Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dr kutokujua ugonjwa au tatizo fulani haimaanishi halipo. Tafiti zinaendelea na sayansi inajibu maswali kibao yaliyonasibishwa kuwa ni mambo ya kiimani.

Makanisa sometimes yanatusaidia kutibu madhara ya kisaikolojia. Mdogo wako was one of the people with such problem I think!
 
Mimi sio muumini sana wa dini, Ila ni muumini wa Mungu mmoja

Ila nngeomba utupe mfano wa hao waanzilishi ambao hawana hofu wanapiga pesa,
Naomba list ya majina yao niwafahamu chief
Leo BBC wametoa tafiti deep ya TB Joshua mwanzilishi wa SCOAN...hope kuna mwanga utaupata kuwa kwenye dini big fishes are eating small fishes in mass!
 
Yaani stori za nyoka kuongea na ww haukusimuliwa enzi za utoto? unazikumbuka hadithi za sungura na fisi? haihitaji mie kukuaminisha, just use yo brain kuona udanganyifu!
Sungura na fisi iko wazi ni hadithi na inapatikana kwenye vitabu vya hadithi
 
Rafiki, ulisoma kidogo hata issue za Kingdoms? unajua maana ya species?

Adam na Eva ni hadithi tu, ilitumika kama mfano. Simple qn, Kaini alimuoa na na akapata watoto wkt huo kulikua na Adam na Eva tu? mke wa Kaini alitoka wp?
Soma vizuri swali lako mwishoni,

Anyways, Kaini alikua ni mtoto wa Adam na Eva.

Adam na Eva walizaa watoto wengi tuu japo wanaotajwa sana kwenye biblia ni Kaini na Abeli.


Kumbuka Mungu alisema mkaijaze Dunia, So hapo moja kwa moja tunajua kabisa uzao ulianzia kwenye hiyo hiyo familia.
 
Tatizo la macho ni tatizo la kisaikolojia ?? Yani tayari umeshatoa jibu na hata tatizo lililomkumba mdogo wangu sikuwa nmeandika, Tatizo ambalo lilikua kama mlango wa Magonjwa ambayo hayakua yanaeleweka ni nini haswa...Unatoa majibu hujui tatizo inamaanisha nini ?

Ubishi? Ujuaji ? Kutokuwa tayari kuamini uwepo wa mambo ambayo tunayasema ? Au ?

Anyways lilianza tatizo la macho ndio ikawa mfululizo wa matatizo mengine, Matatizo ambayo yalikua hayaeleweki ni ugonjwa gani haswa unamsumbua, Ni matatizo ambayo yaliacha midomo wazi kuanzia wauguzi/Madaktari/Walimu wake pamoja na sisi ndugu...Kiufupi HAIKUA hali ya kawaida.
 
Jamani tumedanganywa kwa Karne nyingi sana.Kwamba kuna vitabu vya mungu. Hakuna kitabu Cha mungu. Vitabu vyote ni vyetu wenyewe. Tumeandika mawazo yetu tukasema mungu kasema ili tuaminiwe. Pale ulipotokea upinzani tukatumia nguvu na mauaji makubwa. Mbinguni hakuna viwanda vya karatasi, wino, mashine za kuandika. Tumetumia ghiliba kwamba tumetumwa na mungu. Tunadhani muumbaji anafikiri kama sisi, anaweza kuwa random, anaweza kubadilisha kanuni alizoziweka kwa maombi yetu.Hakuna kitu kama hicho. Mungu ameweka mfumo ambao unafanana na mahakama ambapo kuna mashtaka,ushahidi,na mwisho hukumu. Mfumo huu ni rigid. Ukikosea unapata adhabu palepale. Mfano: ukiugua ni lazima upate matibabu, ukilima shamba halina mbolea hupati mazao, ukila sumu wafa. Kutuambia ombeni mtapewa ni uongo. Kama maombi yangekuwa na malipo tusingetengeneza nuclear bombs kujilinda. Tungeomba tu adui akafa, tusingeteseka kwa ukimwi, njaa,ukame na majanga mengine. Maneno ya dini ni ya kibinadamu na hayana lolote zaidi ya psychological mind set.
 
Unadhani kwa nini katika hivyo vitabu (vya dini) kumeandikwa mambo mengi kiasi kile yani hayo mawazo yetu tuliyoyajaza mule usumbufu wote huho ulikuwa wa nini?
 
