc huijui?basi labda mbeleko fc utakua unaifahamu.
 
Ni kweli msimu huu yanga ni timu ya kawaida na tuna ukata lakini tutachukua ubingwa! Zilikuwa pointi 8 sasa bado 3! Tukutane mwezi wa 5
Mi nahesabu tushalingana point mana yeye mwenyewe mikia ana point zetu 3,sa ivi tunawaza namna ya kushinda hizo nyingine
 
Alaaaah, kumbe wachovu wa kimataifa walikuwa wanacheza leo?
Wanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.
 
Mi nahesabu tushalingana point mana yeye mwenyewe mikia ana point zetu 3,sa ivi tunawaza namna ya kushinda hizo nyingine
Hakika, ukizingatia wenzetu ni wazuri wa kuanza na sisi tuko vema kwenye kumalizia!
 
Wanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.
Mh !, wale jamaa Al Masry tangu mwaka Jana mwezi wa kwanza 2017 mpaka Ieo march 2018 kwenye uwanja wao wa home wamefungwa mechi 5 tu kuanzia ligi yao mpaka mechi za kimataifa, tena wamefungwa na waarabu wenzao tu, haijawahi kufungwa na timu nje ya nchi yai
O
 
Huwezi amini kama hii ndiyo ndimu inayotecha club bingwa Afrika!
 
Kagera fc, watawafuata ndugu zao Toto ya mwanza.
Wakicheza na Yanga wao wanawaza zawadi za viatu na mipira wanayowapatia.
Hata wakifika golini hawataki kuifunga yanga, mpira wajana umethibitisha.
Wanafungwa kirahisii huku wanachekelea.
Wako radhi kushuka daraja ilimuradi waifurahishe Yanga.
Wakifungwa na Simba wanalia uwanjani hadi akina Nyoso wanafikia kupigana na washabiki.
Wakifungwa na Yanga wao ni kicheko tu.
Msimu huu watawafuata rafiki zao Toto fc dalaja la pili.
Dadeki.
 
Hahahaha mikia bhana,umesahau jinsi mbao juzi mlivyocheza nao walivyowapa magoli?ile mechi yenu na mbao nataka takukuru waichunguze.
 
Hahahaha mikia bhana,umesahau jinsi mbao juzi mlivyocheza nao walivyowapa magoli?ile mechi yenu na mbao nataka takukuru waichunguze.
We subiri mzunguko wa pili Simba itapoifunga Kagera halafu anagalia hisia ya wachezaji wa Kagera baada ya kipenga cha mwisho.
Mechi ya Simba na Mbao ambayo mimi nilihisi Golikipa wa Mbao alicheza chini ya kiwango ni ile ya F.A ya mwaka 2017.
Lakini mechi zote kati ya Simba na Mbao ni ngumu sana na matokeo yanakuwa Sare au Kufungwa timu ya Mbao kimchezo.
Tofauti na mechi za Yanga na Kagera, miaka ya karibuni mechi zote Kagera anafungwa kirahisi sana hadi magoli Saba.
Na kwa kipindi hiki Kocha wao Meximo ambaye ndoto zake ni kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, ndio kabisa kumefanya iwe rahisi kubeti matokeo ya Yanga na Kagera.
Ukiutazama mchezo wa jana utaona kabisa Kagera wanafika kwenye 18 ya Yanga lakini wanashikwa na kigugumizi kutumbukiza mpira golini.
Mchezaji anabaki na golikipa si mara moja si marambili na anajifanya kujitoa ufahamu ghafla kama anavyofanya mshambuliaji wenu wa kudumu Mrisho Ngassa.
 
Wanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.

Usiwe na akili za panya....nani kakuambia mi ni shabiki wa Simba? Si bora Simba kuliko Yanga kimataifa, Simba wana rekodi nzuri shinda wachovu wa kimataifa kila mtu anajuwa hivyo. Jiulize we mwenyewe, toka umezaliwa mpaka ulikofikia umewahi kusikia Yanga imefanya maajabu katika mashindano ya kimataifa? Jibu lako ni Hapana, nadanganya? Si mnanenda kucheza na wale wachovu wenzenu huko kwao, utakuja kuniambia kama Yanga watarudi na majibu mazuri. Tunasubiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…