SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Mbona waislamu wanasema Mungu Hana mtoto...😂huogopi moto wa mzee mudiNitamtumainia Mungu wangu Huyu aliyeziumba mbingu na nchini ambaye ni Apha na Omega yeye ndo aliyeniumba kanipa uhai afya njema utajiri amani hata sasa amenisaidia hakuna kama yeye acha nimsifu hakika hakuna kama Yeye Mungu Baba aliumba mbingu na nchi alimtuma mwanae wa pekee Yesu Kristo kila goti litapigwa jina lipitalo majina yooote Yesu nakupenda sana.