Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Twende na mantiki.

Unakubali kwamba, tunaweza kujua jibu hili si sahihi, kabla hata hatujajua jibu sahihi ni lipi?

Yani unaelewa kwamba ukiniletea mwanamme wa miaka 30 leo, Juma, ukaniletea na binti mchanga wa miezi 6 leo, Suzy, ukaniambia huyu binti wa miezi 6 leo ndiye mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, naweza kujua habari hii si sahihi, binti wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo, bila hata kumjua mama mazazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo ni nani?

Shida haijajulikana. Hilo halinizuii mimi kujua kwamba majibu fulani si majibu sahihi.

Kwani body of work ya sayansi inasema inajua kila kitu leo ?

Kwani sayansi kutojua kitu maana yake tatizo ni uchawi au supernatural reason?

Mbona kabla ya sayansi kujua bacteria na viruses, magonjwa ya bacteria na viruses yalijuwapo, sasa wakati huo haya magonjwa yalisababishwa na supernatural causes?

Kwa nini inakuwa vigumu sana kusema "huu ugonjwa hatuujui, inatubidi tuuchunguze tuuelewe kwanza, halafu tutaudhibiti baada ya kuuelewa" ?

Kwa nini tukikutana na kitu hatukielewi, tunakimbikia kwenye uchawi na supernatural reasons?

Mbona magonjwa mengi tu hapo awali hatukuyajua, lakini tulifanya utafiti mpaka tukayaelewa?

Sasa, na leo tukikutana na ugonjwa hatuuelewi, kwa nini tunakimbilia habari za uchawi na supernatural reasons badala ya kufanya uchunguzi tuelewe mambo within a natural framework?

Unaelewa kwamba tunaweza kujua kuwa jibu fulani si sahihi, kabla hata ya kujua jibu sahihi ni lipi?

Unaielewa hiyo dhana kwamba tunaweza kujua jibu fulani si sahihi, kabla hata ya kujua jibu sahihi ni lipi?
Man unaongeaga logic Sana mpaka raha...mfano wako nimependa...ila bado Kuna lijinga litakubishia..😂uishi milele philosopher Kiranga
 
Nilijua Sayansi imekuthibitishia. Kama hujui na unahisi wengine hawajui basi wewe ni mmoja ya wale wanaoishi kwenye ulimwengu wa peke yao. Kwa sababu hiyo, kuzungumzia hili jambo na wewe ni kujisumbua.
😂Sawa...we si unajua story za wayahudi wengine Wana ya kigiriki, kichina, kimisri, kijapan, etc hata wamasaai Wana Miungu Yao na creation myth Yao na flood story Yao..,😴it's so easy ku make up an answer ila kuprove ndo mnaposhindwaga mnasingizia Imani...bac na Mimi through faith naamini tumeumbwa na moon angels kwa kutumia space fumes na tukifa tunaenda planet Karina kuserebuka..😂usipoamini hii story yangu ukafa unaenda kuishi Venus unateseka ila hufi..😁haya good day
 
Unakubali kwamba, hata pale ambapo hujui jibu, inawezekana ukajua kwamba jibu fulani si sahihi?

Yani, jibu hujui. Lakini, hata kama hujui jibu, ukipewa jibu fulani, unaweza kujua kwamba, hata kama sijui jibu ni lipi, lakini najua jibu hili nililopewa si sahihi.

Unakubali hilo?

Yani, inawezekana mtu mwanamme wa miaka 30 leo, Juma, ambaye hamjui mama yake mzazi, akaletewa binti mchanga wa miezi 6 leo, Suzy, halafu akaambiwa kuwa, huyo binti mchanga wa miezi 6 leo ndiye mama yake mzazi Juma, mwanamme wa miaka 30 leo.

Je, Juma mwenye miaka 30 leo anaweza kujua kwamba huyu binti mchanga Suzy wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama yake mzazi, hata kama Juma hamjui mama yake mzazi ni nani?

