Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Si hao wenye kuacha shughuli zao na kupigania haki za mashoga kiasi kwamba wako radhi kunyima nchi misaada kisa et shoga kupewa uhuru. Ujue wazungu wakati mwengine wanakosa vitu vya msingi vya kufanya au sijui ndio kufikiria kwenyewe huko anakokusifia mleta mada?
Akili zao ndogo.
 
Sayansi ni nini? Hujajibu swali.

Kama kuona ni muhimu hivyo, wewe ulimuona wapi Mungu hata uamini kwenye Mungu?
Tuambie wewe sayansi ni nini ?? kwani wewe una akili , uliiona wapi ??
 
Unaporusharusha hilo neno sayansi, unamaanisha nini? Jibu swali. Mimi ndiye nimeanza kukuuliza wewe.

Ikiwa.

1. Kitu kinaweza kuonekana kipo, na kikawa hakipo - Mirage jangwani.

2. Kitu kinaweza kuonekana kipo, na kikawa kipo - unavyojiona kwenye kioo.

3. Kitu kinaweza kuwa hakionekani, lakini kipo - Mimi hunioni, lakini nipo.

4. Kitu kinaweza kuwa hakionekani, na hakipo - Pembetatu ambayo ni duara katika Euclidean geometry.

Kwa nini habari nzima ya kuonekana iwe muhimu?

Kwa nini habari ya kuonekana iwe muhimu ikiwa kuonekana au kutoonekana haku prove lolote kwenye swali la kitu kipo au hakipo?
 
akili yako uliiona wapi , kama unayo ??
 
akili yako uliiona wapi , kama unayo ??
Unajua kusoma kwa ufahamu? Au umekwama?

Ndiko uliko ulikoiona akili yako huko ??
 
Ndiko uliko ulikoiana akili yako huko ??
Ni wazi hujui kusoma kwa ufahamu.

Una utapiamlo wa mawazo.

Na mimi sina muda wa kujibizana na watu wa aina yako.

Una uwezo mkubwa wa kupost kuliko kuchambua mambo.Unajaza ujinga tu hapa. Na mimi sitaki kuwa mtu ninaye ku enable kujaza ujinga hapa.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

You have lost the privilege to engage me directly.
 
Usikasirike,

Huku pia , uliiona akili yako ??

Tatizo hujibu unachoulizwa, mimi watu kama nyinyi msio na akili nawatafuta sana niwape dawa yao 😛 😛
 
Bila shaka sayansi yako pamoja na kutibu magonjwa haijawahi kufufua mfu yeyote
 
Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu and yu make sens,,, unajua kuna watu wanaamini sana kusu dini mpaka awakumbuki Mungu tena,

binafsi mimi pia siamini dini yoyote ila naamini Mungu yupo. na huwenda aya mabaya mengi mazuri machache ni huenda Mungu ametuacha maana atujui kuongea nae tena

jambo lakujiuliza sana ni hili.....!!

kwanini kabla ya kuibuka kwa utawala wakirumi (roman empire) watu walikua wanaongea na Mungu vizuri na walikua very sencitive kiasi kwamba binadam alikua anauweo wakuitambua hatari au chuki kwa kuangaliana tu na adui yake

ukweli ni kwamba roman empire imeleta giza sana kwenye akili za wanadamu wengi ila roman empire ndio chanzo cha kuibuka kwa mkanganyiko wa dini na kusababisha kutokea kwa madhehebu mengi ambayo ayajui nini maana ya Mungu.
 
Mngekuwa mnatoa mifano hai ina maana sasa hivi hakuna hata mtu mmoja mwenye kuongea na Mungu?
 
Mungu yupi?

Zeus?
Jesus?
Jehova?
Allah?
Krishna
Kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na kila mmoja anaamini Mungu wake ndio sahihi [emoji15]
 
Pumbavu, Kila kitu unaleta ubishi, Maswali yako ni dhahiri umekaa kiubishani tu...

Sina jibu la kukupa tena bakia na huo ubishi wako.

Nkuulize swali labda, Adamu na hawa waliumbwa kwa lengo la kuijaza Dunia kwa akili zako siku zote ulidhani biblia inamaanisha wangeijaza how ?
Hauna jibu la kunipa, unapaniki unatukana, halafu unaniuliza, means bado unataka mjadala na mie.

Unachokijibu hapa kinarefrect dini unayoamini na malezi ulopata nyumbani pole sana!

Next time jifunze walau kuwa mstaarabu. Kutokuelewana haimaanishi unichukie.

Pole
 
Si hao wenye kuacha shughuli zao na kupigania haki za mashoga kiasi kwamba wako radhi kunyima nchi misaada kisa et shoga kupewa uhuru. Ujue wazungu wakati mwengine wanakosa vitu vya msingi vya kufanya au sijui ndio kufikiria kwenyewe huko anakokusifia mleta mada?
Mkuu nyoka hata kama anauma, haimaanishi kuwa hana faida.

Ushoga kila mpenda maadili ataupinga na ni ujinga of highest level!
 
Back
Top Bottom