SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Mbona waislamu wanasema Mungu Hana mtoto...😂huogopi moto wa mzee mudiNitamtumainia Mungu wangu Huyu aliyeziumba mbingu na nchini ambaye ni Apha na Omega yeye ndo aliyeniumba kanipa uhai afya njema utajiri amani hata sasa amenisaidia hakuna kama yeye acha nimsifu hakika hakuna kama Yeye Mungu Baba aliumba mbingu na nchi alimtuma mwanae wa pekee Yesu Kristo kila goti litapigwa jina lipitalo majina yooote Yesu nakupenda sana.
Sio dini...issue ni superstitious beliefs zote ..dini uchawi ushirikina...vinazuia scientific development coz vitu vya nature vya kuvistudy kuvielewa utaishia kuvitambikia cjui kuviswalia na when that doesn't work unasema mpango wa Mungu...doesn't solve shitSio hivyo, ishu ni kwamba mtoa hoja amejaribu kuonyesha kwamba watu wa dini hawawezi kuwa wavumbuzi aidha kutokana na akili zao ndogo kama anavvyowachukulia yeye au sababu nyingine...
Ndiyo maana nikamuomba yeye kama atheist "Atuonyeshe uvumbuzi wowote alioufanya wenye tija Kwa Dunia nzima au atleast jamii ya Tanzania tu toka aachane na hizo dini"
Lengo tuone kama ni kweli kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.?
NB:- Binafsi naona mtu kuwa atheists au theist haimfanyi awe mvumbuzi,.kuwa mvumbuzi inategemea factors kadha wa kadha na kwenye hizo factors huenda dini ikawa ya mwisho mwisho huko so tusitumie dini kama kisingizio cha kushindwa kuwa wavumbuzi.
Wat is the evidence...huyo Mungu ana sura billion 7 au...Bac tungekuwa mfano wa Mungu na sisi tungekuwa hatuonekaniNimekuambia hata wewe mwenyewe ni muujiza, huamini?
Huamini kuwa wewe ni mfano wa Mungu?
Soma definition ya religion hata wikipedia...dini Kuna mambo ya supernatural beliefs mambo ya rituals...😂sio mfumo sijui wa maisha...ni belief system...mi Nikiwa nafuatilia mpira siwezi sema ni dini coz sitoi sadaka..hakina kitabu au sehemu takatifu cjui hamna mapastor wa mpira etc...Sifahamu,.. kwanini wamefanya hivyo mkuu?
Wakati nasubiria majibu yako,..Dini ni njia au mfumo wa maisha ambao mtu au jamii fulani inaamua kuufuata, hakuna mtu asiye na dini(mfumo)....hivyo basi Hata Korea wana dini(mifumo/mfumo wa maisha yao) labda tuseme kwamba wamezikataa dini fulani zisiingie nchini mwao ili wabaki na dini zao.
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"Je unafahamu kuwa dini zilimkuta binadamu ameshaishi mamia ya miaka ? Je kabla ya apo hakua na maisha?
Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!Sio dini...issue ni superstitious beliefs zote ..dini uchawi ushirikina...vinazuia scientific development coz vitu vya nature vya kuvistudy kuvielewa utaishia kuvitambikia cjui kuviswalia na when that doesn't work unasema mpango wa Mungu...doesn't solve shit
Mambo ya imani hayategemei sana evidence. Bila shaka kuna mkwamo fulani kwenye maisha yako na sidhani kama naweza kukutoa hapoWat is the evidence...huyo Mungu ana sura billion 7 au...Bac tungekuwa mfano wa Mungu na sisi tungekuwa hatuonekani
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"
Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.
Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,
Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?
Impossible.
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.Hiyo ni tafsiri ya dini kwa mujibu wa uislam na kiarabu....... sio tafsiri ya dini kwa maana ya Religion
Hapa inaongelewa RELIGION na sio DIN ya kiarabu tu
Dini iliyokamilika ina cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.Soma definition ya religion hata wikipedia...dini Kuna mambo ya supernatural beliefs mambo ya rituals...😂sio mfumo sijui wa maisha...ni belief system...mi Nikiwa nafuatilia mpira siwezi sema ni dini coz sitoi sadaka..hakina kitabu au sehemu takatifu cjui hamna mapastor wa mpira etc...
That's where you're wrong brother 😅 😅Hutaki acha...mi sio evolutionary biologist...so siwezi force uelewe something that ain't my field...ukiwa unataka kujua utafuatilia.
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.
Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"
Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.
Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,
Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa
Dini bila kuweka imani za mavitu yasiyoonekana na ambayo kiuhalisia hayapo ,hiyo siyo dini ni sheria na taratibu za nchi tu au jamii fulani.Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"
Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.
Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,
Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?
Impossible.
Kondoo mmoja katikati ya mbwa mwitu 1000 atafanya kitu gani zaidi ya kuliwa tu .Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!
Kuna scientific development yoyote tutegemee toka kwako?
Kwahiyo usipoifuata hiyo dini hauna maisha?Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.
Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.
Yes,..Kwa tafsiri sahihi ya dini basi hata atheists wana dini(mfumo wa maisha yao,namna wamejiamulia njia zao za kuishi)Kwahiyo Atheist wana dini mkuu?
Fafanua kidogo nipate mwanga
Atheist ni mtu ambaye haamini katika supernatural(Mungu, uchawi, shetani, malaika, mbinguni dini nk)
Dini inaambatana na kutekeleza matakwa ya IMANI fulani, yaani ibada na mambo gani ufanye/usifanye ili usiikosee na upate favor kutoka kwa supernatural inayo iamini
Upo sahihi lakini suala la uvumbuzi ni suala mtambuka sana,..Kondoo mmoja katikati ya mbwa mwitu 1000 atafanya kitu gani zaidi ya kuliwa tu .
Maisha still unayo Kwasababu,.. automatically usipofuata dini hiyo utafuata dini(mfumo/njia) nyingine utakayoona inafaa kwenye maisha yako.Kwahiyo usipoifuata hiyo dini hauna maisha?