SimbaMpole123 anakwambia kwamba, kutojua jibu si sababu ya kukubali jibu lolote.

Juma, mwenye miaka 30, hata kama hamjui mama yake mzazi, akiletewa binti wa miezi 6, akaambiwa huyo binti mchanga ndiye mama yake mzazi, anaweza kujua hili jambo si kweli, bila hata ya Juma kumjua mama yake mzazi ni nani.

Kwa sababu Juma anajua kwamba mama yake mzazi ni lazima awe mkubwa kuliko yeye Juma kwa miaka ya kutosha kumzaa, na huyo binti wa miezi 6 hajafikisha sharti hilo.

So, kutokujua jibu sahihi hakukulazimishi ukubali jibu lolote unalopewa, unaweza kuwa hujui jibu sahihi, lakini una principle ya kukuonesha jibu fulani si sahihi na kukuongoza kwenda kwenye jibu sahihi kwa elimination method.
Thank u...na achana nae huyu..
Hawa ndo watu ambao mchungaji akiwaambia chochote wanakubali na wanatapeliwa
 
😂Sawa...we si unajua story za wayahudi wengine Wana ya kigiriki, kichina, kimisri, kijapan, etc hata wamasaai Wana Miungu Yao na creation myth Yao na flood story Yao..,😴it's so easy ku make up an answer ila kuprove ndo mnaposhindwaga mnasingizia Imani...bac na Mimi through faith naamini tumeumbwa na moon angels kwa kutumia space fumes na tukifa tunaenda planet Karina kuserebuka..😂usipoamini hii story yangu ukafa unaenda kuishi Venus unateseka ila hufi..😁haya good day
Ukitaka kujua maana ya mjinga ni kusoma maoni ya wakana Mungu.

Hao wenyewe au huyo mwenyewe unae mtaja naye ni kiumbe. Shida huwa mnafikiria kitoto sana na kutojua maana ya hivyo mnavyo viandika au kuviongelea.
 
Thank u...na achana nae huyu..
Hawa ndo watu ambao mchungaji akiwaambia chochote wanakubali na wanatapeliwa
Hivi mnajua ya kuwa hakuna kitu chochote ambacho kina ushahidi wa wazi mno kuliko uwepo wa Mungu ? Hata uwepo wako wewe haushindi ushahidi wa wazi wa uwepo wa Mola Muumba.

Ndio maana huwa tunahitimisha ya kuwa Wakana Mungu wote wana matatizo ya akili.
 
Mungu yupi?
Ushawahi muona?
Ashawahi kukuambia anataka Nini?
Ana sifa zipi?
Usiishi kuamini dini za maboti

Mungu Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.

Nani alikwambia sharti la uwepo wa kitu lazima ukione ? Wewe babu yako wa tano uliwahi kumuona ila si unasadiki ya kuwa alikuwepo ?

Alikwambia mitume na manabii watuambie anataka nini.

Anasifa nyingi zikiwepo uhai, upendo, nguvu na nyingine.

Tatizo la kwenye liko wapi ? Ni kuletwa na watu wa nje au mafundisho yake ?
 
Kwanza, kwa muktadha wa uzi huu, umelazimisha chanzo kiwe Mungu. Hili si lazima.
Onyesha kutokukuwa na ulazima wa Mungu. Kwanza unajua Mungu ni nani ?
Inawezekana mtu asipinge uwepo wa chanzo, lakini chanzo kikawa si Mungu.

