Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
YANGA
Undisputed VPL Champion
Undisputed VPL Champion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi kuu tanzania bara hamna hio timuBi hindu fc
Ipo jina lingine ni Malalamiko fcLigi kuu tanzania bara hamna hio timu
Au mbumbumbu fcLigi kuu tanzania bara hamna hio timu
Ni kweli msimu huu yanga ni timu ya kawaida na tuna ukata lakini tutachukua ubingwa! Zilikuwa pointi 8 sasa bado 3! Tukutane mwezi wa 5Mtajifariji sana ila hii yanga ni timu ya Kawaida kwa aliyeanglia mpira anaelewa hili na wakichukua ndoo itakuwa safi kwan kuna nguvu ya mungu inaiongoza yanga
Haipo ligi kuu kwa.timu zote zinazotambuliwa na shirikisho la soka la hapa nchini.Au mbumbumbu fc
Bila shaka we mgeni kwenye ligi yetu?yaani huijui mbumbumbu fc? mezani fc je?hata mikia fc huijui?basi labda mbeleko fc utakua unaifahamu.Haipo ligi kuu kwa.timu zote zinazotambuliwa na shirikisho la soka la hapa nchini.
Mi nahesabu tushalingana point mana yeye mwenyewe mikia ana point zetu 3,sa ivi tunawaza namna ya kushinda hizo nyingineNi kweli msimu huu yanga ni timu ya kawaida na tuna ukata lakini tutachukua ubingwa! Zilikuwa pointi 8 sasa bado 3! Tukutane mwezi wa 5
Wanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.Alaaaah, kumbe wachovu wa kimataifa walikuwa wanacheza leo?
Hakika, ukizingatia wenzetu ni wazuri wa kuanza na sisi tuko vema kwenye kumalizia!Mi nahesabu tushalingana point mana yeye mwenyewe mikia ana point zetu 3,sa ivi tunawaza namna ya kushinda hizo nyingine
Mh !, wale jamaa Al Masry tangu mwaka Jana mwezi wa kwanza 2017 mpaka Ieo march 2018 kwenye uwanja wao wa home wamefungwa mechi 5 tu kuanzia ligi yao mpaka mechi za kimataifa, tena wamefungwa na waarabu wenzao tu, haijawahi kufungwa na timu nje ya nchi yaiWanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.
Hahahaha mikia bhana,umesahau jinsi mbao juzi mlivyocheza nao walivyowapa magoli?ile mechi yenu na mbao nataka takukuru waichunguze.Kagera fc, watawafuata ndugu zao Toto ya mwanza.
Wakicheza na Yanga wao wanawaza zawadi za viatu na mipira wanayowapatia.
Hata wakifika golini hawataki kuifunga yanga, mpira wajana umethibitisha.
Wanafungwa kirahisii huku wanachekelea.
Wako radhi kushuka daraja ilimuradi waifurahishe Yanga.
Wakifungwa na Simba wanalia uwanjani hadi akina Nyoso wanafikia kupigana na washabiki.
Wakifungwa na Yanga wao ni kicheko tu.
Msimu huu watawafuata rafiki zao Toto fc dalaja la pili.
Dadeki.
We subiri mzunguko wa pili Simba itapoifunga Kagera halafu anagalia hisia ya wachezaji wa Kagera baada ya kipenga cha mwisho.Hahahaha mikia bhana,umesahau jinsi mbao juzi mlivyocheza nao walivyowapa magoli?ile mechi yenu na mbao nataka takukuru waichunguze.
Maskini Malalamiko FC.....watashngaa kombe litakavyochukuliwa kwa tofauti ya point.....Mikia bhana kaachwa mwingine wanalia wao
Rafiki yangu nashukuru kwa kunikumbuka ila majukumu yalinibana sana siku hii. Ila nafurahi sana tuliweza kushinda hii game. Tuko pamoja mkuuSouthern Highland uko wapi rafiki?
Wanaume hawaogopi mechi nyie mbumbumbu mmeamua kuescape game eti tunajiandaa na Al masry, teh teh teh teh,yaani mikia ni vichaa kweli umtoe Al masry kwao?ikitokea hivyo naenda kuwakomboa wale mabinti waliotekwa na boko haramu.