Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Andika wewe uhakika wako usio na shaka ndgu mwanakondoo
Kuiywa mwana-kondoo ni ishara ya UNYENYEKEVU WA KIJINGA wa Waafrika wasiojitambua.

Hivi kwenye biblia MWANAKONDOO ametafasiriwaje?

Naje ktk lugha ya kiingereza iliyotumika mwanzo kuingizia huu ujinga kwa Waafrikana inatafairiwaje?
 
Haki ipi unayoisemea wewe?ua kiabudu ujinga uliopandikizwa?ya ushoga tunaoletea na haoahao walioleta dini na biblia na kuvisimamia?

Jitambue!!
Ccm ndiyo inayoleta ushoga acha kujidanganya tena kule ccm mabasha wanaitwa komredi
 
Sawa kivipi ? Hata ukristo wenyewe unegawanyika kutokana na kukataa haki ...kumezuka ukristo usio wa haki wa kila namna na kusababisha madhebebu ambayo ni uhuni ulio dhahili....dini ni moja ila zipo dini za uongo na za uovu ...dini ya kweli ni moja daima milele
Hivi mnatambua ya kwamba hakuna UKRISTO bali kuna UAFRIKA,UASIA na UZUNGU tu katika UUMBAJI WA MUNGU?

Ukristu ni sehemu ya uzungu uliosambazwa dunia kote kwa kuanzishwa na baadhi ya wazungu kutaka kujinufaisha kiuchumi kupitia ZAKA,SADAKA na FUNGU LA 10.

Nakuwekea hapa chini halafu ubishe
2023_11_22_22.39.37_edit.jpg
 
View attachment 2831696
Nyinyi ndiyo wale wapumbavu mnsosema sayansi na technology siyo mila za muafrica ni mila za mzungu ....matokeo yake mnakataa akili kisa hiyo akili ni wazo la mzungu na kufuata upumbavu kisa ni wazo lenu .
 
Ulisema hivi naku nukuu hapa
"Dunia na vyote ni energy"

Sasa kama Dunia na vyote ni energy, Utasemaje kwamba Dunia iliumbwa na Mungu?

Kama Mungu mwenyewe ni energy pia, Na dunia pia ni energy.

Sasa utasemaje Mungu ndio kaumba Dunia?

Kwa nini Dunia isiumbe Mungu maana na yenyewe ni energy?

Kwani dunia haiwezi kufanya art of energy?

Mbona hata sisi binadamu tunaweza kufanya art of energy.

Huyo Mungu hayupo, unachofanya ni unajaribu kumpachika chika sifa ambazo hata sisi tunaweza kufanya.
Mimi papoja na kutoamini ktk uislam na ukristo naamini MUNGU yupo kutokana na uwepo wetu pamoja na viumbe wengine na pia pale ninapomuomba kupitia BABU NA BIBI ZANGU na kuganikiwa basi inanipa faraja kabisa.

Ninachoamini pia MUNGU alikuwepo na baada ya kufanya UUMBAJI hapa duniani aliendelea kuwepo kwa kutoonekana kama vile watu alivyowawezesha kujua kuwa mtu akifa ROHO inaishi hivyohivyo kwa MUNGU anaishi nasi pia kama ROHO za MABABU na MABIBI zinavyoishi nasi.

MUNGU ALIKUWEPO NA ANAISHI NASI AKAMA TUNAVYOISHI NA WAASISI WETU AMBAO HATUWAONI TENA ILA TUNAWASILIANA NAO.
 
Hiyo Itabaki kuwa opinion yako tu...
 
Usiseme Mungu yupo afu huwezi mthibitisha...sema unaamini yupo.. ibaki kuwa Imani Kama nyingine tu
Waliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?

Kutokumuona MUUNGU hakuondoi uwepo wake aidha alikuwepo au hakuwepo.

Hata hao yesu na muhamed walikuwepo japo leo hawapo na Waafrika wajinga walioloshwa historia ya maisha yao wanaamini walikuwepo.

Mababu na Mabibi wa Mababu na Mabibi zetu wanaamini kuwa Mungu alikuwepo au yupo ingawa hawakumuona kama vile na sisi tunavyoamini kuwa Mababu na Mabibi zetu wa kale walikuwepo ama wapo ndiyo maana tukawepo sisi hata kama hatukuwaona.
 
🤣🤣🤣🤣Unatoa false analogy....mi sijasema nione...kwani upepo unaonekana? ila si upo...sauti inaonekana? Ila si ipo...u can't prove god exist...hayo Mambo ya baba na mama kuwepo huwezi zaliwa kutoka kwa yai la kuku lazma utatoka tumboni kwa mwanamke na kutokana na sperm ya mwanaume na hili halipingwi coz hata wewe Leo hii na mke wako mnaweza tengeneza mtoto so hata asipowaona doesn't mean hawakuwepo...the problem with Mungu Sasa ni imani, haina ushahidi wa aina yoyote Ile na ukisema kila kitu kina mwanzo bac na huyo Mungu ana chanzo la sivyo unaforce ubishi ambao hauuwezi
 
Wal
Waliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?

Kutokumuona MUUNGU hakuondoi uwepo wake aidha alikuwepo au hakuwepo.

Hata hao yesu na muhamed walikuwepo japo leo hawapo na Waafrika wajinga walioloshwa historia ya maisha yao wanaamini walikuwepo.

Mababu na Mabibi wa Mababu na Mabibi zetu wanaamini kuwa Mungu alikuwepo au yupo ingawa hawakumuona kama vile na sisi tunavyoamini kuwa Mababu na Mabibi zetu wa kale walikuwepo ama wapo ndiyo maana tukawepo sisi hata kama hatukuwaona.
Walikuwepo thus hata maeneo yao yenye kubeba uthibitisho wa uwepo wao yapo hadi kesho
 
Wewe unaweza kuthibitisha uwepo wa Babu yake wa Babu yake wa Babu yake Babu yako iwapo haukumuona?
🤣Hata Kama siwezi mi hayanihusu... it makes sense lazma aliishi coz nimezaliwa..huyo Mungu hamna evidence na ukisema lazma chanzo kiwepo huyo Mungu katokea wapi au ndo kiroho cjui
 
Back
Top Bottom