Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Uzuri na kichekesho cha waamini Mungu ni kwamba kila mmoja anaona Mungu wake ndio sahihi

Bora yako mkuu unayemuona Mungu wako ukiangalia sura za watu
Mimi sioni Mungu wangu ndiye Mungu sahihi kuliko Mungu wa wengine.

Mimi silichukii dhehebu lolote, siichukii dini yoyote.

Mimi mtu akisema tu namwamini Mungu, tumaini langu ni Mungu, basi kwangu inatosha haijalishi anazungumza kutoka dini au dhehebu gani.

Mungu ni UPENDO.
 
Hii ndio tatizo la dhana nzima ya Mungu

Hao Miungu wako wangapi? Waligawana vitu vya kuumba mkuu?

Mungu Yesu na miungu ya kigiriki ni totally different
Miungu ya Vikings na Allah ni vitu hata havishabihiani kabisa

Actually Theist wanapingana hadi kuuana zaidi kugombania Mungu gani ni sahihi kuliko hata Atheist wanavyo argue na Theist

Miungu ya kigiriki inataka kafara za binadamu
Miungu ya Vikings ilikua inataka hadi kafara za watoto wazazi watumwa nk
Enzi za Mudi ilikua ama usilimu au ulipe kodi kubwa kutokuwa muislam au ukatwe shingo na mali na familia yako kugeuzwa watumwa....... eti Mungu ni Pendo

Tatizo lenu hamsomi historia hizi dini zilipotokea na maujinga yake
 
Simply,..matatizo ya afya ya akili huwa yanatokana na environmental, biological na psychological factors ambazo zinapelekea shida kwenye afya ya akili ya muhusika.

Tofauti na mtu kuwa Demon possessed, ambapo utakuta vitendo vya mtu husika vinakua controlled au influenced na kiumbe mwingine....

So, hivyo vitu viwili haviendani kabisa.
Unajuaje anakuwa influenced na kiumbe kingine na sio mental factors?
 
And how does that prove your claim?
We are the same brother.
Only a stupid person will believe we descended from apes just because of our genetical closeness/relationship.
🤣🤣There's more evidence of evolution kuliko hata ur invisible sky daddy my friend. Just coz evolution haiendani na ur creation myth ya a naked couple in a garden with a talking snake...doesn't make evolution which is a scientific accepted fact stupid... kingine mi sijasema chochote I didn't say hamna gods au god au creator deity..I just said not knowing kitu doesn't prove religion coz kila dini inatumia Chaka Hilo Hilo la where we came from n how things exist etc..so u have to prove why we ni mkristo au muislam basing on religion only sio argument from ignorance Kama zako..
 
Dini ni dhana pana haishii kwenye ukristo na uislam tu, hata hao atheist wana dini, wana imani yao, wana kitu walichokitengeneza ku saticifie their mind as beliefs.
Dini ni nini?
 
Uko vizuri kijana, dini ni umasikini ndio maana matajiri wote huonekana hawana utu makatili. Iko hivi kabla wakoloni hawajaja Afrika kulikuwa na vitangulizi vya ukoloni, walikuwepo wapelelezi, wakaja wafanyabiashara halafu wakaja WAMISIONARI , hawa nimewaandika kwa herufi kubwa kwani ndio walikuja kumaliza mchezo, wakaanza kuwaaminisha watu mambo ya samehe 7x70, kwamba kuna maisha baada ya kifo na waliokukosea watahukumiwa huko. Hii ikafanya babu zetu wavumilie mateso wakiamini kuna siku adui zao wataangamizwa na moto. Mkoloni akaendelea kutamba na zaidi baadhi ya wakoloni walikaa bega kwa bega na waafrika kiasi wakawaamisha wako pamoja nao na kuwaongezea imani kuwa dini itawalipia maadui zao.
 
kwa mwenye imani hawezi kuwaona wamisionari kama ni maajenti wa ukoloni. Wale walileta injili, inatosha kuamini hivyo. Nje na mtazamo huo ni ukengeufu wa kiimani. Ukoloni uliondoka tukapata uhuru, why missioneries wabaki hadi sasa na wapelelezi hawapo?
 
Kama dini itatoweka duniani basi ni mwisho wake kutawala na zama za giza la kiroho kushika hatamu. Siku za mwisho watu watajitenga na kweli kwa kufuata mafundisho ya uongo
 
Kama dini itatoweka duniani basi ni mwisho wake kutawala na zama za giza la kiroho kushika hatamu. Siku za mwisho watu watajitenga na kweli kwa kufuata mafundisho ya uongo
 
Waliweka bongo muvi character mmoja alikua hana habari na Mungu halafu mwishoni akapigwa tukio
Mjadala ukaanzia hapo
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kupigwa tukio kusingewezekana kwa yeyote yule.

Hilo tendo la kupigwa tukio lenyewe ni ushahidi Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom