Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Ukija kwa kubishana lazima utashindwa njoo na hoja na ubainifu. Hapo mwanzo nilikwambia Uyahudi una maana zaidi ya Moja yaani ziko nne. Yahudi halikuwa kabila, bali ilikuwa dini, na ukiongelea dini ni itikadi na mfumo wa maisha.
Hiki nimekujibu Zaidi ya mara tano labda kama umeamua kutokuelewa au kufata ulichokaririshwa..
Narudia tena Yahudi ilianza kama Kabila,Baadae Taifa na badae njia ya maisha yaani tamadani Aka mnaita Dini sasa hivi
 
Kuna mahusiano yalivunjika eti mmoja hataki ndoa ya serikali, kwake ni kosa. Hayo ni mawazo finyo ya kukumbatia imani ambayo wala huijui kwani sio utamaduni wako. Imani bila kutumia akili ni utumwa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Huyo MTU ni mpumbavu Sana, alafu unakuta ni Malaya Tu AU mlevi
 
Mimi sio mkristo kwa sasa Neither muislamu kwahyo ukiona nimejibu kitu ujue nimesimama katika upande wenye Ukweli mwingi
 
Ndo maana nakwambia nenda kawasome wanahistoria wa Kiyahudi watakupa historja Halisi...
Katika uislamu sina Ilimu kubwa ila Thanawi tu mkuu kwahyo vingi sijui nakiri kwako lakini kuhusu historia ..
Narudia tena huwezi kuitafuta historia Ya kabila ka wanyamwezi kwa wazigua...
 
Hiki nimekujibu Zaidi ya mara tano labda kama umeamua kutokuelewa au kufata ulichokaririshwa..
Narudia tena Yahudi ilianza kama Kabila,Baadae Taifa na badae njia ya maisha yaani tamadani Aka mnaita Dini sasa hivi
Hata hao tunao waita Mayahudi hawakuwahi kulitumia tamko hilo la Uyahudi mpaka huko mbeleni sana, na Qur'an imetumika tamko Yahudi baada ya kuwa waovu na kuongelewa kwa ubaya. Zamani walikuwa wanajulikana kama Wana wa Israili, au Wafuasi wa Musa au Watu wa kitabu na ndio maana hata Mayahudi wa Sasa hutumia jina "Israili" kujinasibisha na waja wema.

Yahudi halikuwahi kuwa kabila, bali Uyahudi unanasibishwa na Yahudha mtoto wa Yakubu.
 
Ndio maana nikasema hivi bado mchanga sana katika hii kadhia. Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?

Usiniandikie eti imeandikwa miaka 3500, swali ni nani aliandikachiyo Historia na ilikuwa lini ?
Umeuliza swali gani na lipi halikujibiwa nianze na hapo kwanza!
 
Mimi sio mkristo kwa sasa Neither muislamu kwahyo ukiona nimejibu kitu ujue nimesimama katika upande wenye Ukweli mwingi
Sasa ukweli gani ambao unashindwa kutetea, mfano umesema unatumia Biblia, Biblia ambayo maandiko mengi hawajulikani waandishi wake ni kina nani, halafu unajinadi ya kuwa umesimama kweli ukweli.
 
Umeuliza swali gani na lipi halikujibiwa nianze na hapo kwanza!
Hiyo Historia unayosema imaendikwa miaka 3500 imeandikwa na nani na huyo aliye iandika ameipata wapi ? Ili hoja iwe ya nguvu pale ulipo waongoelea wanahistoria wa Kiislamu.
 
Basi huna ulijualo kuhusu Dini ya kiyahudi Ninayo barua ya Mwka 112 ambayo hata uislamu bado ulikuwa haujaanza kuwepo ila neno Iudaismos (Judaism) limetajwa..Vipi unazungumziaje hilo swala...
 
