Sawa,vipi kuhusu evidence? Ipo?😓Unazunguka..good day sir..msalimie mudi ukifika akhera na nibakshie bikra 4 na mito ya pombe😂
Ingia google such evidences of evolution. Hutaki niacheSawa,vipi kuhusu evidence? Ipo?
Kwa kuwa evidence huna,..wala kina Darwin pia hawana...Basi tukubaliane kwamba Evolution theory ni chai.💯
Onyesha contradiction ilipo, usiseme tu hawezi kuwepo.1. Mungu yupo au hayupo? I don't know... I don't know coz Sina evidence kuprove uwepo wake.. same as Sina evidence kuprove hayupo. But Mungu wa religion who is all powerful all knowing and all loving hawezi kuwepo coz hivyo vitatu vina contradict each other na pia vina contradict na uhalisia wa ulimwengu
Safi kabisa, huyo Optimus Prime ni nani ? Mimi simjui ndio namsikia kwako.2. Bac mi na Imani kuwa tumeumbwa na Optimus prime ambae yeye hajaumbwa... prove me wrong
Hili la Wahindu tukiache kwanza sababu nalo ni jepesi sana kulikosoa. Tuishi katika mtazamo wako na mtazamo wangu ambao nasema Allah ndie ametuumba.3. Hata wahindu na wagiriki miungu Yao inasemekana imeumba kila kitu na evidence Yao ni hivyo vitu vilivyoumbwa..mbona humuabudu Zeus, brahma etc?
Kwanini ushahidi wa Kihistoria au Ushahidi wa kisayansi ? Niambie ukamilifu wa Sayansi ni upi mpaka uwe kigezo cha ithibati.4. There's no historical or scientific evidence to suggest that Jesus did miracles or/and resurrected.. the best evidence u have ni vitabu vinne out of more than 10 vilivyoandikwa about his life navyo vimechaguliwa tu na wahuni na bado vina contradictions na errors kibao...so bado it's nothing
Nkuulize wewe umeelewa nlichoandika ?Umeelewa ulichokiandika lakini
1. An all knowing all loving all powerful deity cannot allow evil to exist..Onyesha contradiction ilipo, usiseme tu hawezi kuwepo.
Kisha utuambie misingi yako ni ipi unayo igemea ili kujua hayupo ?
Safi kabisa, huyo Optimus Prime ni nani ? Mimi simjui ndio namsikia kwako.
Nipie habari zake na utuambie alituumbaje sisi na wewe umejuaje kama yeye ndio ametuumba.
Hili la Wahindu tukiache kwanza sababu nalo ni jepesi sana kulikosoa. Tuishi katika mtazamo wako na mtazamo wangu ambao nasema Allah ndie ametuumba.
Kwanini ushahidi wa Kihistoria au Ushahidi wa kisayansi ? Niambie ukamilifu wa Sayansi ni upi mpaka uwe kigezo cha ithibati.
Hujakanusha mantiki niliyoiandika.Yani mimi nitegemee kufundishwa na Kiranga jambo pana kama hili na nkamuelewa just simple tu ?
Mnalazimisha tuelewe tu ?? Kama wewe unaweza ukafundishwa na yeye ni sawa upo sahihi.
Mnatumia mazao ya fikra za watu wengine kuwa ndio fikra zenu ( Ninyi ni watumwa wa hizi elimu ) zimewafunga msifikiri nje ya elimu mlizozipata.
Mimi namuamini Mungu, Na nkupe tu siri imenifanya kuwa na uwezo binafsi wa kuchimba mambo mengine mengi zaidi, ambayo mengine napata majibu ya hiki mnachokiita science, kwa maana hiyo kwa kutumia ufikiri wangu binafsi napata majibu ya kuhusu mambo mbali mbali yanayoshahabiana na hao mnaowaamini nyinyi ( science/scientists )...Utofauti Mimi nipo huru kifikra, nyinyi hampo huru.
Kwa kuongezea, Mimi namuamini Mungu kwa namna yangu peke yangu.
Kwanini na umejuaje hili ?1. An all knowing all loving all powerful deity cannot allow evil to exist..