Hili haliwezekani na halitowezekana hasa ukiwa unaelezea chanzo cha kila kitu.
Pili, umelazimisha chanzo kiwepo. Hili si lazima.
Si kweli, taja sababu tatu ambazo zinaonyesha si lazima chanzo kiwepo. Aisee Kuna watu wajinga sijapata kuona.
Katika sayansi, suala la chanzo si la lazima.
Ndio maana ikawa na uongo mwingi na mashaka tele. Lakini si kweli, sababu Sayansi inajishughulisha na kujua chanzo. Hii itakuwa haina maana.
Vitu vinaweza kuwepo kwa quantum causal loop. Maana yake chanzo A kinaweza kusababisha matokeo B ambayo hayo matokeo B pia yakawa ndiyo chanzo cha matokeo A.
Kauli yako hii imeonyesha ulazima wa kuwepo chanzo. Kama hata unachokiandika hujui hakika yake vipi iwe ajabu kudai ya kuwa Mungu hayupo ?
This is science, katika quantum physics causality breaks down na suala lako la chanzo ukilifanya la msingi, utakuwa unajionesha tu kuwa hujui quantum physics.
Hili halipo. Onyesha hilo katika hiyo Quantum, kwamba chanzo si jambo la msingi.
Kama unataka tuchambue zaidi maandiko ya kitaalamu ya sayansi kuhusu hili, naweza kukuwekea hapa.
Tuwekee hapa, na ujibu kwa ufasaha maswali tutakayo kuuliza.
So yes, watu walioisoma sana quantum physics wanapinga dhana nzima ya kwamba chanzo ni kitu cha msingi.
Tutajie wawili tu na utuonyeshe kutokuwa na msingi kwa uwepo wa chanzo.
Kwa sababu dhana nzima ya cause and effect, inayokwambia kitu A ndicho chanzo kilichopelekea kitu B kuwapo, ukiitqzama hiyo dhana kwa undani at the quantum level, inavunjika katika quantum causal loop.
Tuonyeshe hilo.
 
Thank u...na achana nae huyu..
Hawa ndo watu ambao mchungaji akiwaambia chochote wanakubali na wanatapeliwa
Sijawahi yumbishwa na kiongozi wa dini. Mimi naangalia ukweli kuhusu Biblia inasema nini na mifano iliyomo inanisaidiaje kukabili changamoto za maisha kibinafsi na wengine wanaonizunguka. Lakini pia kuhusu wakati wangu ujao utakuwaje! Shida hapa mnamezeshwa kuwa kuamini kwenye maandiko unakuwa low minded na unakuwa maskini lakini haiko hivyo. Mnaangalia watu badala ya kilichoandikwa.
 
Evolution of man inaonyesha binadamu tulikuwa nyani lakini huko zilikoanzia tafiti za kisayansi wanatuona waafrika ndio nyani na hata ukiuliza kabla ya nyani kuwapo yeye alikuwa nani wanasayansi hawakupi majibu. Inafikirisha kidogo.

Tafiti nyingi za kisayansi zilizofanywa after Jesus Christ na kupatiwa majibu tayari majibu yake yalishakuwapo kwenye Biblia miaka mingi sana. Biblia si kitabu cha kisayansi lakini kina mambo mengi ambayo yaliandikwa zamani kwa msaada wa hekima ya Mungu na yakawa proven na tafiti za kisayansi. Mwisho wa siku wanasayansi wengi baadae walikuja kukiri kuwa lazima kuna Mungu aliyeumba vitu hivi vyote.
 
Hivi hizo sadaka ni shingapi watu wanatoa mbona mnaropoka sana vitu vya hovyo namna hiyo sababu ya chuki. Yani kweli elfu mbili elfu tano elfu 10 kwa wiki ndo imfirisi mtu duh. Ila mtu kunywa pombe za laki moja katika mshahara wa laki mbili safi sadaka ya elf mbili anafirisika. Bangi za elf 5 kila siku safi ila sadaka ya buku mbili hasara anafirisika. Hayo makanisa yana hela hujui tu kuna watu wanatoaga sadaka kubwa za kutisha na wengi kama hujui sio masikini kama wewe jpo sikujui. Nshawahi hudhuria kanisa la Nabii Flora pale mbezi beach alikuja dada mmoja toka uingereza alimkabidhi million 100 cash alitoa ushuhuda kapata mume. Na hapo kama wiki imepita kazawadiwa mashangingi manne zero kilomita toka kwa jmaa wa uingereza pia ambayo akauza yote na kuanza na ujenzi. Nenda kaangalie hata kwa Mwamposa aina ya watu wanaoingia endelea pigiwa story vijiweni.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Acha dharau mkuu. Ulishaenda kwa Mwamposa uone watu wanavyoshawishiwa kutoa SADAKA YA KUJIMALIZA hadi wanakosa naiuli za kurudia nyumbani. Kuwa na huruma na watanzania wenzako. Mifano unayotoa haina kichwa wala mguu.
 
