HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Plus:-Physical slavery
Religious slavery
Financial slavery....... Africans ndio pekee bado wapo kwenye hiyo minyororo. Tena ni kwa kuipenda
Mental Slavery
CultuRAL Slavery
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plus:-Physical slavery
Religious slavery
Financial slavery....... Africans ndio pekee bado wapo kwenye hiyo minyororo. Tena ni kwa kuipenda
Kuiywa mwana-kondoo ni ishara ya UNYENYEKEVU WA KIJINGA wa Waafrika wasiojitambua.Andika wewe uhakika wako usio na shaka ndgu mwanakondoo
Haki ipi unayoisemea wewe?ua kiabudu ujinga uliopandikizwa?ya ushoga tunaoletea na haoahao walioleta dini na biblia na kuvisimamia?Swala la haki ni muhimu hata kama dini zisingekuwepo
Hata mbwa hapendi kutendewa mabaya!!Safi kabisa hapa wote tuko sawa kabisa!
Ccm ndiyo inayoleta ushoga acha kujidanganya tena kule ccm mabasha wanaitwa komrediHaki ipi unayoisemea wewe?ua kiabudu ujinga uliopandikizwa?ya ushoga tunaoletea na haoahao walioleta dini na biblia na kuvisimamia?
Jitambue!!
Hivi mnatambua ya kwamba hakuna UKRISTO bali kuna UAFRIKA,UASIA na UZUNGU tu katika UUMBAJI WA MUNGU?Sawa kivipi ? Hata ukristo wenyewe unegawanyika kutokana na kukataa haki ...kumezuka ukristo usio wa haki wa kila namna na kusababisha madhebebu ambayo ni uhuni ulio dhahili....dini ni moja ila zipo dini za uongo na za uovu ...dini ya kweli ni moja daima milele
Nyinyi ndiyo wale wapumbavu mnsosema sayansi na technology siyo mila za muafrica ni mila za mzungu ....matokeo yake mnakataa akili kisa hiyo akili ni wazo la mzungu na kufuata upumbavu kisa ni wazo lenu .Hivi mnatambua ya kwamba hakuna UKRISTO bali kuna UAFRIKA,UASIA na UZUNGU tu katika UUMBAJI WA MUNGU?
Ukristu ni sehemu ya uzungu uliosambazwa dunia kote kwa kuanzishwa na baadhi ya wazungu kutaka kujinufaisha kiuchumi kupitia ZAKA,SADAKA na FUNGU LA 10.
Nakuwekea hapa chini halafu ubishe
View attachment 2831696
Mimi papoja na kutoamini ktk uislam na ukristo naamini MUNGU yupo kutokana na uwepo wetu pamoja na viumbe wengine na pia pale ninapomuomba kupitia BABU NA BIBI ZANGU na kuganikiwa basi inanipa faraja kabisa.Ulisema hivi naku nukuu hapa
"Dunia na vyote ni energy"
Sasa kama Dunia na vyote ni energy, Utasemaje kwamba Dunia iliumbwa na Mungu?
Kama Mungu mwenyewe ni energy pia, Na dunia pia ni energy.
Sasa utasemaje Mungu ndio kaumba Dunia?
Kwa nini Dunia isiumbe Mungu maana na yenyewe ni energy?
Kwani dunia haiwezi kufanya art of energy?
Mbona hata sisi binadamu tunaweza kufanya art of energy.
Huyo Mungu hayupo, unachofanya ni unajaribu kumpachika chika sifa ambazo hata sisi tunaweza kufanya.
Hiyo Itabaki kuwa opinion yako tu...Mimi papoja na kutoamini ktk uislam na ukristo naamini MUNGU yupo kutokana na uwepo wetu pamoja na viumbe wengine na pia pale ninapomuomba kupitia BABU NA BIBI ZANGU na kuganikiwa basi inanipa faraja kabisa.
