Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kwa hiyo wewe una dini ( njia mfumo)ngap? Kwa sababu unafuata katiba ya Tanzania na sheria zake kama mfumo wa maisha pia na pia unafuata uislamu kutoka arabuni kama mfumo na njia za maisha pia.
 
😂😂😂Google maana ya religion...kiarabu sio lugha ya dunia sawa...na uislamu sio dictionary ya ulimwengu.. definition yenu ya dini ni yenu pekee sio ya wote
 
Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!

Kuna scientific development yoyote tutegemee toka kwako?
Hio ni ad hominem fallacy...unafanya personal attack instead of kudeal na hoja...if huwezi kuwa na logical conversation then unanipotezea mda
 
😁Bac mi na Imani kwamba sisi wote tumeumbwa na ma aliens wa planet Z kwa mfano wao.
Afu wao wanafanana na paka
Na usipoamini we ndo mjinga
 
😂😂😂google religion mbona tunapotezeana mda
 
Dogo unaongea ujinga gani
 
Gravity ni theory...if it's false kajirushe ghorofani ujikute na bikra 72 mbinguni sawa...
 
Analazimisha definition ya mudi ndo ai apply kwa kila mtu...mudi kaidefine dini hivyo ili aweze kutunga sheria za kumfunga mtu katika kila aspects za maisha... mtu hawezi hata kusuka, sijui kupaka rangi kucha cjui Nini...
 
Je unafahamu Poland 🇵🇱 Croatia has katika IT wapo mbali kuliko mataifa mengi ulaya? , nitajie nchi iliyokolea dini yenye maendeleo makubwa ? Usinitajie dubai ,Saudi, au Kuwait coz hao hakuna kitu kwenye dini ni unafki tu.
 
Sio lazma atheism...I don't consider myself an atheist lakini I'm not superstitious... yaani mtu ambae anaamini vitu natural kuwa supernatural..cjui mvua radi tetemeko etc ni supernatural, cjui anaona mauza uza anasema ni kweli..mtu Kama huyu hawezi kuwa na scientific reasoning nzuri ndo maana most societies ambazo Zina low level of superstitious beliefs ndo zimeendelea...na Zina amani na democracy...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Google maana ya religion...kiarabu sio lugha ya dunia sawa...na uislamu sio dictionary ya ulimwengu.. definition yenu ya dini ni yenu pekee sio ya wote
Hawa jamaa ni vichaa zaidi wanalazimisha, wao waonekane bora zaidi ya wengne.
 
Definition hizo hapo leteni upuuzi wenu asa wa sijui mudi cjui kiarabu
 

Attachments

  • Screenshot_20231116-063107.png
    41.2 KB · Views: 7
Unataka kusema kabla ya ujio wa wakoloni waafrika walikuwa hawasali kwa imani zao?

Kinacho kufanya uone imani za wazungu ni bora kuliko za mababu zako ni nini?

Hizo dini zenu za kuletwa, zime wapumbaza hizo akili zenu.

Kipindi cha ukoloni babu zako hawakupewa huduma nzuri za Afya, huduma nzuri za kielimu, huduma nzuri za makazi na chakula.

Kinacho fanya useme ulipewa Dini nzuri ni nini?

Mbona wao wenyewe walikwenda kinyume na mafundisho ya dini zao?
 
😂😂😂google religion mbona tunapotezeana mda
Kwahiyo Kwa upande wako Google ndiyo ina universal definitions ya vitu vyote duniani? Google haijakuachia room ya kutumia kichwa chako?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini sasa?

Hatuwezi kukubaliana kwenye hilo,...Baki na mtazamo wako mzee
 
Je unafahamu Poland 🇵🇱 Croatia has katika IT wapo mbali kuliko mataifa mengi ulaya? , nitajie nchi iliyokolea dini yenye maendeleo makubwa ? Usinitajie dubai ,Saudi, au Kuwait coz hao hakuna kitu kwenye dini ni unafki tu.
So, Poland na Croatia wamevumbua kitu gani remarkable kwenye IT?

Hao wapo kama Burundi tu au nchi nyingi za Afrika,... kwenye suala zima la uvumbuzi mpaka hivi sasa wao ni watumiaji wa innovations za nchi nyingine zenye power kama tulivyo Sisi Afrika huku.
 
Una
Unafahamu Marie curie kutokea Poland?mshindi wa tuzo ya nobel mwaka 1903 na 1911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…