😂😂Si subconscious mind jamani...mbona tunabishana utoto lakini
Umekariri tu subconscious mind.....lakini maelezo ni namna gani yanaweza kusababisha hiyo hali hujui.

Ngoja nikupe mtihani,.➡️ Tufundishe "How is demonic possession a wrong perception of the subconscious mind?"


Maana unadhani watu hatuna akili mpaka tushindwe kutofautisha between the two 👊
 
[emoji23]1. Hizi ni story za waumini wa wachungaji matapeli, eti umeenda hospital zote.. hospital zote unazijua?
2. Just because shida haijulikani doesn't mean it's magic? Ukisema it's magic unajifunga coz how do u prove that asa...how do u test it ili ikitokea Tena unajua solution ni magic...
Nliposema ni magic wapi ?? Wewe umeshakua ni mtu wa kukurupuka siku zote, Unasema story za wachungaji kwa mambo tunayoyashuhudia kwa ndugu zetu unajitambua kweli wewe ?

Unaonyesha jinsi ulivyo bishi na juaji lisilo na maana yoyote, Unabisha bisha bila sababu za msingi huu si utahira huu !?? Au nkuelewaje mkuu
 
What if there r multiple universes with different universal constants?
I belive in multiple universes, its called "The Multiverse", its an interesting topic and the doorways into other universe are more interesting "black holes" its the name.....why an omnipotent God create one universe??

Why would an all powerful deity need fine tuned, is he limited to certain parameters?
Brother this is weak argument, because everything needs to be absolute, everything need to have a certain value, it has to be guided by something, God is all about being Precise.

anyone can say I feel lyk I'm in a ryt place at the ryt time coz of some outside force..😂buh if u can't explain how n why you'll just be making blind assumptions. The best answer is we don't know ..
When you say "Right place and right time" makes me laugh, unrelated things can't just fall together into one another and work perfectly together, do you know what I mean??
The bing-bang made it possible for the sun to be formed and our solar system to be formed by the sun's gravitational embrace, Evolution made it possible for plants to form chlorophyll, a plant makes its own food(glucose) when a photon of light travels from the sun 8 minutes earlier and strikes that chlorophyll starting a chain of reactions that will result in the formation of glucose(remind you that 80% of our foods are palnts and chlorophylls are powerful batteries even more powerful than your car battery) Now how is that even possible?? How does evolution taking place on our small planet made us so dependent on space and stars for our survival which were only formed by accident, as per you?
How did the plant know "let me mutate and form chlorophylls that will allow me to extract and process energy from the biggest source of energy in our solar system" as per you?

Right place right time😅
 
Twende na mantiki.

Unakubali kwamba, tunaweza kujua jibu hili si sahihi, kabla hata hatujajua jibu sahihi ni lipi?

Yani unaelewa kwamba ukiniletea mwanamme wa miaka 30 leo, Juma, ukaniletea na binti mchanga wa miezi 6 leo, Suzy, ukaniambia huyu binti wa miezi 6 leo ndiye mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, naweza kujua habari hii si sahihi, binti wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo, bila hata kumjua mama mazazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo ni nani?

Shida haijajulikana. Hilo halinizuii mimi kujua kwamba majibu fulani si majibu sahihi.

Kwani body of work ya sayansi inasema inajua kila kitu leo ?

Kwani sayansi kutojua kitu maana yake tatizo ni uchawi au supernatural reason?

