bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Huna uelewa wowote kuhusu dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wawili tofautMkuu shambulia hoja usimshambulie mleta hoja..... ana hoja ajibiwe
Kwani Yesu Mungu ndio Allah au ndio Zeus?
Ndo maana nilimuuliza umesoma kweli swali.Huyu jmaa nataka nimweleweshe vizuri ila naona anakaza shingo nimemuandikia naomba evidence ya exodus ananiambia ndiyo imetokea..
Sasa Ndiyo ndo evidence..
Aseee nimeshangaa sana nilikuwa nacheka tu maana nimeona maelezo tofauti na swali.Jamaa kajifanyia swali lake na kajipa majibu tayari 😅😅
Marekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kama mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.In God We Trust, Ni neno ambalo lipo kwenye pesa ya Taifa la marekani ( Dollar ), je huwa wanamaanisha nini kwa unavyoelewa ?
Kama hauelewi, Jibu tu kuwa hauelewi na kama unaelewa nasubiri majibu yako.
Marekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kqma mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.In God We Trust, Ni neno ambalo lipo kwenye pesa ya Taifa la marekani ( Dollar ), je huwa wanamaanisha nini kwa unavyoelewa ?
Kama hauelewi, Jibu tu kuwa hauelewi na kama unaelewa nasubiri majibu yako.
Twende kisomi zaidi, usiseme makundi yalikuwa mawili tu pasi na kufafanua kielimu.Mkuu Unachanganya vitu sana Makundi yalikuwa maweili kundi la kwanza liliuwa ni kabila la Benyamini pmoja na Yuda.. na hawa walijiita Yuda au Yudean
Na kundi la pili ni Kundi la Rubein ja wengine 9 na na hawa ndo walijiita Israel
Kipindi hicho palestina ilikuwa pembeni ya kanaani kama nchi ya wafilisti (Philistine )
Kasome Vizuri sources zako
Ngoja twende kwa maswali, tuambie ni sababu gani ziliwafanya Wana wa Israili watoke Misri na ilikuwaje dola ya Yaghudha ikaanguka na iliangushwa na nani ?Nimesema atakayekuja kusema walikuwa Watumwa aje na Evidence sio maneno matupu hata Evidence moja tu ntaipokea au any resonable answer..
So Jibu la Ndiyo walikuwa watumwa ambalo halina logic
Ukija kwa kubishana lazima utashindwa njoo na hoja na ubainifu. Hapo mwanzo nilikwambia Uyahudi una maana zaidi ya Moja yaani ziko nne. Yahudi halikuwa kabila, bali ilikuwa dini, na ukiongelea dini ni itikadi na mfumo wa maisha.Unajua kuna wakati sasa nashindwa kubishana na wewe maana unaonekana unachanganya vitu Yahudi ilikuwa kabila kabla halijawa taifa na bada ya kuwa taifa likawa itikadi na Baadae kuwa njia ya maishaa...
Nakupa summary usipoelewa sasa dah
Unamjua hata Yuda au unamjua Eber..
Wa YUDA (YEHUDA) {kabila} kuungana na wa Benyamini >>>JUDEANS FALME YA YUDA>>>>JUDAISM IMANI
Njoo uonyeshe uongo uliopo katika Uislamu na uonyeshe ukweli uliopo katika Ukristo. Sababu najua Wakristo si watu wa kutunza Historia Sasa ndio maana nataka uniambie machimbo ya Historia ya Ukristo kuhusu Uyahudi mmeitoa wapi ? Zaidi ya kwenye vitabu vya Mayahudi na Waislamu ?Kuna vitu unachanganya sana mkuu Tatizo linatokana na kushindwa kujibu kutumia Theology moja..
Mimi nazijua theology ya kiislamu na kikristo lakini kwenye mambo ya historia kama haya lazma utumie christian Theology maana Islamic kwenye historia sio kweli
Naam swali nililisoma ndio maana nikajibu.Mkuu swali ulilisoma?
Sasa naomba twende polepole nikueleweshe...Hiki ulichokiandika kimeonyesha wazi huijui Historia. Wana w Israili wamepitia katika vipindi vitatu kwa mujibu wa wanahistoria. Cha kwanza ni kipindi cha makadhi, Cha makadhi kipindi hiki kilisimamiwa na Yusha bin Nuun, kikaja kipindi cha Muluki yaani ufalme hapa wakapelekewa mfalme Jaluta kwa Mayahudi wanamuita Shauli, kipindi cha tatu ni Inqisam (Mgawanyiko) ambapo hapa walifanya mtoto wa Suleyman na yule mwingine.
Mkuu Mimi Nilikuwa Mtaalamu w Theolojia na pia ni Mwislamu Mstaafu...kwa nachokuambia kiko relible na kimeandikwa sio tu kwwnye vitabu hata kwenye biblia za Kitahudi TANAKH na biblia za kikisto ....Historia yako ya dini unaisoma wapi ? Nitakuuliza swali kipindi hicho unachosema Cha ufalme nani alikuwa Mfalme katika dola hizo mbili ? Leta ushahidi wako na Mimi nikuwekee ushahidi wangu.
Huwezi kusema vyanzo wa Wanazuoni wa Kiislamu ni sahihi kuliko vingine hili nalikataaa 😅😅Mimi natumia vyanzo vya wanachuoni wa kiislamu, vyanzo ambayo ni sahihi zaidi kuliko vyanzo vingine, sababu wamzihakiki kwa umakini ..
Kuna vitu huwa ni muhali sana kwa Wakristo na Mayahudi, yaani vitu vya kihistoria. Nilitaka hili nilishangae.Sasa naomba twende polepole nikueleweshe...
Kitu ambacho sikulaumu ni kitu Kimoja Umesoma Tarekhe lakini bado hukupata Kusoma Iliyo sahihi ama hukupata mtu aliyekuelekeza Ambaye anajua ama wewe ndo hukujua...
Narudia tena Mimi ni Msomi wa Theology na pia niliwahi kuwa Muslim so najua upande unaoutetea lakini kwakuwa historia ya wana wa israel is not credible kwa upande wa Uislamu ntatumia biblia kama sources ya refference nikueleweshe..
Unakumbuka mwanzoni kabisa nilikuambia kuwa huwezi kupata Historia ya Uisrael uarabuni....
Sasa nifatiliee..
Wana wa israel wamepitia Vipindi Vinne na sio vitatu kama unavyosema...
Hili unalosema wewe huenda hujajikita katika suala hili la kihistoria. Kusa alikuwa nabii na Mtume wa Allah. Sababu hata katika uongozi wa Rahbiam na Yarbiam ulikuwa ni uongozi wa mmoja mmoja.Uongozi wa kiongozi mmoja {na yeye kuteua wasaidizi wake katika kila kabila}(Ama huu uongozi uliitwa Uongozi wa Kikuhani,Kitume,Au unaweza ukaita unavyoweza kuita)
- Hapa utakuta Viongozi wakiwa kama kina Musa na jopo la Viongozi aliowateua wakiwemo wale wazee 70 kumsaidia kila kabila...
- Na baada ya kufa Musa alishika kijiti Yoshua bin Nun (au Mnavoita Yusha bin Nun)
Kwa mujibu wa Wanahistoria kipindi cha Jaluti (Shauli) hiki ndio kipindi cha kifalme kwa mujibu wa wanahistoria wote.Kipindi cha maombolezo
- Nadhani hata wewe unaamini kuwa ufalme wa Israeli uligawanyika katika falme mbili,
- ufalme wa Israeli kaskazini (Ambayo ndo iliitwa Israel) na ufalme wa Yuda kusini.
- Ufalme wa Israeli uliharibiwa na Ashuru mwaka 722 BCE, na ufalme wa Yuda uliharibiwa na Babeli mwaka 586 BCE. Baada ya uharibifu huo, wana wa Israeli waliishi kama watu waliotekwa kwa miaka mingi. Wakati huo, waliongozwa na wazee na manabii.
- Kipindi hiki wao wanakiita kipindi cha MANABII WADOGO au kipindi cha maombolezo utakuta manabii kama kina Amosi,Hosea,Habakuki ,Sefania,OBADIA ,YONA ,YOELI..etc
Japokuwa Woye kwa sasa nawaona hamko sahihi.ila napenda kusema ukweli... Sijakusudia taklitTazama hizo Historia za Wakristo zimeandikwa lini na waandishi hizo Historia wametoa wapi Historia zao.
Sasa wewe ndio unatakiwa uihakiki Historia yako unayo iweka hapa.
Bado hujaonyesha ya kuwa Rahbiam alikuwa Mfalme. Umesema swali la kitoto lakini umeshindwa kuthibitisha ya kuwa hao walikuwa ni Wafalme.Sasa tuachane na hayo maswali lets hits the topics..
Umesema kipindi cha ufalme ukiwa upande mbili nani alitawala hizo pande mbili...
