bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Amboni mapangoni ni kuzimu ndogo za Duniani kama makao ya shetani na watu wake sawa na Gamboshi,Ngende,au Nyumba nitu Njombe.Niache kwenda Ambono mapangoni nikaangalie historia za mababu zetu ni kadili na mizimu ya kipalestina na historia yao.
Sio nani kani ambia?Nani kakwambia uthibitisho wa jambo umefungwa only kwenye five sense pekee.
Amani ya moyo ni nini?Ukiwa Atheist hatoishia kutapatapa wala kupata amani ya moyo.
Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.Amani ya moyo ni nini?
Una uthibitisho wa kwamba Atheists hawana Amani ya moyo?
Kama huo ndiyo uelewa wako wa neno "dini" endelea kumtafuta, ukimpata nijulishe.jibu la hovyo ni mpango wa mwanadamu kumtafuta mungu
Sio hivyo tu ata nguo nyeusi ni ya msiba nyeupe ni ya harusi, na ili ufike mbingu dhambi zako zinabidi ziwe nyeupe kama dheluji., pia kuzimu kuna giza ( weusi ) mbinguni kuna mwanga ( weupe) na yesu ana ng'aa kama sufi safi( nyeupe) sasa sijui wewe mwafrica mwenzangu mweusi tii kama chungu kuna kutoboa apo .Amboni mapangoni ni kuzimu ndogo za Duniani kama makao ya shetani na watu wake sawa na Gamboshi,Ngende,au Nyumba nitu Njombe.
Kote ni makao ya shetani.
Hili swala bora tu ungesema limekaa kibinafsi kwa sababu hata hao wenzako wanaamini yupo ila ni Allah na sio jehova ,na wengine ni ishvara, amaterasu, yuhuang shagdi, shiva, ganesha, na nk na kila mmoja anaona mwenzake kapotea Mungu wake ndio wa kweli. Sasa ww huoni kuna kitu apo hakipo sawa?Huwa haturudii rudii
Huwa haturudii rudii kuwaelewesha msiotaka kuele
Ni majina tu lakini wanamaana moja lugha ndio tofautkibinafsi kwa sababu hata hao wenzako wanaamini yupo ila ni Allah na sio jehova ,na wengine ni ishvara, amaterasu, yuhuang shagdi, shiva, ganesha, na nk na kila mmoja anaona mwenzake kapotea Mungu wake ndio wa kweli. Sasa ww huoni kuna kitu apo hakipo sawa?
Watu wa dini ndio wana shauku watu wafuate mkondo wao , wanatapatapa watu wa dini wengne kuua kabisa kama sio wa mkondo wao au ukiongea negative kuhusu dini yao.Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.
Kama ni majina tu mbona tabia za hao Mungu ni tofauti na kila mmoja anadai jina lake ndio sahihi hana jingne tofauti na apo ni miungu tu?Ni majina tu lakini wanamaana moja lugha ndio tofaut
Pana Mungu na miunguKama ni majina tu mbona tabia za hao Mungu ni tofauti na kila mmoja anadai jina lake ndio sahihi hana jingne tofauti na apo ni miungu tu?
Hakuna Atheist yeyote yule anaye andika nyuzi zake huku JF kutaka watu wafuate mkondo wake.Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.
Kwamba wakwako yehava ni Mungu Allah na shiva ni miungu sio?Pana Mungu na miungu
Linganisha sifa zao Pana mmoja ana sifa kuuKwamba wakwako yehava ni Mungu Allah na shiva ni miungu sio?
Nikusadie kitu kimoja mkuu ,usijifungie kusoma Biblia tu soma Qur'an, Bhagavad-Gita , vedas, ramayana, kojiki, yijing, dao de jing, tanakh \ torah.Linganisha sifa zao Pana mmoja ana sifa kuu
Au huu ujinga hapaDini zililetwa ili kupumbaza watu, Imagine mtu anatoka mwanza kuja Dar kupokea miujiza ya yesu kristo kutoka kwa mwamposa. Ukiwa na akili timamu huwezi fanya upuuzi huo
Shinto,cultism, Kabal,vodoo, scientology, luciferism, Buddhism nk Huwezi kukua kwa kujifungia kwenye bible na QuranNikusadie kitu kimoja mkuu ,usijifungie kusoma Biblia tu soma Qur'an, Bhagavad-Gita , vedas, ramayana, kojiki, yijing, dao de jing, tanakh \ torah.
Si ndo kwenye wananyofoana pumbu huko saizi eti wangombania penye umejengwa msikiti???Mbona zilipoanzia Dini hakuna huo upuuzi
Mara unamkuta Baba yako anafanya huu ujingaKati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.