Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Hili litakufilisha sana na kukufumbua juu ya ukristu kuwa ni uongo
1702793371566.jpg
 
Mungu hayupo una zunguka zunguka tu..

Energy cannot be created or destroyed but can be transformed from one form to another.

Mungu huyo ni illusion.
Wewe unaongea lugha moja na mimi ila unashindwa kuelewa tu ninacho sema .....hicho ulicho andika ndiyo kinafafanua vizuri kuwa mungu ni nini? nani nani?..."ENERGY CANNOT BE CREATED OR DESTROYED " tumia akili ..ndiyo maana nikakuambia kua mungu awezi kuumba energy ila anachofanya mungu na kukiita uumbaji ni ichi cha CAN BE TRANSFORMED FROM ONE FORM TO ANOTHER " =(AE=MC²) A ni art
 
Sasa tumekubaliana kuwa Dini ni Kwa low minded people? AU bado munaeendelea kubisha
 
Ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema ...maana yake takatifu

Kiasili jema na baya kumetokana na kuwa lile jambo hupendi kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako...... kwenye dini msingi huu HAUPO

Mfano mdogo tu ni swala la UTUMWA
 
Low minded people (Afrikan) walikataa utumwa wa kikoloni Ila walikubali Dini kama ndio muongoza Wao, apo ndipo walipo Feli pakubwa sana
 
Kiasili jema na baya kumetokana na kuwa lile jambo hupendi kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako...... kwenye dini msingi huu HAUPO

Mfano mdogo tu ni swala la UTUMWA
Dini gani hiyo ? Utumwa ulikuwepo wa aina mbili ...nazo ni 1)utumwa haramu na 2)utumwa halali ..utumwa halali ulitokana na vitendo mbalimbali vya kushindwa kutenda haki ....mfano wizi ..dhuruma ..mauaji ..nk hapo mtu aliweza kuhukumiwa kuwa mtumwa kwa sababu ya uovu alio ufanya ....na utumwa haramu ulitokana na watu kuwafanya wengine kuwa watumwa pasipo hao watu kuwa na hatia yoyote .....ndiyo maana yusufu alipo kuwa gerezani alimwomba mtumishi wa farao kuwa amwambie farao habari zake maana yeye siyo mtumwa halali bali yeye ndiyo aliye fanyiwa dhuluma ya kufanya mtumwa pasipo hatia.
Pia dini inasema watendee wengine yale ambayo wewe ungependa kutendewa na usiwatendee yale ambayo wewe usingependa kutendewa...
 
Kwahiyo wewe biblia ilipotaja yusufu na farao tu ukachanganyikiwa hata kujiongeza kuwa hiyo ni hadithi ya magereza ambako kuna waliofungwa kihalali na walioonewa kwa pamoja hufanywa watumwa.

Hivi kweli wsafrikana mmeshindwa kabisaaa kuacha na hadithi za kwenye biblia na kuona kuwa ni vitu vya kufikirika tu kama vile kutembea hewani au juu ya maji?
 
Nyenzo yoyote inayo fundisha haki ni muhimu...wewe unapinga biblia kwa sababu gani kama siyo kuchukia haki.neno lolote la haki liwe limetoka kwenye dini yoyote au alikutoka kwenye dini basi neno hilo ni halali kutetewa
 
Back
Top Bottom