Basi huna ulijualo kuhusu Dini ya kiyahudi Ninayo barua ya Mwka 112 ambayo hata uislamu bado ulikuwa haujaanza kuwepo ila neno Iudaismos (Judaism) limetajwa..Vipi unazungumziaje hilo swala...
Hivi unaelewa ninacho kiandika ? Mayahudi wenyewe hawajawahi kulitumia neno hilo Uyahudi kama dini. Ndio maana tunasema kipindi cha Musa tamko hili halikuwepo.
 
Hiyo Historia unayosema imaendikwa miaka 3500 imeandikwa na nani na huyo aliye iandika ameipata wapi ? Ili hoja iwe ya nguvu pale ulipo waongoelea wanahistoria wa Kiislamu.
Sasa ngoja nikujibu Wayahudi wana tamaduni Moja ambayo inaenda sawa sawa kama Sunna Inaitwa Talmud ambayo ni Narrative version ya Torah na pia ziko Kama aggadah na narrative nyingi sana ambazo wao hutunza masimulizi na wanayo tangu kipindi cha Musa Mpaka leo na bado wanaendelea kutunza..
Minyororo yote ya masimulizi ya wayahudi na Rabbinic narrative ipo ukitaka unaweza ukaenda kuisoma pia kama utaweza katafute Rabbinic narrtive kasome talmud..
Kitu ambavcho huwezi kikuta kwa wakristo na ndo maana historia nyingi za wakristo zinakosa pia credibility
 
Sasa ukweli gani ambao unashindwa kutetea, mfano umesema unatumia Biblia, Biblia ambayo maandiko mengi hawajulikani waandishi wake ni kina nani, halafu unajinadi ya kuwa umesimama kweli ukweli.
QURAN UNAJUA WAANDISHI WAKE..
Au tuna Codex moja tu ya Uthman..
Mkuu unaporusha Mawe kwa watu wengine hakikisha kwako kuko salama
 
Hivi unaelewa ninacho kiandika ? Mayahudi wenyewe hawajawahi kulitumia neno hilo Uyahudi kama dini. Ndio maana tunasema kipindi cha Musa tamko hili halikuwepo.
Kuna sehemu mimi nimekuambia hichi ulichoandika kwamba walitumia kama Dini Hebu nionyeshe hiyo sehemu..maana mara zote wewe ndo unatumia kama dini...
Mimi nakuambia itikadi na Tamaduni ,,mila zao na kabila na Taifa ndicho nilichosema..
Mbona unaanza kujikanyaga mwenyew
 
Ajabu kumbe hata maana ya dini huijui ? Ulichokiandika huo mjumuisho wote ndio dini hiyo. Ndio maana Mayahudi Wana Talmud. Jifunze kwanza maana za maneno. Ndio ukatoka kwenye Uislamu inaonekana husomi kwa uelewa.

Dini ni itikadi, tamaduni yaani ni mfumo wa maisha.
 
Sababu ipi inayowafanya watokee?
 
Sasa hii ndio dini, niwekee hiyo minyororo ya masimulizi hata mmoja.

Hii Sasa ndio maana ya Talmud. Soma hapa :
 
Attachments

  • Screenshot_20231123-005748.png
    100 KB · Views: 6
QURAN UNAJUA WAANDISHI WAKE..
Au tuna Codex moja tu ya Uthman..
Mkuu unaporusha Mawe kwa watu wengine hakikisha kwako kuko salama
Naam waandishi wake nawajua. Nimecheka sana, unaelewa unapoambiwa "Hati y Uthman" ?
 
Bwana mdogo hata nikiijua itanisaidia nini..
Kwa sasa nijifunze hayo maneno yatanisaidia nini!
Kwanza kabisa bwana mdogo sipo katika kubishana hata kidogo cha kwanza hicho ukielewe
Sasa kwa muktadha huo wa Dini Hiyo ndo ilikuwa Dini yao na njia yao..

Tofauti unalazmisha Ulichosoma katika uislamu kiwe sawa n kilichopo katika utahudi Mkuu Theology haiendi hivyo ingekuwa Rahidi hivyo ningesoma Hiindu halafu ningetaka kiwe sawa na cha Buddha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…