Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Maisha still unayo Kwasababu,.. automatically usipofuata dini hiyo utafuata dini(mfumo/njia) nyingine utakayoona inafaa kwenye maisha yako.

There's no way binadamu anaweza kuishi bila dini(njia/mfumo) labda akili iwe ina shida lasivyo kuna njia tu ataamua kutumia kwenye maisha yake,...
Kwa hiyo wewe una dini ( njia mfumo)ngap? Kwa sababu unafuata katiba ya Tanzania na sheria zake kama mfumo wa maisha pia na pia unafuata uislamu kutoka arabuni kama mfumo na njia za maisha pia.
 
Tusipate shida,.. neno dini linatokana na lugha ya kiarabu" دين" lenye maana ya "njia" ama "desturi"

Kwa ujumla, neno "din" linaashiria mfumo wa sheria, imani na desturi ambazo zinaongoza maisha ya mtu.

Kwa mantiki hiyo binadamu na dini zao(njia/desturi/mifumo) zili co-exist at the same point in time..,

Au unataka kusema, Binadamu waliishi miaka na miaka bila kuwa na desturi au mfumo ulioongoza maisha yao?

Impossible.
😂😂😂Google maana ya religion...kiarabu sio lugha ya dunia sawa...na uislamu sio dictionary ya ulimwengu.. definition yenu ya dini ni yenu pekee sio ya wote
 
Sawa,...wewe usieamini kwenye dini hizo umevumbua kitu gani?!

Kuna scientific development yoyote tutegemee toka kwako?
Hio ni ad hominem fallacy...unafanya personal attack instead of kudeal na hoja...if huwezi kuwa na logical conversation then unanipotezea mda
 
Mambo ya imani hayategemei sana evidence. Bila shaka kuna mkwamo fulani kwenye maisha yako na sidhani kama naweza kukutoa hapo

Ninaposema wewe ni mfano wa Mungu simaanishi una uwezo sawa wa asilimia 100 kama alivyo Mungu.

Naomba nikuache kwa sasa sitashiriki tena majibizano ya kipumbavu nina majukumu mengine mhimu zaidi kwa ajili yangu na familia yangu
😁Bac mi na Imani kwamba sisi wote tumeumbwa na ma aliens wa planet Z kwa mfano wao.
Afu wao wanafanana na paka
Na usipoamini we ndo mjinga
 
Of course, Dini ni utaratibu mzima wa maisha.. ndiyo maana dini iliyokamilika zaidi ni Ile ambayo ime cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Nadhani tukubaliane kutokukubaliana.... ilimradi kila mtu anaishi peaceful hakuna shida.
😂😂😂google religion mbona tunapotezeana mda
 
Dini iliyokamilika ina cover all aspects of human life including social, economic, political endeavours.

Ndiyo maana nikasema dini ni mfumo kamili wa maisha Kwa kuzingatia kwamba mtu au watu wanaoishi kwa kufuata kanuni fulani wataziishi kanuni zao kwenye nyanja zote za maisha uchumi,jamii na siasa.(hivyo basi hata kwenye mpira dini zinaingia... mfano utakuta mchezaji anakataa kusaini mkataba na kampuni Fulani Kwa kua kampuni hiyo biashara zake zipo kinyume na kanuni za dini yake...hivyo ndivyo dini ilivyo)

Ni ruhusa kubaki na mtazamo wako lakini.
Dogo unaongea ujinga gani
 
That's where you're wrong brother 😅 😅

I understand these things very much.

You don't need to force me to understand any of these theories, do you even know why are they called theories?

Brother I'm not underestimating you, but if we get to it, you can't keep up with me.

Brother Don't believe in things you can't even explain without googling.
Gravity ni theory...if it's false kajirushe ghorofani ujikute na bikra 72 mbinguni sawa...
 
Kwahiyo Atheist wana dini mkuu?

Fafanua kidogo nipate mwanga

Atheist ni mtu ambaye haamini katika supernatural(Mungu, uchawi, shetani, malaika, mbinguni dini nk)

Dini inaambatana na kutekeleza matakwa ya IMANI fulani, yaani ibada na mambo gani ufanye/usifanye ili usiikosee na upate favor kutoka kwa supernatural inayo iamini
Analazimisha definition ya mudi ndo ai apply kwa kila mtu...mudi kaidefine dini hivyo ili aweze kutunga sheria za kumfunga mtu katika kila aspects za maisha... mtu hawezi hata kusuka, sijui kupaka rangi kucha cjui Nini...
 
