SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Bible Ina story za kusikitisha...mpaka mtu Hadi Leo anaamini ni true word of god...huyo yupo gizani kinomaHakuna physical Exodus Wala Kutoka utumwani Kama watu wanavyojiaminisha mkuu..😅😅
hakuna Evidence inayosuggest Kuwa Misri kulikuwa na Watumwa wa kabila lolote la waisrael..Hakuna hata mchoro mmoja wa Waisrael misri...
Atakayekuambia kulikuwa na physical exodus mwambie akuonyeshe Evidence then Nitag mkuu..
NB: Nakuacha na Tafakuri Nduguze na Yusuph walitoka kanaani kwenda Misri zaidi ya Mara tatu kwa wiki chache kwenda na kurudi...
soma Mwanzo 42- mwanzo 44...
jiulize kama walikuwa wakiena na kurudi kwa wiki kadhaa na Kilomita ni zile zile njia ni ile ile walishindwaje kutumia MUDA WA WIKI AU HATA BASI MIEZI AU MWAKA WALIPOKUWA WANARUDI KANAANI baada ya Utumwa..
😅😅