Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Nitamtumainia Mungu wangu Huyu aliyeziumba mbingu na nchini ambaye ni Apha na Omega yeye ndo aliyeniumba kanipa uhai afya njema utajiri amani hata sasa amenisaidia hakuna kama yeye acha nimsifu hakika hakuna kama Yeye Mungu Baba aliumba mbingu na nchi alimtuma mwanae wa pekee Yesu Kristo kila goti litapigwa jina lipitalo majina yooote Yesu nakupenda sana.
Mbona waislamu wanasema Mungu Hana mtoto...😂huogopi moto wa mzee mudi
 
Sio hivyo, ishu ni kwamba mtoa hoja amejaribu kuonyesha kwamba watu wa dini hawawezi kuwa wavumbuzi aidha kutokana na akili zao ndogo kama anavvyowachukulia yeye au sababu nyingine...

Ndiyo maana nikamuomba yeye kama atheist "Atuonyeshe uvumbuzi wowote alioufanya wenye tija Kwa Dunia nzima au atleast jamii ya Tanzania tu toka aachane na hizo dini"

Lengo tuone kama ni kweli kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.?

NB:- Binafsi naona mtu kuwa atheists au theist haimfanyi awe mvumbuzi,.kuwa mvumbuzi inategemea factors kadha wa kadha na kwenye hizo factors huenda dini ikawa ya mwisho mwisho huko so tusitumie dini kama kisingizio cha kushindwa kuwa wavumbuzi.
Sio dini...issue ni superstitious beliefs zote ..dini uchawi ushirikina...vinazuia scientific development coz vitu vya nature vya kuvistudy kuvielewa utaishia kuvitambikia cjui kuviswalia na when that doesn't work unasema mpango wa Mungu...doesn't solve shit
 
Nimekuambia hata wewe mwenyewe ni muujiza, huamini?

Huamini kuwa wewe ni mfano wa Mungu?
Wat is the evidence...huyo Mungu ana sura billion 7 au...Bac tungekuwa mfano wa Mungu na sisi tungekuwa hatuonekani
 
Sifahamu,.. kwanini wamefanya hivyo mkuu?

Wakati nasubiria majibu yako,..Dini ni njia au mfumo wa maisha ambao mtu au jamii fulani inaamua kuufuata, hakuna mtu asiye na dini(mfumo)....hivyo basi Hata Korea wana dini(mifumo/mfumo wa maisha yao) labda tuseme kwamba wamezikataa dini fulani zisiingie nchini mwao ili wabaki na dini zao.
Soma definition ya religion hata wikipedia...dini Kuna mambo ya supernatural beliefs mambo ya rituals...😂sio mfumo sijui wa maisha...ni belief system...mi Nikiwa nafuatilia mpira siwezi sema ni dini coz sitoi sadaka..hakina kitabu au sehemu takatifu cjui hamna mapastor wa mpira etc...
 
Ya pili na ya tatu sio dini kwa sababu it doesn't involve anything supernatural..acha kuforce definition
 
Je unafahamu kuwa dini zilimkuta binadamu ameshaishi mamia ya miaka ? Je kabla ya apo hakua na maisha?
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"

Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.

Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,

Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?

Impossible.
 
Sio dini...issue ni superstitious beliefs zote ..dini uchawi ushirikina...vinazuia scientific development coz vitu vya nature vya kuvistudy kuvielewa utaishia kuvitambikia cjui kuviswalia na when that doesn't work unasema mpango wa Mungu...doesn't solve shit
Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!

Kuna scientific development yoyote tutegemee toka kwako?
 
Wat is the evidence...huyo Mungu ana sura billion 7 au...Bac tungekuwa mfano wa Mungu na sisi tungekuwa hatuonekani
Mambo ya imani hayategemei sana evidence. Bila shaka kuna mkwamo fulani kwenye maisha yako na sidhani kama naweza kukutoa hapo

Ninaposema wewe ni mfano wa Mungu simaanishi una uwezo sawa wa asilimia 100 kama alivyo Mungu.

Naomba nikuache kwa sasa sitashiriki tena majibizano ya kipumbavu nina majukumu mengine mhimu zaidi kwa ajili yangu na familia yangu
 
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"

Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.

Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,

Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?

Impossible.

Hiyo ni tafsiri ya dini kwa mujibu wa uislam kwa kiarabu....... sio tafsiri ya dini Kiswahili kwa maana ya Religion

Hapa inaongelewa RELIGION na sio DIN ya kiarabu tu
 
Hiyo ni tafsiri ya dini kwa mujibu wa uislam na kiarabu....... sio tafsiri ya dini kwa maana ya Religion

Hapa inaongelewa RELIGION na sio DIN ya kiarabu tu
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.
 
