Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Al-habiib

Senior Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
110
Reaction score
151
Habari wakuu,

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta wanaoongea wala siyo atheists bali ni watu wanaoamini katika Mungu sema tu wanadai kuwa mfumo wa kumuabudu Mungu kwa kutumia uislamu au ukristo ni Mila za kuletwa na sahihi na mbadala wake watu warudi kwa mila za mababu haswaa mizimu na kuabudu mti.

Mimi ni Muslim na kwa upande wa dini yangu nitatetea dini kwa historia kupitia uislamu kwa munasaba wa sikukuu hii ya idd na ibada ya hijjah inayoendelea huko makka na historia yake kuonyessha kuwa uislamu so mila ya Kiarabu hata kidogo bali ni kitu tofauti kabisa na Uarabu ila tu umekuwa ikifungamana na uarabu sababu mtume MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم Ni mwarabu na mafundisho yameshuka kwake.

HISTORIA KWA UCHACHE

GHARIKA LA WATU WA NUHU

Baada ya gharka la nuhu kutokea kulikuwa na watu wachache Sana waliobaki duniani, Nuhu aliwahubiria watu wake kwa Muda wa miaka 1000 ispokuwa 50 Yani miaka 950 akiwakataza ushirikina(shirk) lakini waliamini watu inakadiriwa Kama 80 tu na inasemwa watu walikuwa wanazaliwa na kufa lakni wanamkuta nuhu, na wazee walikuwa Wana WaPa wosia watoto wao wasimkubali nuhu sababu anataka kuharibu mila za mababu yao.

Yaani hawa watu walikuwa wanaabudu watu wema ambao walwajengea masanamu matatu na wakayapa majina yao Yani latta, uzza na Nasra.

Historia ni ndefu lakini kwa ufupi hawa watu walikuwa wanaabudu masanamu na Kuna sababu zlizopelekea wao wayaabudu hayo masanamu ya watu wema, hiyo nayo ni historia nyengne Ila waliangamizwaa wote ispokuwa wachache ambao waliingia kweny safina la Nuhu.

Hii ni historia inakublika kwa Christian, Jews na Muslims. Ndani ya vitabu vyao injili, Torah, Quran respectively.

SWALI: Naomba kujua kwa upande wa wakristo;

1. Je, nuhu alikuwa dini gani mnadhani? Christian? Jew? Mana mnasema bila yesu huwezi kuuona ufalme wa mbingu. Je hawa Nuhu, Lutu, Ibrahim wao watu wao inakuaje sababu yesu kaja baada na wao walikuwa wakimuabu Nani?

Jibu langu (Islam side): Nuhu alikuwa akiabudu mungu mmoja na aliabudu kwa namna mungu yeye alivyotaka, sababu waislamu tunaamini kila mtume alipewa maelekezo kivyake kulingana na umma wake jinsi ulivyo.

2. Je, Yesu ambaye mnadai ni Mungu alijitoa sadaka kwa ulimwengu mzima au baadhi ya watu tu, Mana Kuna watu wamepta adhabu kabla ya kuja yesu, pia watu wa luth waliadhibiwa kabla ya kuja Yesu?

3. Naomba kujua historia ukristo inavyosema kwanni watu wa nuhu waliiadhibiwa I'ma kwa kumkataa yesu au mungu mmoja. Kama Ni mungu mmoja kwanii wote tusimuabudu huyo mungu mmoja ambyae alikuwepo toka Adam na nuhu akiabudiwa (haya maswali ni nje ya mada Ila naomba majibu).

BAADA YA GHARKA LA WATU WA NUHU

baada ya gharka la watu wa Nuhu, miaka ilipita na Kuna historia hapo kati ilipita ya watu wa thamudi na Adi (giant people kuubwa toka dunia ianze ambao waliangamizwaa kwa kimbunga).

Baada ya hapo alikuja Ibrahim, sasa huyu mtume ndo tutajua uislamu Ni uarabu au sio.

Kipindi cha Ibrahim hakukuwa na mtu hta mmoja aliabudu Mungu bali waliabudu masanamu na mizimu, lakni wote walikuwa wanajua Kuna muumba lakni walikuwa hawataki kuabudu tu.

Kama hawa wa sasa wanavyosema mungu yupo lakni tuabudu mizimu na miti, sasa umejuaje kuwa Mungu anaridhia kuabudiwa kupitia mizimu? Na ukifanya hivyo unaabudu Mungu au mizimu?

