Tatizo Waafrika mnachanganya uwepo wa dini na uwepo wa MUNGU.
Hata nyau,kenge wakiulizwa kwanini wapo duniani wakaweza kuongea watajibu kuwa lazoma kuna aliyewaweka pamoja na mawe,miti,maziwa,nk.
Hakuna binadamu aliyeumba binadamu au miti,mawe,wanyama,nk lazima kuna muwezeshaji wa hilo ambaye makabila yooote duniani yanaamini hivyo kupitia namna tofauti.
Tuache ujinga WAAFRIKA hivi kabla ya UKOLONI na UTUMWA huo ukristu na uislam ulifundishwa wapi na kwanini haukuanza kwa siku moja duniani kote kama ilivyoanza dunia wakati wa kuiumba na uislam na ukristo ukaumbwa?