Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

That doesn't prove anything...kwa sababu mi naweza Tunga dini na nikasema Mungu wangu anaitwa Bob ndo kaumba kila kitu na ndo ananguvu na ujuzi na upendo..just coz hujui nani kaumba ulimwengu doesn't mean utamuabudu Bob kama Mungu wako
 
ujui-hujui
 
weka hiyo Source ya NASA tuhakiki...
 
Jibu maswali hayo.

Una uliza swali na hujajibu swali.

Hujibu unavyo ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi [emoji116]

Kama dunia ilitokea, Huko ilikotokea kulitoka wapi?
Sina jibu, Hivyo siwezi kubuni buni kama ambavyo unafanya.
 
Dini is simply a scam, ipo tu kwa ajili ya kutia watu hofu. We jiulize, mtu kama Mohammed anawezje kuwa Mtukufu au mtume wakati alikua ni mbakaji na muuwaji tu? Yaani it doesn't make any sense at all, eti Mungu atukataze sisi kuzini na kuua kisha amruhusu Mohammed kufanya yale aliyotukataza sie kuyafanya. Upuuzi mtupu.
 
Sina jibu, Hivyo siwezi kubuni buni kama ambavyo unafanya.
Hata Sayansi na Dini Zilibuni buni nadharia za kusema ulimwengu uliumbwa.

Hakuna Uthibitisho wowote ule wa kisayansi au kidini wa kuumbwa ulimwengu zote ni nadharia za kubuni buni tu.

Kama kunge kuwepo nadharia halisi ya chanzo cha ulimwengu tusingekuwa tuna nyuzi hizi za kuhoji hoji chanzo cha ulimwengu.
 
Unahoji huku tayari una jibu lako kuwa unachokihoji hakipo...Inamaanisha nini ?
 
Unahoji huku tayari una jibu lako kuwa unachokihoji hakipo...Inamaanisha nini ?
Namaanisha hivi...

Haiwezekani kuwepo vyanzo na nadharia nyingi zinazo elezea mwanzo wa Dunia moja tu...

Dunia ni moja, Lakini kuna nadharia nyingi za kisayansi na kidini zinazo elezea mwanzo wa dunia moja.

Huoni hapo hakuna chanzo halisi cha uhakika?

Dunia moja haiwezi kuwa na vyanzo vingi vya kuumbwa kwake.

Kama ni Mungu ange elezewa kwa namna moja kwenye Biblia na Quran jinsi alivyo umba dunia. Sio Biblia ieleze hiki, Quran ieleze kile.

Kwenye sayansi hivyo hivyo, Mara Bing bang theory iseme hivi, Evolution theory iseme vingine.

Automatically nadharia zote zina pingana zenyewe kwa zenyewe kwenye mirengo yote ya kidini na kisayansi.

Hakuna nadharia halisi kwenye sayansi na dini yenye uthibitisho kamili wa kuumbwa Dunia na isiyo na pingamizi kutoka kwenye nadharia nyingine.
 
Wamegundua nini?

Na wao walijisemea semea tu
ku believe in God?

Hawana uthibitisho wowote wa uwepo wa Mungu huyo zaidi ya maneno ya kusema sema tu.
Lakini si argument ilikuwa "intelligence"? Kwani ukikosa evidence ndiyo inakuwa hauko intelligent? Wewe mwenye huna uthibitisho wa unachoamini pia au unachojua. Ni mambo tu umekuwa ukayakuta yapo, likini wewe personally huna uthibitisho wowote.
 
Science makes sense than Dini yoyote
 
Msingi wa dini mkubwa mdani ya AFRIKA ni UNYONYAJI ndiyo maana wakoloni waliweza kuwanyonya Waafrika kwa kuwapandikiza UPIUZI wao i.e😀INI ZA KIZUNGU ambazo ni makampuni ya watu weupe waliyoyaanzisha ulaya na kuyaleta Afrika kama kitega uchumi ambapo fedha zote zilizokuwa zinakusanywa kutoka kwa WAAFRIKA walidanganywa kuwa zinakwenda MBINGUNI ambako ni ULAYA.

Habari ya YESU ndiyo na biblia ni tamthilia iliyotuka kuwahada Wafrika yesu akiwa MHUSIKA mkuu na hao wajinga wengine wakiwa WAHUSIKA WASAIDIZI hivyohivyo katika QURAN ambako MHUSIKA MKUU ni MOHAMED na WAHUSIKA WADOGO ni hao kina ISSA,n.k.

MAUDHUI ndani ya vitabu vyote viwili ni UJINGA(WAAFRIKA),WIZI,UNYONYAJI,BIASHARA,UKANDAMIZAJI,UPOTOSHAJI,n.k.

TUAMKE WAAFRIKA WAKATI NI HUU.
 
Achana na vitabu vya hadithi hao woye sijui yakobo,yesu,n.k ktk biblia ni wahusika ktk kutimiza malengo ya wakoloni na kufikisha ujumbe tu hakuna cha mbinguni hapo
 
Labda dini potovu ....mfano ukristo unesema wazi amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu ...kwahiyo kusujudia wazungu au waarabu kama anavyo fanya samia ni laana tunatakiwa kujitegemea wenyewe
 
Do u trust in religion teachings?
Acha kujitoa ufahamu bwana na kutetea ujinga wako uliolishwa.

Hapo ameongelea makundi mawili "genious na low minded" sasa hao wakatikati unawatoa wapi bwana?

Kama idadi ni watu 100 katika kundi la WAAFRIKA halafu GENEOUS tuko 10 basi LOWMINDED ukiwemo wewe mko 90 kwisha,HILO KUNDI LA TATU UNALITOA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…