Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Ha ha ha mapenzi kazini......anyway kama anajua kapata basi kapatikana
Hivi huyo mtoto wa alijifungua atakua ni wa ruge pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha mapenzi kazini......anyway kama anajua kapata basi kapatikana
Tusubiri shamsa ford lazima huu ugomvi ausike maana alidai atakae gombana na zama pia nae kagombana nae
Ana mwili mgumu mno naye ka Betina mweeeh. Watu wanadai ndo aliye mfanya mwenzake atoke clouds.
Mungu anisamehe maana mm siumbi, huyo minjino huwa simpendagi tuu sijui kwnn tuu.
Hahahahahahaa, kweli kila mtu nasikia anasema hivyo.
Ngoja EFM wamchukue ndio watajuta.
Kumbe? Kweli mjini hapa kuna mambo balaa.Atagombana na wangapi? Unafiki mwingine haufai kabisa.
Hivi huyo mtoto wa alijifungua atakua ni wa ruge pia
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Boss wa efm hajamuona dina maana ncha kal yopo efm..
Athari za Mapenzi kazini. Dina yuko vizuri. Tangu ameondoka leo tena imepwaya sana. Zama simpendi sijui kwa nini. Halafu kimdomo chake kinaonyesha kama ana majungu.
Sasa kwa nini anasema hana uwezo ilihali anajua fika zama ni kitu cha ruge anamshusha cheo zama
YUle mamaa wa bitches be like? AHaaah ahahh unanikumbusha matumbo, yeye ndo anamuwezea yule
Kuna kipindi niliona insta watu wanamsema katika page yake kuwa aache kumpelekesha Gea ktk kipindi
Hahahahaaa, nilibahatika kukisoma ila nilikua mdogo sana hadi sikumbuki vizuri.
Mwenzangu, kipindi chake kidogo tu kweny redio ila anavyojifanya anajiamni mmh, ndo maana mwenzetu anakuwa na ma confidence, chezeya dudu ya boss weye?, siku ntamnyea kwnnye account yake mpaka akue?
Ivi yule mtoto wa zamaradi ni wa ruge kweli? Mbona katoto kazur sana kale? Kasheshe nikimuangalia baba na mama nachoka, sura zao kama maiti zilizopata ajali, khaa au ndo kafanana na babu?