Pia dini sisi tunaamini ndio njia ambayo inatuelezea mungu akubali Nini na hataki Nini, Sasa utafanyaje kitu kwa kubuni tu eti niabudu hivi wakati hujajua yule unayemfanyia anakubaliana nacho.

EID-AL-ADHWHA NI HISTORIA YA NABII IBRAHIM

Ukifuatlia historia utaona watu wengi kabla ya mitume walikuwa waliabudu masanamu. sasa alipokuja Ibrahim alipingana na watu wote, yeye na mke wake Sarah ndo walikua wanamuamini mungu mmoja tu.

Utakuta kwenye Hadith mtume anaelezea kwamba nabii Ibrahim alimwambia mke wake siku mmoja yani dunia nzima mi na wew ndio waumini tu, hapa utaona kumbe hta zamani huko arabuni kulikuwa na watu Wana mila zao na so uislamu kabisa.

Pia Ibrahim ametajwa kuwa ni mtu aliyepinga ushirikina akiwa peke yake na mkewe mpak jamaa zakee wakataka kumuua kwa kumchoma moto, hata kwenye Quran suratul nnahal inaelezwa Ibrahim alikuwa ni umma mmoja yaani Ni muumini peke yake na mkewe Hana hta mfuasi mmoja na Wala hakuwa ni mshirikiana.


Hivyo basi Eid hii iliyopo ni kuchinja, na kwenda Hijjah maanake waislamu waadhimisha mila ya nabii Ibrahim kwasababu kuchinja watu wanachinja kwa ajili ya Allah na kwenda hijjah makka Ni jengo alojenga Ibrahim, na Ibrahim alitaka kumchinja mwanae Kama sadaka kwa Allah lakni akatumiwa kondoo amchinje kama mbadala na ndo maana waislamu wanachinja.

Katika uislamu ni kwamba lau kama Ibrahim angemchinja mwanae siku ile, waislamu wangekuwa wanatakiwa kuchinja watoto wao Kama sadaka ili kumuenzi Ibrahim.

UISLAMU ULIVYOUFUNGAMANISHWA KWA IBRAHIM

Katika suratul baqara ,utakuta Allah anaamrisha waumini na mtume wafuate mila ya nabii Ibrahim sababu hakuwa mshirikiana.

Ushirikina maanake ni kupeleka ibada Kama kuomba, kutegemewa, wakati wa shda na majanga kwa asiye kuwa Allah Kama mizimu na miti.

HITIMISHO: Uislamu sio mila za mababu wa kiarabu Kama wanavyodai mapunguwani na mahayawani Bali Ni ufunuo kutoka kwa Allah sababu historia inaonyesha, mababu wa kiarabu walikuwa Wana mila zao kabla ya kuja mitume.

Na hata ukimuaangalia mtume MUHAMMADصل الله عليه وسلم alipopewa utume watu walitaka kumuua sana, maana alikuwa anapinga mila za mababu za kuabudu mizimu na masanamu, Waafrica msidhani kuabudu makaburi, mizimu, masanamu, miti ni dini yenu, ni desturi na innovation ya wanadamu waliopotea, mtu mzima na akili zako unauuomba mti kweli! Au mfu ambaye huenda mwenyew alipokufa alikuwa hohe hahe hta wew una afadhali duuh!

SABABU YA KUPINGA DINI

On our point of view, inasemekana dini zimeanza kudharauliwa huenda kwa sababu ya ukristo kuchezewa sana mfano utakuta viongozi wa kikristo duniani ndio wanashadidia ushoga na usagaji na ilihali kweny Torah na Bible Wanasoma kabsa namna watu wa lutu walivyoangamizwa sababu ya ushoga, sasa wakaona wawapumbaze na upande wa pili Mana kwenye uislamu kidog misimamo Ni mikali huwa hatulegezi kamba kweny sheria.

Waseme DINI NI UTAPELI ILI tuwe sawa tu maana wengi katika wapinga dini ni watu wanamuonekano wa kikristo nje lakni mioyoni ni wapinga dini.