Mbona kabla ya sayansi kujua bacteria na viruses, magonjwa ya bacteria na viruses yalijuwapo, sasa wakati huo haya magonjwa yalisababishwa na supernatural causes?

Kwa nini inakuwa vigumu sana kusema "huu ugonjwa hatuujui, inatubidi tuuchunguze tuuelewe kwanza, halafu tutaudhibiti baada ya kuuelewa" ?

Kwa nini tukikutana na kitu hatukielewi, tunakimbikia kwenye uchawi na supernatural reasons?

Mbona magonjwa mengi tu hapo awali hatukuyajua, lakini tulifanya utafiti mpaka tukayaelewa?

Sasa, na leo tukikutana na ugonjwa hatuuelewi, kwa nini tunakimbilia habari za uchawi na supernatural reasons badala ya kufanya uchunguzi tuelewe mambo within a natural framework?

Unaelewa kwamba tunaweza kujua kuwa jibu fulani si sahihi, kabla hata ya kujua jibu sahihi ni lipi?

Unaielewa hiyo dhana kwamba tunaweza kujua jibu fulani si sahihi, kabla hata ya kujua jibu sahihi ni lipi?
Kwenye swali langu sijataja neno "super natural power" Wala sijautaja uchawi
Ila nmetaka ufafanuzi, Hayo maelezo yako yote yanatoka wapi ?

Mimi nmeuliza swali moja kuwa huwa science wanafail wapi hadi wanakubali ndugu kuondoka na mgonjwa wao bila kuondoa tatizo ?

Sawa kuna majibu umenipa mwishoni kwamba science sio kwamba inafahamu kila kitu,

Nna maswali mawili moja ni ndani ya hii hoja na lingine ni nje ya hii hoja
1; Ni kwanini wasimuache huyo mgonjwa kwajili ya tafiti ili waufahamu ugonjwa huo mpya ambao hauonekani kwenye vipimo na badala yake wanaruhusu tu mgonjwa aondolewe bila wao kuambulia chochote kile ?

2; Umesema science haifahamu kila kitu, Swali, Ni kwanini mmeshahitimisha kuwa Mungu hayupo na mnajua science haifahamu kila kitu na haijavumbua vitu vingi bado ?
 
Una uhakika gani hakufahamika na wengi we bwana?
Kama alifahamika na wengi, Kwa nini injili hiyo ianze kusambazwa kutoka huko Israel?

Kama yesu huyo alifahamika kila mahali kwa nini habari zake zili sambazwa kwa Mataifa mengine?

Yani uletewe habari za yesu unaye mfahamu tayari?
Nadhani ni maswala ya uelewa wa bible ndo changamoto kwa hapo. Kilichoandikwa kwenye bible ni kiini cha maisha ya wadanadamu nd maan kikawa centered katika taifa la Israel kama kielelezo kikuu. Lakini watu waliokuwa wanasali walikuwa dunia nzima
Kama watu waliokuwa wanasali walikuwa dunia nzima, Kwa nini uanze kueleza habari za huko Israel?


ndo maana mfano mfalme wa Ethiopia enzi hizo za Yesu alisikia habari za Yesu na akafunga safari kwenda kuonana nae. Pia usichanganye na ramani za sahivi zitakupoteza dunia zamani ilikuwa tofauti kabisa.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
If u think it's ryt to rape and kill because there is no god to tell u not to....then stay away from us..u ain't a nice human u are just a puppet of culture
Everybody is the puppet of certain culture I guess. What if you were born in a western culture where gayism is normal and you decided to be gay, does it make it right to be gay? What if you were born in Congo where eating dwarves is normal to their culture, does it make eating human beings right? You gotta know there are so many cultures in the world but God is the standard of all cultures. If Europeans decided not to steal from us instead teach us how to use our natural resources as God wants from humans. Stealing is bad according to God's law yet Europeans culture allowed them to steal from us for the sake of their generations and leaving our generations suffering yet you are here praising them for not having religion as source of their wealth.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom