Musa hakuwa Myahudi sababu mpaka Musa anaondoka Uyahudi ulikuwa haupo.Narudia tena swali unasemaje Musa hakuwa Myahudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musa hakuwa Myahudi sababu mpaka Musa anaondoka Uyahudi ulikuwa haupo.Narudia tena swali unasemaje Musa hakuwa Myahudi?
Naam Waisraili washawahi kuwa watumwa Misri, na Musa ndio akatimilizwa na kuwakomboa, lakini mwishowe wakamukhalifu nabii Musa isipokuwa wachache.Mkuu ngoja nikuitie huyu mtu hapa
DR Mambo AMP atuambie kuna historical evidence yoyote Kama Israel washawahi kuwa utumwani misri? Kwa uchache mkuu
Hapa uko sahihi, nilichanganya majina. Naam Rahbiam ni mtoto wa Suleyman.Na kuhusu Rehoboam ndiye alikuwa mtoto wa suleiman aliyezaa na Naamah, binti wa Ammizabad..
Mkuu Nakuletea Historia Ya Dini ambayo naijua vizuri sana kuliko vitu vingine Israel ilijitenga katika Sehemu mbili kama nilivyokuambia kuwa Kulitokea Falme mbili Ya kwanza ni Yuda na Yapili ni Israel...Israeli haikuwahi kujitenga, bali katika zile dola mbili, na kuugawanya au kuwagawanya dhuria wa nabii Yakubu. Palianzishwa dola ya Israili upande wa kusini mwa Palestina yaani hiyo dola ilikuwepo ndani ya Palestina.
Kama musa alitangulia Bhasi yuda Au Yehudi au Yahudi au Yuda alikuwa zaman kabla ya hawa wote na Alikuwa Mtoto wa Yakobo..Musa ndio alitangulia kabla ya Suleyman. Musa ameondoka Uyahudi haukuwepo. Ndio maana nikakuleta kwa wale ambao walikuwa karibu na Mayahudi ambao ni Suleyman yaani kwa kitambo namaanisha.
Mkuu Unachanganya vitu sana Makundi yalikuwa maweili kundi la kwanza liliuwa ni kabila la Benyamini pmoja na Yuda.. na hawa walijiita Yuda au YudeanHapa uko sahihi, nilichanganya majina. Naam Rahbiam ni mtoto wa Suleyman.
Sasa Hawa Rahbiam (Mtoto wa Suleyman)na Yarbiam ndio wakaja kuwagawanya Waisraili makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile Lilo jumuisha makabila yaliyo tokana na Yahudha naye ni ndugu yake Yusufu na kundi lingine lilikusanya Koo zilizotokana na Bin Yamin, huyu alikuwa mdogo wake na Yusufu. Vyote ni vizazi vyao.
Pakatengenezwa nchi kusini mwa Palestina iliyokuwa inaongozwa na Rahbiam bin Yusufu na mji wake ulikuwa ni Baytul Maqdis. Na yule Yarbiam aliitengeneza dola akaiita Israili (Mayahudi huiita nchi hii ya Samariiyin) na mji wake mkuu ukawa upande wa Nabulsi upande mwingine wa Palestina.
Nimesema atakayekuja kusema walikuwa Watumwa aje na Evidence sio maneno matupu hata Evidence moja tu ntaipokea au any resonable answer..Naam Waisraili washawahi kuwa watumwa Misri, na Musa ndio akatimilizwa na kuwakomboa, lakini mwishowe wakamukhalifu nabii Musa isipokuwa wachache.
Kitu kingine watu wanachanganya kati ya Wana wa Israili na Mayahudi hawa ni vitu viwili tofauti.
Unajua kuna wakati sasa nashindwa kubishana na wewe maana unaonekana unachanganya vitu Yahudi ilikuwa kabila kabla halijawa taifa na bada ya kuwa taifa likawa itikadi na Baadae kuwa njia ya maishaa...Musa hakuwa Myahudi sababu mpaka Musa anaondoka Uyahudi ulikuwa haupo.
Mimi nilikuwapo mabilioni ya miaka, elements zote zilizo katika mwili wangu zimefanyika katika viini vya nyota, na nikifa zitakuwa recycled, kwa hiyo, kwanza kabisa, hoja kwamba sikuwapo miaka 200 iliyopita ni potofu. Ingawa mimi sijawahi kuwapo miaka 200 iliyopita - na dhana yenyewe ya mimi inabishiwa, there is no such a thing as a self- hizi elements zote zinazonifanya mimi leo zilikiwapo.Logic ni kwamba kama kisicho kuwapo kinaweza kuwapo vp unashangaa kuwepo kwa mungu ... unataka kusema mwanadamu ni mkuu kuliko mungu
Kuna vitu unachanganya sana mkuu Tatizo linatokana na kushindwa kujibu kutumia Theology moja..Musa hakuwa Myahudi sababu mpaka Musa anaondoka Uyahudi ulikuwa haupo.
Hawa wengine utasumbua kichwa tu.Unajua kuna wakati sasa nashindwa kubishana na wewe maana unaonekana unachanganya vitu Yahudi ilikuwa kabila kabla halijawa taifa na bada ya kuwa taifa likawa itikadi na Baadae kuwa njia ya maishaa...
Nakupa summary usipoelewa sasa dah
Unamjua hata Yuda au unamjua Eber..
