Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kwahiyo Kwa upande wako Google ndiyo ina universal definitions ya vitu vyote duniani? Google haijakuachia room ya kutumia kichwa chako?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini sasa?

Hatuwezi kukubaliana kwenye hilo,...Baki na mtazamo wako mzee
😂 Shika dictionary bac Kama hutaki google unajifanya mjinga.. Kama una definition ya mudi ya dini Baki nayo...
 
Unachofanya ni special pleading...ukitaka kujua man u na man city ngapi ngapi unaingia google unakuta 2 bila utabisha...hautabisha.. ila kitu kikipinga upuuzi wako unatukana wanaotumia google..bac achana na Mimi kama huwezi kuja na evidence unakataa kila kitu isipokuwa Cha mudi bac kaoe kitoto Cha miaka 6 Kama yeye tujue moja
 
mababu zetu waliishi zama za giza hawakumjua Mungu wa kweli mpaka walipofikiwa na injili, nuru ikawaangazia.
😂So Mungu muweza wa yote alishindwa kuwatokea hao mpaka atumie wamisheni...😂ameweza kutokea kwenye ka jangwa huko middle east...huyu Mungu mbona kama ametungwa na kusambazwa Kama novel
 
Sawa Quran is true .. nyota zipo mbingu ya karibu ili ziwapige mashetani wasimkaribie Mungu... na pia zinaweza anguka duniani..😂na pia jua na mwezi zinafukuzana..😂na pia mkojo wa ng'amia unatibu Magonjwa yote...
 
Hujaelezea why ni lazma? Pia huyu Mungu kajiumba au? Ukilazimisha hakuna kitu kinaweza tokea out of nowhere unajicontradict ukiamini kuwa Mungu kawepo bila kuumbwa
 
Sawa,. Tena sio idea ya mtu tu ni cope and paste na ku editi kidgo close rate yake ipo 100%
Nani aliye copy &paste huyo?,.. Maana for the first time aliyekua anawasomea watu wake Aya za kitabu hicho ushaambiwa He was Illiterate...

Mtu asiyejua kusoma anawezaje kucopy kitu asichokijua?

Au unamaanisha alicopy kwa namna gani..?

Ndiyo maana naona odds za kwamba kimekua copied au ni mtu tu amejitungia ni 0.00%
 
😂 Shika dictionary bac Kama hutaki google unajifanya mjinga.. Kama una definition ya mudi ya dini Baki nayo...
Usipanic..,shika definition unayoona ipo sahihi Kwa upande wako.


Au kama vipi tufanye definition yako ndiyo ipo sahihi 👊
 
Theory Ina maana nyingi...inaweza mean hypothesis...inaweza mean scientific accepted fact with principles...in evolution theory means fact with principles
Enhe umekuja ninapotaka.

Sasa Hizo "facts with principles" ebu nipe elimu bac, na mm nataka niwe kama wewe, nataka na mm nisiamini kwamba mungu yupo, nisaidie mwanang.
 
Sawa upo sahihi mkuu💯
 
Sawa Quran is true .. nyota zipo mbingu ya karibu ili ziwapige mashetani wasimkaribie Mungu... na pia zinaweza anguka duniani..😂na pia jua na mwezi zinafukuzana..😂na pia mkojo wa ng'amia unatibu Magonjwa yote...
Hahh hivi upo serious kweli?

Kama umekula bangi au umetumia ulevi wowote tulia kidogo ukae sawa kisha tutajadiliana tafadhali.


Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…