Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Mimi sioni Mungu wangu ndiye Mungu sahihi kuliko Mungu wa wengine.Uzuri na kichekesho cha waamini Mungu ni kwamba kila mmoja anaona Mungu wake ndio sahihi
Bora yako mkuu unayemuona Mungu wako ukiangalia sura za watu
Mimi silichukii dhehebu lolote, siichukii dini yoyote.
Mimi mtu akisema tu namwamini Mungu, tumaini langu ni Mungu, basi kwangu inatosha haijalishi anazungumza kutoka dini au dhehebu gani.
Mungu ni UPENDO.