Maana hapa Africa kuwa atheist ni ngumu, itabaki tu atheist kimoyo lakini matendo hamna. Maana ukicheza kidogo misiba unatakiwa ushiriki kwa utaratbu wa kidini, au ndoa na hata serikali Ina sehemu imetoa nguvu kwenye dini, mfano; vitabu vya dini mahakamani na kuapisha maraisi.

EID MUBAARAK
تقبل الله منا ومنكم
 
Habari wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa Sana ya kupinga Vita dini Na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe,na maneno haya utakuta wanoongea Wala sio atheists Bali Ni watu wanaoamini katika mungu sema tu wanadai kuwa mfumo wa kumuabudu mungu kwa kutumia uislamu au ukristo Ni Mila za kuletwa na sahihi na mbadala wake watu warudi kwa mila za mababu haswaa mizimu na kuabudu mti.
Mimi Ni Muslim na kwa upande wa dini yangu nitatetea dini kwa historia kupitia uislamu Kwa munasaba wa sikukuu hii ya idd na ibada ya hijjah inayoendelea huko makka na historia yake kuonyessha kuwa uislamu so mila ya kiarabu hta kidogo Bali ni kitu tofauti kabisa na uarabu Ila tu umekuwa ikifungamana na uarabu sababu mtume MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم Ni mwarabu na mafundisho yameshuka kwake .
HISTORIA KWA UCHACHE.
GHARIKA LA WATU WA NUHU
Baada ya gharka la nuhu kutokea kulikuwa na watu wachache Sana waliobaki duniani,Nuhu aliwahubiria watu wake kwa Muda wa miaka 1000 ispokuwa 50 Yani miaka 950 akiwakataza ushirikina(shirk) lakini waliamini watu inakadiriwa Kama 80 tu na inasemwa watu walikuwa wanazaliwa na kufa lakni wanamkuta nuhu ,na wazee walikuwa Wana WaPa wosia watoto wao wasimkubali nuhu sababu anataka kuharibu mila za mababu yao.
Yani hawa watu walikuwa wanaabudu watu wema ambao walwajengea masanamu matatu na wakayapa majina yao Yani latta, uzza na Nasra. historia Ni ndefu lakni kwa ufupi hawa watu walikuwa wanaabudu masanamu na Kuna sababu zlizopelekea wao wayaabudu hayo masanamu ya watu wema ,hyo nayo Ni historia nyengne Ila waliangamizwaa wote ispokuwa wachache ambao waliingia kweny safina la nuhu.
Hii Ni historia inakublika kwa Christian,Jews na Muslims. Ndani ya vitabu vyao injili,Torah,Quran respectively.
SWALI:naomba kujua kwa upande wa wakristo ,
1.je, nuhu alikuwa dini gani mnadhani? Christian? Jew?, Mana mnasema bila yesu huwezi kuuona ufalme wa mbingu. je hawa nuhu ,lutu, Ibrahim wao watu wao inakuaje sababu yesu kaja baada na wao walikuwa wakimuabu Nani?.
Jibu langu(Islam side): nuhu alikuwa akiabudu mungu mmoja na aliabudu kwa namna mungu yeye alivyotaka ,sababu waislamu tunaamini kila mtume alipewa maelekezo kivyake kulingana na umma wake jinsi ulivyo.
2.je? Yesu ambaye mnadai Ni mungu alijitoa sadaka kwa ulimwengu mzima au baadhi ya watu tu, Mana Kuna watu wamepta adhabu kabla ya kuja yesu ,pia watu wa luth waliadhibiwa kabla ya kuja yesu.
3. Naomba kujua historia ukristo inavyosema kwanni watu wa nuhu waliiadhibiwa I'ma kwa kumkataa yesu au mungu mmoja ,Kama Ni mungu mmoja kwanii wote tusimuabudu huyo mungu mmoja ambyae alikuwepo toka Adam na nuhu akiabudiwa.(Haya maswali Ni nje ya mada Ila naomba majibu)
BAADA YA GHARKA LA WATU WA NUHU.
baada ya gharka la watu wa nuhu ,miaka ilipita na Kuna historia hapo Kati ilipita ya watu wa thamudi na Adi (giant people kuubwa toka dunia ianze ambao waliangamizwaa kwa kimbunga).
Baada ya hapo alikuja Ibrahim ,Sasa huyu mtume ndo tutajua uislamu Ni uarabu au sio!.
Kipindi Cha Ibrahim hakukuwa na mtu hta mmoja aliabudu mungu Bali waliabudu masanamu na mizimu ,lakni wote walikuwa wanajua Kuna muumba lakni walikuwa hawataki kuabudu tu,Kama hawa wa Sasa wanavyosema mungu yupo lakni tuabudu mizimu na miti ,Sasa umejuaje kuwa mungu anaridhia kuabudiwa kupitia mizimu?, Na ukifanya hivyo unaabudu mungu au mizimu?.
Pia dini sisi tunaamini ndo njia ambayo inatuelezea mungu akubali Nini na hataki Nini, Sasa utafanyaje kitu kwa kubuni tu et niabudu hv wakati hjajua Yule unaemfanyia anakubaliana nacho.
EID-AL-ADHWHA NI HISTORIA YA NABII IBRAHIM.
ukifuatlia historia utaona watu wengi kabla ya mitume walikuwa waliabudu masanamu ,Sasa alipokuja Ibrahim alipingana na watu wote ,yeye na mke wake Sarah ndo walikua wanamuamini mungu mmoja tu.
Utakuta kweny Hadith mtume anaelezea kwamba nabii Ibrahim alimwambia mke wake SKU mmoja yani dunia nzima mi na wew ndio waumini tu,hapa utaona kumbe hta zamani huko arabuni kulikuwa na watu Wana mila zao na so uislamu kabisa .
Pia Ibrahim ametajwa kuwa Ni mtu aliyepinga ushirikina akiwa peke yake na mkewe mpak jamaa zakee wakataka kumuua kwa kumchoma moto,hta kweny Quran suratul nnahal inaelezwa Ibrahim alikuwa Ni umma mmoja yani Ni muumini peke yake na mkewe Hana hta mfuasi mmoja na Wala hakuwa Ni mshirikiana .
Hivyo Basi eid hii iliyopo ni kuchinja ,na kwenda hijjah maanake waislamu waadhimisha mila ya nabii Ibrahim kwasababu kuchinja watu wanachinja kwa ajili ya Allah na kwenda hijjah makka Ni jengo alojenga Ibrahim.
Na Ibrahim alitaka kumchinja mwanae Kama sadaka kwa Allah lakni akatumiwa kondoo amchinje Kama mbadala na ndo maana waislamu wanachinja.
Katika uislamu Ni kwamba Lau Kama Ibrahim angemchinja mwanae sku Ile , waislamu wangekuwa wanatakiwa kuchinja watoto wao Kama sadaka ili kumuenzi Ibrahim.
UISLAMU ULIVYOUFUNGAMANISHWA KWA IBRAHIM.
Katika suratul baqara ,utakuta Allah anaamrisha waumini na mtume wafuate mila ya nabii Ibrahim sababu hakuwa mshirikiana .
Ushirikina maanake Ni kupeleka ibada Kama kuomba,kutegemewa, wakati wa shda na majanga kwa asiye kuwa Allah Kama mizimu na miti.
HITIMISHO: Uislamu sio mila za mababu wa kiarabu Kama wanavyodai mapunguwani na mahayawani Bali Ni ufunuo kutoka kwa Allah sababu historia inaonyesha ,mababu wa kiarabu walikuwa Wana mila zao kabla ya Kuja mitume.
Na hta ukimuaangalia mtume MUHAMMADصل الله عليه وسلم alipopewa utume watu walitaka kumuua Sana Mana alikuwa anapinga mila za mababu za kuabudu mizimu na masanamu ,waafrica msidhani kuabudu makaburi,mizimu,masanamu ,miti Ni dini yenu Ni desturi na innovation ya wanadamu waliopotea,mtu mzima na akili zako unauuomba mti kwelii!.
Au mfu ambaye huenda mwenyew alipokufa alikuwa hohe hahe hta wew una afadhali duuh!.

