Mimi sioni Mungu wangu ndiye Mungu sahihi kuliko Mungu wa wengine.Uzuri na kichekesho cha waamini Mungu ni kwamba kila mmoja anaona Mungu wake ndio sahihi
Bora yako mkuu unayemuona Mungu wako ukiangalia sura za watu
Allahu akbarSoma wasifu wa Kila mmoja then utaona kuwa hata baadhi ya vitu unavyovisoma darasani waanzilishi ni wao
Mimi sioni Mungu wangu ndiye Mungu sahihi kuliko Mungu wa wengine.
Mimi silichukii dhehebu lolote, siichukii dini yoyote.
Mimi mtu akisema tu namwamini Mungu, tumaini langu ni Mungu, basi kwangu inatosha haijalishi anazungumza kutoka dini au dhehebu gani.
Mungu ni UPENDO.
🤣SawaKama yako
🤣Sikereki..ila mnajiona special..while u ain'tPita hivi
Tuwache sisi na dini uchwara kwani unakereka sisi kuwa na dini? Kunywa sumu ufe
🤣Huna hoja.. umeulizwa how unasema maharage cjuiKila unachokiona ni muujiza
Hata wewe mwenyewe ni muujiza
Ila kama umeshiba maharage pita hivi
Unajuaje anakuwa influenced na kiumbe kingine na sio mental factors?Simply,..matatizo ya afya ya akili huwa yanatokana na environmental, biological na psychological factors ambazo zinapelekea shida kwenye afya ya akili ya muhusika.
Tofauti na mtu kuwa Demon possessed, ambapo utakuta vitendo vya mtu husika vinakua controlled au influenced na kiumbe mwingine....
So, hivyo vitu viwili haviendani kabisa.
That doesn't prove any religion is trueRubbish.
Life and its diversity is too intricate to be a result of Mindless and blind evolution.
And how does that prove your claim?That doesn't prove any religion is true
Only a stupid person will believe God created everything out of nothing...And how does that prove your claim?
We are the same brother.
Only a stupid person will believe we descended from apes just because of our genetical closeness/relationship.
Yeah the feeling is mutual, That's why i said we are both stupid.Only a stupid person will believe God created everything out of nothing...
🤣🤣There's more evidence of evolution kuliko hata ur invisible sky daddy my friend. Just coz evolution haiendani na ur creation myth ya a naked couple in a garden with a talking snake...doesn't make evolution which is a scientific accepted fact stupid... kingine mi sijasema chochote I didn't say hamna gods au god au creator deity..I just said not knowing kitu doesn't prove religion coz kila dini inatumia Chaka Hilo Hilo la where we came from n how things exist etc..so u have to prove why we ni mkristo au muislam basing on religion only sio argument from ignorance Kama zako..And how does that prove your claim?
We are the same brother.
Only a stupid person will believe we descended from apes just because of our genetical closeness/relationship.
Let's start here, describe them?There's more evidence of evolution kuliko hata ur invisible sky daddy my friend
Dini ni nini?Dini ni dhana pana haishii kwenye ukristo na uislam tu, hata hao atheist wana dini, wana imani yao, wana kitu walichokitengeneza ku saticifie their mind as beliefs.
kwa mwenye imani hawezi kuwaona wamisionari kama ni maajenti wa ukoloni. Wale walileta injili, inatosha kuamini hivyo. Nje na mtazamo huo ni ukengeufu wa kiimani. Ukoloni uliondoka tukapata uhuru, why missioneries wabaki hadi sasa na wapelelezi hawapo?Uko vizuri kijana, dini ni umasikini ndio maana matajiri wote huonekana hawana utu makatili. Iko hivi kabla wakoloni hawajaja Afrika kulikuwa na vitangulizi vya ukoloni, walikuwepo wapelelezi, wakaja wafanyabiashara halafu wakaja WAMISIONARI , hawa nimewaandika kwa herufi kubwa kwani ndio walikuja kumaliza mchezo, wakaanza kuwaaminisha watu mambo ya samehe 7x70, kwamba kuna maisha baada ya kifo na waliokukosea watahukumiwa huko. Hii ikafanya babu zetu wavumilie mateso wakiamini kuna siku adui zao wataangamizwa na moto. Mkoloni akaendelea kutamba na zaidi baadhi ya wakoloni walikaa bega kwa bega na waafrika kiasi wakawaamisha wako pamoja nao na kuwaongezea imani kuwa dini itawalipia maadui zao.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kupigwa tukio kusingewezekana kwa yeyote yule.Waliweka bongo muvi character mmoja alikua hana habari na Mungu halafu mwishoni akapigwa tukio
Mjadala ukaanzia hapo
ni hicho unachokiabuduDini ni nini?