Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Tusubiri shamsa ford lazima huu ugomvi ausike maana alidai atakae gombana na zama pia nae kagombana nae

Kumbe? Kweli mjini hapa kuna mambo balaa.Atagombana na wangapi? Unafiki mwingine haufai kabisa.
 
Hahahahahahaa, kweli kila mtu nasikia anasema hivyo.
Ngoja EFM wamchukue ndio watajuta.

Mbona naskia anatangaza Capital redio sa ivi. Huyo Betina naskia wivu ulikua una msumbua kisa bi Dada alikua ana mfunika.
Ila Dina kwenye utangazi yuko vizuri sana.
 
Athari za Mapenzi kazini. Dina yuko vizuri. Tangu ameondoka leo tena imepwaya sana. Zama simpendi sijui kwa nini. Halafu kimdomo chake kinaonyesha kama ana majungu.
 
Kumbe? Kweli mjini hapa kuna mambo balaa.Atagombana na wangapi? Unafiki mwingine haufai kabisa.

Aliandika liukurasa hilo huko insta kajinafikisha mpaka akasema hivyo nilimshangaa nikamshusha cheo huyu mama ney
 
Attachments

  • 1433683731107.jpg
    1433683731107.jpg
    41 KB · Views: 642
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Boss wa efm hajamuona dina maana ncha kal yopo efm..

Na wanavyojishaua kujifanya watangazaji wa BBC mxiuuu, yani yanaingizwa kwenye mabifu ya watu kisa tu wameajiriwa, mie huo utumwa siutaki kwa kweli
 
YUle mamaa wa bitches be like? AHaaah ahahh unanikumbusha matumbo, yeye ndo anamuwezea yule

Ha ha ha ndo maana yake.....mamaa wa bitches be like.Yule kamshindwa maana kibomu kimoja bibie mwenyewe akazaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi niliona insta watu wanamsema katika page yake kuwa aache kumpelekesha Gea ktk kipindi

Mwenzangu, kipindi chake kidogo tu kweny redio ila anavyojifanya anajiamni mmh, ndo maana mwenzetu anakuwa na ma confidence, chezeya dudu ya boss weye?, siku ntamnyea kwnnye account yake mpaka akue?
 
Hahahahaaa, nilibahatika kukisoma ila nilikua mdogo sana hadi sikumbuki vizuri.

Ivi yule mtoto wa zamaradi ni wa ruge kweli? Mbona katoto kazur sana kale? Kasheshe nikimuangalia baba na mama nachoka, sura zao kama maiti zilizopata ajali, khaa au ndo kafanana na babu?
 
Mwenzangu, kipindi chake kidogo tu kweny redio ila anavyojifanya anajiamni mmh, ndo maana mwenzetu anakuwa na ma confidence, chezeya dudu ya boss weye?, siku ntamnyea kwnnye account yake mpaka akue?

Ha ha ha na wewe huchelewi.....ile tuzo za watu walimsifia kapendeza kuna mtu aka comment kuwa nguo ndo nzuri ila zama hana damu ya nguo.Alimblock
 
Ivi yule mtoto wa zamaradi ni wa ruge kweli? Mbona katoto kazur sana kale? Kasheshe nikimuangalia baba na mama nachoka, sura zao kama maiti zilizopata ajali, khaa au ndo kafanana na babu?

Juhjuh o?
 
Ha ha ha ndo maana yake.....mamaa wa bitches be like.Yule kamshindwa maana kibomu kimoja bibie mwenyewe akazaa

Siku izi kaokoka, naona anajipigaga ma selfies kanisan, nyie yule ray c kwel mtambo, naona methadone hazijafanya kz bado
 
Back
Top Bottom