SABABU YA KUPINGA DINI.
on our point of view,inasemekana dini zimeanza kudharauliwa huenda kwa sababu ya ukristo kuchezewa Sana mfano utakuta viongozi wa kikristo duniani ndo wanashadidia ushoga na usagaji na ilihali kweny Torah na Bible Wanasoma kabsa namna watu wa lutu walivyoangamizwa sababu ya ushoga,Sasa wakaona wawapumbaze na upande wa pili Mana kweny uislamu kidog misimamo Ni mikali huwa hatulegezi kamba kweny sheria.
Waseme DINI NI UTAPELI ILI tuwe sawa tu maana wengi katik wapinga dini Ni watu wanamuonekano wa kikristo nje lakni mioyoni Ni wapinga dini.
Mana hapa Africa kuwa atheist Ni ngumu itabaki tu atheist kimoyo lakni matendo hamna Mana ukicheza kidog misiba unatakiwa ushiriki kwa utaratbu wa kidini, au ndoa na hta serikali Ina sehemu imetoa nguvu kweny dini mfano vitabu vya dini mahakamani na kuapisha maraisi.
Am over
EID MUBAARAK
تقبل الله منا ومنكم
Zote hizo ni tamaduni na hadithi za jamii ya kigeni, ndo maana kwa asilimia kubwa hata hizo hadithi zinaongelea mambo yaliyotokea maeneo yao
 
endelea kutokomea gizani na ukizubaa mpaka unaacha kuongea unaweza ukawa hukohuko gizani.
Nifafanulie hlo giza, maaan atheists mnajifanya mna confidence ,assume apate tu ugonjwa haueleweki hapo utamuona anavyo hahaha kumtafuta muumba, na kwa mwamposa ataenda
 
Nifafanulie hlo giza, maaan atheists mnajifanya mna confidence ,assume apate tu ugonjwa haueleweki hapo utamuona anavyo hahaha kumtafuta muumba, na kwa mwamposa ataenda
nani kakuambia mi ni atheist..? nani kakuambia nikiumwa nakimbilia kwa mwamposa...? na kivipi unanivika vazi lakujifanya nina confidence..?
 
Wengi wanapinga dini hawapingi Mungu wala imani yake. Wengi wanaiabudu dini badala ya Mungu. Ndio maana utasikia wanasema "Dini inakataza, badala ya Mungu anakataza.."

Dini ni matendo ya mwanadamu na mwanadamu hajakamilika. Inapotokea baadhi ya watu wanakosoa kuhusu mwenenendo wa baadhi ya mambo fulani mnawaita Wapinga dini.

Kwangu mimi nilitegemea dini zituunganishe badala yake nyingi zinahubiri utengano.
 
viongozi wa kikristo duniani ndo wanashadidia ushoga na usagaji na ilihali kweny Torah na Bible Wanasoma kabsa namna watu wa lutu walivyoangamizwa sababu ya ushoga,Sasa wakaona wawapumbaze na upande wa pili Mana kweny uislamu kidog misimamo Ni mikali huwa hatulegezi kamba kweny sheria.
Labda wewe ndo hujui wenzio walilegeza kitambo...


View: https://youtube.com/clip/UgkxSSbWoVeQHgM0k1eXNsfxUCKLnQ26bMCS?si=6kRd4XG8hZ0zk8Am


 
nani kakuambia mi ni atheist..? nani kakuambia nikiumwa nakimbilia kwa mwamposa...? na kivipi unanivika vazi lakujifanya nina confidence..?
Nimesoma comment yako vzur Sasa, nimegundua unanialika kwa yesu kwa vitisho vya baada ya kufa.
Acha vitisho mwaga hoja, we ni kikutisha na uislamu unavyoelezea kuhusu kafiri baada ya kifo utasimama wew kweli?,😆
 
Nimesoma comment yako vzur Sasa, nimegundua unanialika kwa yesu kwa vitisho vya baada ya kufa.
Acha vitisho mwaga hoja, we ni kikutisha na uislamu unavyoelezea kuhusu kafiri baada ya kifo utasimama wew kweli?,😆
zuzu kweli wewe hapa kumbe hamna kitu kichwani...😂
 
Labda wewe ndo hujui wenzio walilegeza kitambo...


View: https://youtube.com/clip/UgkxSSbWoVeQHgM0k1eXNsfxUCKLnQ26bMCS?si=6kRd4XG8hZ0zk8Am



Hvyo Ni vijitaasisi vdog tu vyenye lengo la kuchafua uislamu tu,
Em angalia nyiny papaa mwenyew ndo anapambania na Kuna makanisa magharib yanafungisha ndoa kabsa.
Em lete ushahidi wa viongozi wakubwa katika ulimwengu wa kiislamu wanaosapoti ushoga au nchi za kiislamu Kama nyie mnavyofanya.
 
Back
Top Bottom