DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hiki nimekujibu Zaidi ya mara tano labda kama umeamua kutokuelewa au kufata ulichokaririshwa..Ukija kwa kubishana lazima utashindwa njoo na hoja na ubainifu. Hapo mwanzo nilikwambia Uyahudi una maana zaidi ya Moja yaani ziko nne. Yahudi halikuwa kabila, bali ilikuwa dini, na ukiongelea dini ni itikadi na mfumo wa maisha.
Narudia tena Yahudi ilianza kama Kabila,Baadae Taifa na badae njia ya maisha yaani tamadani Aka mnaita Dini sasa hivi