π‘†π‘Žπ‘ π‘Ž 𝑀𝑒𝑀𝑒 π‘’π‘›π‘Žπ‘Žπ‘›π‘§π‘Ž π‘˜π‘’π‘œπ‘›π‘”π‘’π‘§π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘›π‘’π‘›π‘œ π‘¦π‘Žπ‘˜π‘œ π‘Žπ‘šπ‘π‘Žπ‘¦π‘œ π΅π‘–π‘π‘™π‘–π‘Ž β„Žπ‘Žπ‘–π‘˜π‘’π‘Žπ‘›π‘‘π‘–π‘˜π‘Ž. πΌπ‘šπ‘’π‘Žπ‘›π‘‘π‘–π‘˜π‘€π‘Ž π‘€π‘Žπ‘π‘– π΄π‘‘π‘Žπ‘š π‘›π‘Ž πΈπ‘£π‘Ž π‘€π‘Žπ‘™π‘–π‘§π‘Žπ‘Ž π‘šπ‘‘π‘œπ‘‘π‘œ π‘Žπ‘™π‘–π‘¦π‘’π‘œπ‘™π‘’π‘€π‘Ž π‘›π‘Ž πΎπ‘Žπ‘–π‘›π‘–!

Biblia inasema Kaini alikua mtoto wa Kwanza wa Adam na Eva, na baada ya kumuua nduguye Abel, alikimbilia nchi ya Nodi na akaoa huko, Je alimuona nani na alizaliwa na nani wkt Adam n Eva walikua na watoto wawili tu?

Usiweke mawazo yako, weka kilichoandikwa!
 
mkuu unapinga na kujijibu mwenyewe! Science ni endelevu, kuna vitu ambavyo tuliaminishwa na dini ambavyo science imevijibu kwa proofs za kutosha mf Jua kuzama kwenye tope, au ile ya dunia ni kama meza/flat, so majibu ya tulitoka wapi yanaendelea kufanyiwa tafiti na kuna uhakika majibu yatapatikana in future.

Issue ya kuwaheshimu wazaz hata wasio na dini wanawaheshimu, lkn kuna wenye dini ambao nao hawawaheshimu wazazi. Dini ni mfumo wa maisha tu, sema kuna exaggerations ambazo ndo tunazijadili hapa kuwa ni fake!
 
Mkuu Hilo gumu Sana kwake mpunguzie ukali 🀣🀣
 
Unadhani kwa nini katika hivyo vitabu (vya dini) kumeandikwa mambo mengi kiasi kile yani hayo mawazo yetu tuliyoyajaza mule usumbufu wote huho ulikuwa wa nini?
Inaelekea Hujasoma Vitabu vya Comic..
Kuna vitabu vya Hadithi vina Story nyingi kuliko Hata Biblia..
Vinaitwa Story Bible ni vikubwa balaa
 
U have nailed it. Dini ni tamaduni fulani ya watu wa upande fulani, kwa kuwa walikuwa na nguvu zaidi ya weak societies kama zetu waliamua kutulazimisha kuyaamini mawazo yao na ukipinga kuchinjwa au kukaangwa ka ndafu ilikua ni fahari.

Mf logic ya Quraan eti kutelemshwa kutoka mbinguni ni uongo mweupe kabisa! Mbingu iko wapi? mawinguni? Dunia ni duara, vp walio chini ya duara?

Jamii za babu zetu za kule Kalenga Iringa kama zingekua na nguvu kama ya Mzungu au Mwarabu, asilimia kubwa ya watu tungekua tunaabudu mirumba na mapango!
 
Duh yani sayansi imekuja kujibu kwamba jua halizami kwenye tope?
 
Kuna wakati huwa nawaza hivi mawazo kama hayo yako yapo hata kwa jamii zengine huko ambazo nazo zinafuata hizi dini kubwa au mawazo hayo huwa tunayo sie waafrika tu? Yani ni kama sisi waafrika tu ndio tunafuata dini ama imani tunazosema za kizungu na waarabu ila jamii zengine zote kila jamii ina dini yao.
 
Inaelekea Hujasoma Vitabu vya Comic..
Kuna vitabu vya Hadithi vina Story nyingi kuliko Hata Biblia..
Vinaitwa Story Bible ni vikubwa balaa
Sijashindanisha vitabu ila nimeuliza tu kwanini tujaze mambo mengi sana kwenye hivyo vitabu lengo lilikuwa ni nini? Kuna baadhi ya mambo humo sidhani hata kama waumini wa enzi hizo walikuwa wakielewa lakini yapo humo, je unadhani sababu ni nini?

Binafsi huwa najiuliza sana hilo.
 
Vitabu vilikuwa Vingi sio hivyo tu πŸ˜…
Walipunguza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…