Upo sahihi lakini suala la uvumbuzi ni suala mtambuka sana,..

Mfano kuna uwezekano nguvu za kiuchumi,kisiasa na kadhalika Kwa baadhi ya nchi ndiyo kunachochoea uvumbuzi na sio ishu ya kuwa theist au atheist.

Mfano Ulaya ambapo tunaamini ndyo kuna atheists wengi,..mbona nchi za Ulaya zisizo na nguvu kubwa kama Lithuania, Luxembourg,Poland, Croatia na kadhalika hazina uvumbuzi wowote remarkable ambao Dunia tunautambua,ukilinganisha na zile nchi zenye nguvu?

Huoni kwamba nchi hizo za Ulaya nilizotaja hapo tunakisia kwamba kuna atheists wengi lakini hakuna uvumbuzi wowote,...so Kwa mantiki hiyo possibility kubwa ni kwamba influence ya atheism kwenye uvumbuzi ni ndogo sana.
Je unafahamu Poland 🇵🇱 Croatia has katika IT wapo mbali kuliko mataifa mengi ulaya? , nitajie nchi iliyokolea dini yenye maendeleo makubwa ? Usinitajie dubai ,Saudi, au Kuwait coz hao hakuna kitu kwenye dini ni unafki tu.
 
Sio lazma atheism...I don't consider myself an atheist lakini I'm not superstitious... yaani mtu ambae anaamini vitu natural kuwa supernatural..cjui mvua radi tetemeko etc ni supernatural, cjui anaona mauza uza anasema ni kweli..mtu Kama huyu hawezi kuwa na scientific reasoning nzuri ndo maana most societies ambazo Zina low level of superstitious beliefs ndo zimeendelea...na Zina amani na democracy...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Google maana ya religion...kiarabu sio lugha ya dunia sawa...na uislamu sio dictionary ya ulimwengu.. definition yenu ya dini ni yenu pekee sio ya wote
Hawa jamaa ni vichaa zaidi wanalazimisha, wao waonekane bora zaidi ya wengne.
 
Definition hizo hapo leteni upuuzi wenu asa wa sijui mudi cjui kiarabu
 
Attachments

  • Screenshot_20231116-063107.png
    Screenshot_20231116-063107.png
    41.2 KB · Views: 7
kwa mwenye imani hawezi kuwaona wamisionari kama ni maajenti wa ukoloni. Wale walileta injili, inatosha kuamini hivyo. Nje na mtazamo huo ni ukengeufu wa kiimani. Ukoloni uliondoka tukapata uhuru, why missioneries wabaki hadi sasa na wapelelezi hawapo?
Unataka kusema kabla ya ujio wa wakoloni waafrika walikuwa hawasali kwa imani zao?

Kinacho kufanya uone imani za wazungu ni bora kuliko za mababu zako ni nini?

Hizo dini zenu za kuletwa, zime wapumbaza hizo akili zenu.

Kipindi cha ukoloni babu zako hawakupewa huduma nzuri za Afya, huduma nzuri za kielimu, huduma nzuri za makazi na chakula.

Kinacho fanya useme ulipewa Dini nzuri ni nini?

Mbona wao wenyewe walikwenda kinyume na mafundisho ya dini zao?
 
😂😂😂google religion mbona tunapotezeana mda
Kwahiyo Kwa upande wako Google ndiyo ina universal definitions ya vitu vyote duniani? Google haijakuachia room ya kutumia kichwa chako?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini sasa?

Hatuwezi kukubaliana kwenye hilo,...Baki na mtazamo wako mzee
 
Je unafahamu Poland 🇵🇱 Croatia has katika IT wapo mbali kuliko mataifa mengi ulaya? , nitajie nchi iliyokolea dini yenye maendeleo makubwa ? Usinitajie dubai ,Saudi, au Kuwait coz hao hakuna kitu kwenye dini ni unafki tu.
So, Poland na Croatia wamevumbua kitu gani remarkable kwenye IT?

Hao wapo kama Burundi tu au nchi nyingi za Afrika,... kwenye suala zima la uvumbuzi mpaka hivi sasa wao ni watumiaji wa innovations za nchi nyingine zenye power kama tulivyo Sisi Afrika huku.
 
Una

Unafahamu Marie curie kutokea Poland?mshindi wa tuzo ya nobel mwaka 1903 na 1911
 
Back
Top Bottom