HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Hili litakufilisha sana na kukufumbua juu ya ukristu kuwa ni uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaongea lugha moja na mimi ila unashindwa kuelewa tu ninacho sema .....hicho ulicho andika ndiyo kinafafanua vizuri kuwa mungu ni nini? nani nani?..."ENERGY CANNOT BE CREATED OR DESTROYED " tumia akili ..ndiyo maana nikakuambia kua mungu awezi kuumba energy ila anachofanya mungu na kukiita uumbaji ni ichi cha CAN BE TRANSFORMED FROM ONE FORM TO ANOTHER " =(AE=MC²) A ni artMungu hayupo una zunguka zunguka tu..
Energy cannot be created or destroyed but can be transformed from one form to another.
Mungu huyo ni illusion.
Sema dini za madhebebu ni kwa low minded people lakini siyo dini takatifu.Sasa tumekubaliana kuwa Dini ni Kwa low minded people? AU bado munaeendelea kubisha
Dini takatifu ndio ipi hiyo?Sema dini za madhebebu ni kwa low minded people lakini siyo dini takatifu.
Ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema ...maana yake takatifuDini takatifu ndio ipi hiyo?
Ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema ...maana yake takatifu
Low minded people (Afrikan) walikataa utumwa wa kikoloni Ila walikubali Dini kama ndio muongoza Wao, apo ndipo walipo Feli pakubwa sanaKiasili jema na baya kumetokana na kuwa lile jambo hupendi kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako...... kwenye dini msingi huu HAUPO
Mfano mdogo tu ni swala la UTUMWA
Dini gani hiyo ? Utumwa ulikuwepo wa aina mbili ...nazo ni 1)utumwa haramu na 2)utumwa halali ..utumwa halali ulitokana na vitendo mbalimbali vya kushindwa kutenda haki ....mfano wizi ..dhuruma ..mauaji ..nk hapo mtu aliweza kuhukumiwa kuwa mtumwa kwa sababu ya uovu alio ufanya ....na utumwa haramu ulitokana na watu kuwafanya wengine kuwa watumwa pasipo hao watu kuwa na hatia yoyote .....ndiyo maana yusufu alipo kuwa gerezani alimwomba mtumishi wa farao kuwa amwambie farao habari zake maana yeye siyo mtumwa halali bali yeye ndiyo aliye fanyiwa dhuluma ya kufanya mtumwa pasipo hatia.Kiasili jema na baya kumetokana na kuwa lile jambo hupendi kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako...... kwenye dini msingi huu HAUPO
Mfano mdogo tu ni swala la UTUMWA
Kwahiyo wewe biblia ilipotaja yusufu na farao tu ukachanganyikiwa hata kujiongeza kuwa hiyo ni hadithi ya magereza ambako kuna waliofungwa kihalali na walioonewa kwa pamoja hufanywa watumwa.Dini gani hiyo ? Utumwa ulikuwepo wa aina mbili ...nazo ni 1)utumwa haramu na 2)utumwa halali ..utumwa halali ulitokana na vitendo mbalimbali vya kushindwa kutenda haki ....mfano wizi ..dhuruma ..mauaji ..nk hapo mtu aliweza kuhukumiwa kuwa mtumwa kwa sababu ya uovu alio ufanya ....na utumwa haramu ulitokana na watu kuwafanya wengine kuwa watumwa pasipo hao watu kuwa na hatia yoyote .....ndiyo maana yusufu alipo kuwa gerezani alimwomba mtumishi wa farao kuwa amwambie farao habari zake maana yeye siyo mtumwa halali bali yeye ndiyo aliye fanyiwa dhuluma ya kufanya mtumwa pasipo hatia.
Pia dini inasema watendee wengine yale ambayo wewe ungependa kutendewa na usiwatendee yale ambayo wewe usingependa kutendewa...
Hawataki kutambua dini za kikoloni ni utumwa wa kifikiraLow minded people (Afrikan) walikataa utumwa wa kikoloni Ila walikubali Dini kama ndio muongoza Wao, apo ndipo walipo Feli pakubwa sana
Nyenzo yoyote inayo fundisha haki ni muhimu...wewe unapinga biblia kwa sababu gani kama siyo kuchukia haki.neno lolote la haki liwe limetoka kwenye dini yoyote au alikutoka kwenye dini basi neno hilo ni halali kutetewaKwahiyo wewe biblia ilipotaja yusufu na farao tu ukachanganyikiwa hata kujiongeza kuwa hiyo ni hadithi ya magereza ambako kuna waliofungwa kihalali na walioonewa kwa pamoja hufanywa watumwa.
Hivi kweli wsafrikana mmeshindwa kabisaaa kuacha na hadithi za kwenye biblia na kuona kuwa ni vitu vya kufikirika tu kama vile kutembea hewani au juu ya maji?