Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wewe ujui maandiko kabisa wala ujui logic maana kuhusu dhambi wapo wanadamu wanao tenda dhambi na kuvunja amri za mungu ila awata hukumiwa hatia ...ndiyo maana kuna maandiko yanasema wapo wanadamu wanao hesabiwa haki pasipo matendo ila ni baadhi tu na kuna sababu za haki kabisa kuwa hivyo ..tumia akili ....kinacho fanya mwanadamu kuwajibika na dini ni akili alizo pewa za kutambua mema na mabaya tofauti na viumbe wengine wasio na hizo akili ila yapo majini yanatambua mema a mabaya na malaika nao wanatambua mema na mabaya nao wakitenda mabaya watahukumiwa hatia ...ndiyo maana wakristo wa leo ni wapumbavu kwa kudanganywa kuwa kuna dhambi ya asili huo ni uongo ....na sababu za kuwa uongo ni hizi nilizo eleza kuhusu dhambi ....TUNAKUMBUKA KUWA ADAMU NA HAWA WALIKUWA AWAJUI MEMA NA MABAYA KABLA YA KULA TUNDA HIVYO WALIJUA MEMA NA MABAYA BAADA YA KULA TUNDA SASA UTASEMAJE KULA TUNDA NI DHAMBI YA ASILI MAANA ADAMU WALA HAWA AWAKUPATA DHAMBI ILA WALIJUA MEMA NA MABAYA ....NDANI YA MEMA KUKAZALIWA PEPO NA NDANI YA MABAYA KUKAWA NA DHAMBI NA JEHANAM ...NDIPO MUNGU AKAMWAMBIA ADAMU NA HAWA ...TAZAMA SASA MMEJUA MEMA NA MABAYA BASI TENDENI MEMA NA MSITENDE MABAYA MAANA MKITENDA MABAYA MTAHESABIWA DHAMBI NA MKITENDA MEMA MTAHESABIWA DHAWABU...HIVYO KWA KUTUMIA AKILI TU UTAJUA KUWA DHAMBI YA KWANZA SIYO KULA TUNDA MAANA MUNGU AWAHESABII DHAMBI WASIOJUA MEMA NA MABAYA ....NDIYO MAANA KUNA HAYO MAANDIKO YA ( KUHESABIWA HAKI PASIPO MATENDO )Huu ni ujinga wa waafrikana,je mtu tu ndiye ameumbiwa kufufuka?
Je viumbe vingine hawana dhambi iwapo nao wanafanya sex na je wanavunja amri ya ngapi?
Amri 10 aliwekewa binadamu tu na ni kwa Waafrika tu?