Swali la kitoto sana ila Nitakujibu japo hata mtoto wa miaka mitano ambaye bado yupo katika ukristo au Aliyesoma Tarekhe atakujibu hili swali..ila kwa faida ya wengi nitakujibu tena kwa Refference...
Mfalme katika Makabila kumi au mfalme wa Israel alikuwa Yeroboamu mwana wa Nebati.
Na Mfalme kwa makabila ya Yuda na Benyamini au Judea Au Yuda alikuwa Rehoboamu Mwana wa suleiman (Kasome Habari hii yote ya falme hizo kugawanyika kwenye 1 Wafalme 11 Mpaka 1 Wafalme 14)
We ntakujibu kesho mapema sanaThere is a significant amount of evidence to suggest that the Israelites were enslaved in Egypt. This evidence comes from a variety of sources, including archaeological, historical, and literary sources.
Archaeological evidence:-
Archaeological evidence has been found in Egypt that supports the biblical account of the Israelites' enslavement. For example, excavations at the site of Tell el-Dab'a, in the eastern Nile Delta, have uncovered a large storage facility that is believed to have been built by the Israelites. The site also contains a large number of mudbrick houses, which are the type of dwelling that the Israelites are believed to have occupied.
Historical evidence
There are also historical records from Egypt that mention the Israelites. For example, a Merneptah Stele, which dates to around 1200 BCE, mentions the "Israel" people as one of the groups that Merneptah conquered. This stele is considered to be one of the earliest extra-biblical references to the Israelites.
Additional evidence
In addition to the archaeological, historical, and literary evidence, there is also linguistic evidence that supports the biblical account of the Israelites' enslavement in Egypt. For example, the Hebrew word for "slave" (עבד) is cognate with the Egyptian word for "slave" (ỉbd). This suggests that the two languages were in contact at some point in the past, and that the Israelites may have borrowed the word for "slave" from the Egyptians.
NB:- Kuna matukio mengi sana yaliyotokea miaka mingi iliyopita yakihusisha utumwa, vita, uvumbuzi, uhamiaji na kadhalika,,. KUKOSEKANA KWA USHAHIDI WA MOJA KWA MOJA JUU YA KUTOKEA KWA MATUKIO HAYO HAIMAANISHI KWAMBA 100% HAYAKUTOKEA.
Ndio maana nikasema hivi bado mchanga sana katika hii kadhia. Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?Japokuwa Woye kwa sasa nawaona hamko sahihi.ila napenda kusema ukweli... Sijakusudia taklit
Historia ya Kikristo yaani Biblia (agano la kale) inakadiriwa kuandikwa miaka 3500 Iliyopita Yaani kipindi cha Babilon exile mwaka 1500 B.C.E
Cha ajabu ni kwamba Historia nyingi za Kiislam ziliandikwa kipindi Cha ijtihad na Taqlid
Kwa maimam kama kipindi cha 109 -116 AH kipindi cha An-Naafi‘, mpaka miaka ya 130-150 AH Kipindi cha Abuu Haneefa,, Au kipinid cha maliki 150-179 AH ...
Na wengine wengine ambayo ukiiweka katika Hisabu ni Miaka ya 800 au 900 na kuendelea
Wewe toa ushahidi Historia ya Ukristo imeandikwa na nani ? Hiyo Biblia yenyewe unayo isema haikuwepo hata kipindi cha Mtume.Huwezi kusema vyanzo wa Wanazuoni wa Kiislamu ni sahihi kuliko vingine hili nalikataaa 😅😅
Ngoja nitakupa mfano mmoja..
Ukiona Sudan wana claim kuwa na historia sahihi ya Tanzania kuliko Tanzania Yenyewe Lazma upate mashaka kwanini wanaclaim hivyo wakati Tanznia wapo na wanahistoria yao...
Kwakuwa nimekujibu upande wako naomba sasa unithibitishie Kuhusu EXODUS
Swali ls kitoto turudi kweny Mada tuliyoanza nayo..maswali.mengine hta mwanafunzi wa maddrasa anajibuNgoja twende kwa maswali, tuambie ni sababu gani ziliwafanya Wana wa Israili watoke Misri na ilikuwaje dola ya Yaghudha ikaanguka na iliangushwa na nani ?
Sasa nataka ujibu wewe maswali haya ya kitoto.Swali ls kitoto turudi kweny Mada tuliyoanza nayo..maswali.mengine hta mwanafunzi wa maddrasa anajibu