Soma definition ya religion hata wikipedia...dini Kuna mambo ya supernatural beliefs mambo ya rituals...😂sio mfumo sijui wa maisha...ni belief system...mi Nikiwa nafuatilia mpira siwezi sema ni dini coz sitoi sadaka..hakina kitabu au sehemu takatifu cjui hamna mapastor wa mpira etc...
Dini iliyokamilika ina cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Ndiyo maana nikasema dini ni mfumo kamili wa maisha Kwa kuzingatia kwamba mtu au watu wanaoishi kwa kufuata kanuni fulani wataziishi kanuni zao kwenye nyanja zote za maisha uchumi,jamii na siasa.(hivyo basi hata kwenye mpira dini zinaingia... mfano utakuta mchezaji anakataa kusaini mkataba na kampuni Fulani Kwa kua kampuni hiyo biashara zake zipo kinyume na kanuni za dini yake...hivyo ndivyo dini ilivyo)

Ni ruhusa kubaki na mtazamo wako lakini.
 
Hutaki acha...mi sio evolutionary biologist...so siwezi force uelewe something that ain't my field...ukiwa unataka kujua utafuatilia.
That's where you're wrong brother 😅 😅

I understand these things very much.

You don't need to force me to understand any of these theories, do you even know why are they called theories?

Brother I'm not underestimating you, but if we get to it, you can't keep up with me.

Brother Don't believe in things you can't even explain without googling.
 
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.

Kwahiyo Atheist wana dini mkuu?

Fafanua kidogo nipate mwanga

Atheist ni mtu ambaye haamini katika supernatural(Mungu, uchawi, shetani, malaika, mbinguni dini nk)

Dini inaambatana na kutekeleza matakwa ya IMANI fulani, yaani ibada na mambo gani ufanye/usifanye ili usiikosee na upate favor kutoka kwa supernatural inayo iamini
 
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"

Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.

Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,

Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa

Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"

Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.

Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,

Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?

Impossible.
Dini bila kuweka imani za mavitu yasiyoonekana na ambayo kiuhalisia hayapo ,hiyo siyo dini ni sheria na taratibu za nchi tu au jamii fulani.
 
Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!

Kuna scientific development yoyote tutegemee toka kwako?
Kondoo mmoja katikati ya mbwa mwitu 1000 atafanya kitu gani zaidi ya kuliwa tu .
 
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.
Kwahiyo usipoifuata hiyo dini hauna maisha?
 
Kwahiyo Atheist wana dini mkuu?

Fafanua kidogo nipate mwanga

Atheist ni mtu ambaye haamini katika supernatural(Mungu, uchawi, shetani, malaika, mbinguni dini nk)

Dini inaambatana na kutekeleza matakwa ya IMANI fulani, yaani ibada na mambo gani ufanye/usifanye ili usiikosee na upate favor kutoka kwa supernatural inayo iamini
Yes,..Kwa tafsiri sahihi ya dini basi hata atheists wana dini(mfumo wa maisha yao,namna wamejiamulia njia zao za kuishi)

Na Mungu wao ni matamanio Yao wenyewe,.. They're doing what their desires want them to do. They don't want their life to be governed by God's canons as they don't believe in God.

Kwa mfano naomba niquote verse moja ya Qur'an inayosema hivi⬇️

Surah Al-Furqan (25:43), "Have you seen the one whose god is his own desire? Will you then be a guardian over him?"

Hivyo basi Kwa mantiki hiyo hata atheists wana mfumo wao wa maisha(dini zao) na Mungu wao ni matamanio yao.

Mwisho wa siku tuwe free minded....amini unavyoona ni sawa hata kama unaamini Mimi ndiyo nimepotea kwa upande wako it's okay...tuishi Kwa amani na kuheshimiana tu👊
 
Kondoo mmoja katikati ya mbwa mwitu 1000 atafanya kitu gani zaidi ya kuliwa tu .
Upo sahihi lakini suala la uvumbuzi ni suala mtambuka sana,..

Mfano kuna uwezekano nguvu za kiuchumi,kisiasa na kadhalika Kwa baadhi ya nchi ndiyo kunachochoea uvumbuzi na sio ishu ya kuwa theist au atheist.

Mfano Ulaya ambapo tunaamini ndyo kuna atheists wengi,..mbona nchi za Ulaya zisizo na nguvu kubwa kama Lithuania, Luxembourg,Poland, Croatia na kadhalika hazina uvumbuzi wowote remarkable ambao Dunia tunautambua,ukilinganisha na zile nchi zenye nguvu?

Huoni kwamba nchi hizo za Ulaya nilizotaja hapo tunakisia kwamba kuna atheists wengi lakini hakuna uvumbuzi wowote,...so Kwa mantiki hiyo possibility kubwa ni kwamba influence ya atheism kwenye uvumbuzi ni ndogo sana.
 
Kwahiyo usipoifuata hiyo dini hauna maisha?
Maisha still unayo Kwasababu,.. automatically usipofuata dini hiyo utafuata dini(mfumo/njia) nyingine utakayoona inafaa kwenye maisha yako.

There's no way binadamu anaweza kuishi bila dini(njia/mfumo) labda akili iwe ina shida lasivyo kuna njia tu ataamua kutumia kwenye maisha yake,...
 
Back
Top Bottom