Wa YUDA (YEHUDA) {kabila} kuungana na wa Benyamini >>>JUDEANS FALME YA YUDA>>>>JUDAISM IMANI
Mkuu swali ulilisoma?Naam Waisraili washawahi kuwa watumwa Misri, na Musa ndio akatimilizwa na kuwakomboa, lakini mwishowe wakamukhalifu nabii Musa isipokuwa wachache.
Kitu kingine watu wanachanganya kati ya Wana wa Israili na Mayahudi hawa ni vitu viwili tofauti.
Huyu jmaa nataka nimweleweshe vizuri ila naona anakaza shingo nimemuandikia naomba evidence ya exodus ananiambia ndiyo imetokea..Hawa wengine utasumbua kichwa tu.
Mimi kuna watu nilishawaweka ignore list hata wanachoandika sioni.
Wamepoteza privileges za kuwasiliana nami moja kwa moja.
Hiyo uliyemjibu ni mmoja wao.
Jamaa kajifanyia swali lake na kajipa majibu tayari 😅😅Mkuu swali ulilisoma?
Ndio...Je siafu mende funza wapo ?
Yani hapo una prove tu kwamba nilikuwa sawa kumpeleka ignore list nisione kabisa hata anachoandika.Huyu jmaa nataka nimweleweshe vizuri ila naona anakaza shingo nimemuandikia naomba evidence ya exodus ananiambia ndiyo imetokea..
Sasa Ndiyo ndo evidence..
Hiki ulichokiandika kimeonyesha wazi huijui Historia. Wana w Israili wamepitia katika vipindi vitatu kwa mujibu wa wanahistoria. Cha kwanza ni kipindi cha makadhi, Cha makadhi kipindi hiki kilisimamiwa na Yusha bin Nuun, kikaja kipindi cha Muluki yaani ufalme hapa wakapelekewa mfalme Jaluta kwa Mayahudi wanamuita Shauli, kipindi cha tatu ni Inqisam (Mgawanyiko) ambapo hapa walifanya mtoto wa Suleyman na yule mwingine.Mkuu Nakuletea Historia Ya Dini ambayo naijua vizuri sana kuliko vitu vingine Israel ilijitenga katika Sehemu mbili kama nilivyokuambia kuwa Kulitokea Falme mbili Ya kwanza ni Yuda na Yapili ni Israel...
Israel ikiwa na Kabila 10 na yuda ikiwa na kabila mbili na ninaweza kuprove nachokisema mkuu sasa Sjui wewe kama unayo prove ya hicho...
Philistine (wafilisti) Walikuwepo pembezoni mwa israel..
Kama musa alitangulia Bhasi yuda Au Yehudi au Yahudi au Yuda alikuwa zaman kabla ya hawa wote na Alikuwa Mtoto wa Yakobo..
Uyahudi ni Kabila kama nilivyokuambia ni Kabila ambalo baadae kipindi cha suleiman liliungana na kabila la Benyamini na kupatikana Ufalme mmoja wa Yuda au Judeas...
Na baadae kipindi cha Ashuru makabila mengine 10 yalitekwa na kupotea ila Uyahudi ulibaki mpaka leo ..
Sasa rudi verufy soueces yako mimi ninayo sources ya Wakristo zaidi Japo ya waislamu ipo ila sio credible sources sana
There is a significant amount of evidence to suggest that the Israelites were enslaved in Egypt. This evidence comes from a variety of sources, including archaeological, historical, and literary sources.Nimesema atakayekuja kusema walikuwa Watumwa aje na Evidence sio maneno matupu hata Evidence moja tu ntaipokea au any resonable answer..
So Jibu la Ndiyo walikuwa watumwa ambalo halina logic
In God We Trust, Ni neno ambalo lipo kwenye pesa ya Taifa la marekani ( Dollar ), je huwa wanamaanisha nini kwa unavyoelewa ?Mimi nilikuwapo mabilioni ya miaka, elements zote zilizo katika mwili wangu zimefanyika katika viini vya nyota, na nikifa zitakuwa recycled, kwa hiyo, kwanza kabisa, hoja kwamba sikuwapo miaka 200 iliyopita ni potofu. Ingawa mimi sijawahi kuwapo miaka 200 iliyopita - na dhana yenyewe ya mimi inabishiwa, there is no such a thing as a self- hizi elements zote zinazonifanya mimi leo zilikiwapo.
Zaidi, mimi kuwapo au kutokuwapo hakuthibitishi Mungu yupo, that is a logical non sequitur. Kama Mungu yupo, yupo tu, kama hayupo, hayupo tu, uwepo wangu au kutokuwepo kwangu vinathibitishaje Mungu yupo au hayupo?
Mwisho kabisa, unaposema kwamba kama kisichokuwapo kinaweza kuwapo, tusishangae uwepo wa Mungu, una maana gani?
Una maana Mungu alikuwa hayupo halafu ghafla akawepo?
Kwamba Mungu ana mwanzo huko nyuma alikuwa hayupo, halafu akawepo ghafla bin vuu?
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwako
Mungu yupi?swali gani hilo la kijinga MUNGU ni mmoja tu duniani kote aliyeumba dunia na vitu vyote vilivyomo iwe china,india,korea,nk.
Ujinga wa waafrikana ni kuamini kuwa kuna MUNGU wa wazungu aliye wa kweli na siyo wa WAAFRIKA
Shit holes