Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Umeandika mengi, lakini, hujajibu swali nililokuuliza.

Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
Msingi wa neno la mungu upo katika kweli na haki
 
Nakubaliana nawe kuwa DINI zipo kwa lengo la kudhibiti uwezo wa watu wa kufikiri.

Mungu hana na hajaleta dini. Dini ni zao la ulaghai.

Mimi ninamuamini Mungu katika Utatu wake Mtakatifu
Kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.

Na hata mimi nisiyeamini uwepo wa Mungu, mtu akitaka kukuingilia kwenye imani yako, nitatetea haki yako ya kuamini unavyotaka.

Imani ni jambo la mtu binafsi. Halipaswi kuingiliwa, na hata kulijadili hapa JF sioni mantiki yake.

Lakini, tukiondoka kwenye imani tu (ambako unaruhusiwa kuamini chochote, cha ukweli au uongo), tukajikita katika facts zinazoweza kuthibitishwa, mpqka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ukibisha hili, naomba uthibitishe Mungu yupo.
 
Mkuu hujamsoma kabisa Albeirt Einstein. Alipoteza muda wake mwingi kutaka kuprove kutokuwepo kwa Mungu, muda ambao kwa IQ yake angeweza kufanya vumbuzi nyingi sana. Baada ya kushindwa kabisa alikuja na hii quote

"Albert Einstein himself stated "I'm not an atheist, and I don't think I can call myself a pantheist... I believe in Spinoza's God who reveals himself in the orderly harmony of what exists, not in a God who concerns himself with fates and actions of human beings".
Chanzo: Religious and philosophical views of Albert Einstein - Wikipedia.
 
Sawa kila mtu na imani yake basi
 
Wewe ni mkristo au muislamu kwanza nataka kujua
Kwakweli izi dini nimezikuta na kibaya nimezaliwa kwenye dini ya kiislam lakini nina malezi ya kikristo hivyo hata mimi nilipo jielewa nikawa na wakati mgumu uliopelekea kuwa Mpagani nina miaka mingi siudhulii kwenye ibada za pamoja lakini huwa nasali kwa lugha yangu ya kiswahili nikimuomba mungu huku nikifata taratibu kadhaa ambazo naamini ni sahihi kwangu kama kutoa sadaka nk.
 
Huwezi ukamlinganisha MUNGU na sayansi ni utovu wa kutokufikiri.

MUNGU yupo kabla ya sayansi na ndiyi maana hadi leo sayansi ina mabadiliko au mwendelezo lakini UUMBAJI hauna mabadiliko au mwendelezo.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Ni kweli siwezi kumlinganisha Mungu na sayansi, kwa sababu Mungu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Hata Albert Einstein akisema Mungu yupo, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Kwa sababu Albert Einstein alikosea, na kukubali kuwa alikosea.
 
Bado hujajibu swali hili.

Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
Ni watu wanaosema ila watu wacha mungu na watakatifu njia ya kujua kuwa ni kweli au uongo ni wewe kutii neno maana mungu huyo kasema hatakuja na kukaa kwako...wewe utamjua kwa sababu anakaa ndani yako ...
 
Unajuaje hapa ni mtu tu kaandika, anasingizia Mungu, na hapa ni Mungu kaandika kupitia watu?

Unajuaje Mungu yupo? Unathibitishaje hilo?
 
Na wewe jibu swali unajuaje kuwa si mungu kasema bali ni watu tu wamesema ....maana ilo swali lako linakinyume chake
 
Ni watu wanaosema ila watu wacha mungu na watakatifu njia ya kujua kuwa ni kweli au uongo ni wewe kutii neno maana mungu huyo kasema hatakuja na kukaa kwako...wewe utamjua kwa sababu anakaa ndani yako ...
Mbona kila mtu anamjua tofauti asa...au kila mtu ana Mungu wake ndani
 
Asante
 
Umeelezea vizuri hivi with logic afu Kuna lijitu litabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…