Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.

Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.

Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.

Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa jaama.

Tupigane vita zao kwa ajili ya Mungu
Tuwatukuze wao kwa ajili ya Mungu

Nafikiri baada ya gongo, dini ndio kitu kinacho lewesha na kutengeneza ulaibu juu ya watu, na hauwezi mwambia mtu chochote.

Dini inafanya mtu asiwe na fikra-binafsi-tambuzi.

Dini inakuondelea "a will" ya kuuliza maswali na kujifikirisha.

Hivi karibuni kuongezeka kwa WAPAGANI/ATHEISTS, sababu kubwa ni dini walaa sio eti wanamchukia Mungu.

Dini zinatengeneza aina ya Mungu alie "very complicated" kufanya watu wawategemee wao for the sake ya kupata miujiza au kwenda peponi.

Dini zimesababisha watu wasimfikie Mungu, dini imemuondelea mwanadamu kiu halisi binafsi ya kumuabudu Mungu so na kwa upambavu na viburi vyetu tumwshindwa kushtuka thus ndio maana Mungu kawa mbali.
 
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.

Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.

Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.

Yani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa jaama.

Tupigane vita zao kwa ajili ya Mungu
Tuwatukuze wao kwa ajili ya Mungu

Nafikiri baada ya gongo, dini ndio kitu kinacho lewesha na kutengeneza ulaibu juu ya watu, na hauwezi mwambia mtu chochote.

Dini inafanya mtu asiwe na fikra-binafsi-tambuzi.

Dini inakuondelea "a will" ya kuuliza maswali na kujifikirisha.

Hivi karibuni kuongezeka kwa WAPAGANI/ATHEISTS, sababu kubwa ni dini walaa sio eti wanamchukia Mungu.

Dini zinatengeneza aina ya Mungu alie "very complicated" kufanya watu wawategemee wao for the sake ya kupata miujiza au kwenda peponi.

Dini zimesababisha watu wasimfikie Mungu, dini imemuondelea mwanadamu kiu halisi binafsi ya kumuabudu Mungu so na kwa upambavu na viburi vyetu tumwshindwa kushtuka thus ndio maana Mungu kawa mbali.

1. Kutokana na Wewe hapo Mungu ni Nani? Natarajia jibu ambalo halija base kwenye kitabu chochote cha dini.

2. Kutokana na wewe hapo ibada zako unazifanya vipi? Nataraji pia jibu kutoka nje ya mafundisho nje ya vitabu vyote vya dini.

3. Kingine kutokana na wewe mafundisho ya dini , sheria zake na mipaka vimekufikoa vipi?
 
Back
Top Bottom