Ninachoamini pia MUNGU alikuwepo na baada ya kufanya UUMBAJI hapa duniani aliendelea kuwepo kwa kutoonekana kama vile watu alivyowawezesha kujua kuwa mtu akifa ROHO inaishi hivyohivyo kwa MUNGU anaishi nasi pia kama ROHO za MABABU na MABIBI zinavyoishi nasi.
MUNGU ALIKUWEPO NA ANAISHI NASI AKAMA TUNAVYOISHI NA WAASISI WETU AMBAO HATUWAONI TENA ILA TUNAWASILIANA NAO.
Na hayo maandiko yenu yatabaki kuwa nini?Hiyo Itabaki kuwa opinion yako tu...
Usiseme Mungu yupo afu huwezi mthibitisha...sema unaamini yupo.. ibaki kuwa Imani Kama nyingine tuNa hayo maandiko yenu yatabaki kuwa nini?
Waliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?Usiseme Mungu yupo afu huwezi mthibitisha...sema unaamini yupo.. ibaki kuwa Imani Kama nyingine tu
Wewe unaweza kuthibitisha uwepo wa Babu yake wa Babu yake wa Babu yake Babu yako iwapo haukumuona?Usiseme Mungu yupo afu huwezi mthibitisha...sema unaamini yupo.. ibaki kuwa Imani Kama nyingine tu
Sayansi haiwezi kujibu Kila kitu dini imewezaScience makes sense than Dini yoyote
🤣🤣🤣🤣Unatoa false analogy....mi sijasema nione...kwani upepo unaonekana? ila si upo...sauti inaonekana? Ila si ipo...u can't prove god exist...hayo Mambo ya baba na mama kuwepo huwezi zaliwa kutoka kwa yai la kuku lazma utatoka tumboni kwa mwanamke na kutokana na sperm ya mwanaume na hili halipingwi coz hata wewe Leo hii na mke wako mnaweza tengeneza mtoto so hata asipowaona doesn't mean hawakuwepo...the problem with Mungu Sasa ni imani, haina ushahidi wa aina yoyote Ile na ukisema kila kitu kina mwanzo bac na huyo Mungu ana chanzo la sivyo unaforce ubishi ambao hauuweziWaliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?
Kutokumuona MUUNGU hakuondoi uwepo wake aidha alikuwepo au hakuwepo.
Hata hao yesu na muhamed walikuwepo japo leo hawapo na Waafrika wajinga walioloshwa historia ya maisha yao wanaamini walikuwepo.
Mababu na Mabibi wa Mababu na Mabibi zetu wanaamini kuwa Mungu alikuwepo au yupo ingawa hawakumuona kama vile na sisi tunavyoamini kuwa Mababu na Mabibi zetu wa kale walikuwepo ama wapo ndiyo maana tukawepo sisi hata kama hatukuwaona.
Dini gani? Na hio dini imejibu Nini?Sayansi haiwezi kujibu Kila kitu dini imeweza
Walikuwepo thus hata maeneo yao yenye kubeba uthibitisho wa uwepo wao yapo hadi keshoWaliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?
Kutokumuona MUUNGU hakuondoi uwepo wake aidha alikuwepo au hakuwepo.
Hata hao yesu na muhamed walikuwepo japo leo hawapo na Waafrika wajinga walioloshwa historia ya maisha yao wanaamini walikuwepo.
Mababu na Mabibi wa Mababu na Mabibi zetu wanaamini kuwa Mungu alikuwepo au yupo ingawa hawakumuona kama vile na sisi tunavyoamini kuwa Mababu na Mabibi zetu wa kale walikuwepo ama wapo ndiyo maana tukawepo sisi hata kama hatukuwaona.
🤣Hata Kama siwezi mi hayanihusu... it makes sense lazma aliishi coz nimezaliwa..huyo Mungu hamna evidence na ukisema lazma chanzo kiwepo huyo Mungu katokea wapi au ndo kiroho cjuiWewe unaweza kuthibitisha uwepo wa Babu yake wa Babu yake wa Babu yake Babu yako iwapo haukumuona?