Jibu swali nililo kuuliza, tukiwaambia hamna akili mnalia mnalia.. The same way Allah anasema kaumba ulimwengu the same way Optimus prime naamini kasema
. Ushahidi ambao ni verifiable... Nikisema ninamiliki iphone 13 utataka nikuonyeshe...Nikisema unabidi tu uamini hivyo hivyo utanipuuzia na kuniona kichaa... that's how I see u
Jibu maswali niliyo kuuliza.😓 Nionyeshe Australia bac kwenye Quran... Muhammad Alifika? Yesu Alifika?
Ndio tunasema hamna akili, yaani mna assume tu, nenda kawaulize hao Mahindu, Mabudha maswali hayo kama watakupa majibu kama nayo kupa Mimi.. We unasema Allah ni Mungu coz kaumba ulimwengu. Mhindi atasema brahma, kina classical Greeks watasema Zeus, kina Norse watasema Odin... na wao evidence Yao itakuwa hio hio sijui angalia jua cjui inaweza jitengeza yenyewe? No, hence "insert your god" is real . My question to u is... why u believe Allah is a real god na wengine ni false..nipe sababu outside the fact that umezaliwa location or/and familia ya kiislamu, au umeslim for personal gains such as ndoa, kazi au biashara.
If he's all powerful he can prevent evil, if he's all knowing he knows how can prevent it if he's all loving he cares abt preventing it...hence bado evil ipo... if ukisema freewill cjui he can create a world with freewill n without evil..if not he's not all powerful if it is a test, he knows the results already otherwise he's not all knowing...😂so again...ur version of god n the existence of evil... contradict each other...both cannot exist at the same timeKwanini na umejuaje hili ?
Jibu swali nililo kuuliza, tukiwaambia hamna akili mnalia mnalia.
Bado hujajibu nilicho kuuliza.
😂Ushaanza kujizungusha..kwaheriJibu maswali niliyo kuuliza.
😂So mudi alikuwa nzi au kangaroo?Ndio tunasema hamna akili, yaani mna assume tu, nenda kawaulize hao Mahindu, Mabudha maswali hayo kama watakupa majibu kama nayo kupa Mimi.
Sababu Allah ni tofauti na hiyo miungu mingine unayo itaja, sababu Historia ya dini hizo machimbuko yake ni binadamu lakini Uislamu sio chimbuko la Mwanadamu.
Kijana jibu maswali niliyo kuulizia, mbona unaruka ruka ?If he's all powerful he can prevent evil, if he's all knowing he knows how can prevent it if he's all loving he cares abt preventing it...hence bado evil ipo... if ukisema freewill cjui he can create a world with freewill n without evil..if not he's not all powerful if it is a test, he knows the results already otherwise he's not all knowing...😂so again...ur version of god n the existence of evil... contradict each other...both cannot exist at the same time
Kwahiyo kuambiwa ujibu maswali najizungusha ? Hii si ndio tabia yenu ya kukimbia maswali ? Ndio maana nashikilia hapa hapa, wewe ruka ruka.😂Ushaanza kujizungusha..kwaheri
Jibu maswali niliyo kuulizia. Kama hujibu maswali hamna maana ya kujadiliana.😂So mudi alikuwa nzi au kangaroo?
Hakuna Any evidence inayosuggest kuwa kuna Nyoka aliyewahi kuwa intelligence (Mwerevu) kuliko viumbe vyote.....u r moving the goalposts..😂again u being illogical...wamepata unasema unataka ancestor wake...wakimpata utataka kingine...😂we tunaomba evidence ya Adam na Eva in a garden with a talking snake,
Umeuliza Nini hujajibiwa mkuuKijana jibu maswali niliyo kuulizia, mbona unaruka ruka ?
😂Mi Nikisema ninaambiwa usimchunguze MunguHakuna Any evidence inayosuggest kuwa kuna Nyoka aliyewahi kuwa intelligence (Mwerevu) kuliko viumbe vyote.....
By the way even Nerves channel zake zenyewe hazisupport what Dini Told us...
Ikiwa huwezi pata hicho huwez kupata evidence ya uwepo wa Adam and eve .
Evidence ya dunia hii ikipimwa ina miaka zaidi ya 100k lakini dunia ya Biblia na Quran ina miaka 6004 tu ...
Its sound Insult and silly